Jokate Mwegelo Asaka Mwanaume wa Kumuoa

Katika kuonyesha amechoshwa na upweke, mwanamitindo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ameibuka na kusema kuwa sasa anasaka mwanaume wa kumuoa huku akitaja vigezo vya anayestahili kumuita mume.

Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema kuwa hana ‘mtu’ ila atakapotokea mwenye vigezo anavyotaka, hatakuwa na sababu ya kumkataa. “Kwa sasa sina mpenzi wala mchumba, akitokea sina kipingamizi ila mbali na vigezo vingine awe na mapenzi ya dhati na mimi,” alisema Jokate.

Jokate amekuwa msiri sana katika maisha yake ya kimapenzi kiasi cha wengi kuamini ni msichana anayejiheshimu sana ila aliwahi kuwa na uhusiano na mchezaji wa mpira wa kikapu, Hasheem Thabeet anayekipiga kwenye Timu ya Oklahoma City Thunder ya nchini Marekani.

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nilimpenda sana kidot but tangu afilwe na domo amekosa soko,,,,,anyway kp on searching,,kidot lovin,,kheri yako una make money sio kama sepetunga

    ReplyDelete
  2. hashhem thabit pekeee?amewekwa kinyumba na Mzee Mengi,one year,Mengi akataka kumuoa Joketi akatoa nje kwahiyo alikuwa anataka hela ya Mzee tuuuu,ndoa hataki kama Klyn.

    ReplyDelete
  3. namba ulizopitia Joketi ni kubwa,watu wa kipato cha kawaida na wenye mapenzi ya kweli wanaogopa kukuoa,watakuchezea wakuache hapo hapo,wewe tafuta vigogo wenye hela ndefuuuu hao ndo uliozoea,watu wa kawaida awatakuweza.,Wewe Mzee Mengi anataka kukuoa unamtolea njeee?una akili kweli?kwa hiyo ulikuwa unataka ule hela yake tuuuuuuu mwaka mzima?wadada wa mjini tamaaaa mbele mauti nyumaaa.

    ReplyDelete
  4. mimi naanza kuzeeka,kwa wenye kumbu kumbu aliyempora bwana mwezie ni Joketi au Amina Chifupa(R.I.P)maana hawa wawili mmoja wao alipokonya bwana wa mwenzie,kashatajwa huko juu,Amina alinunuliwa nyumba ya million mia tatu masaki,baadae Amina akanyanganywa hiyo nyuma fastaaaaa,sijui alifanya kosa gani.anyway hayo yalishapita tugange yajayo.hila ka joketi ukikaona juu juu utakaona innocent lakini mmmmmmhh,ni mtu wa chini kwa chini ila mambo yake mazitoooooo

    ReplyDelete
  5. chema cha jiuza kibaya chajitembeza,mpaka unasaka ndoa kwenye mitandao?wanaosakaga ndoa kwenye mitandao ni malaya tena malaya wenye nuksi.mtu kama joketi utasaka ndoa mitandaoni?duuuu,kweli una nuksi.asalaleeeee

    ReplyDelete
  6. Wema chunga mzigo wako Joketi huyoooooooooooo anatafuta bwana wa kumuoa,na diamond na joketi bado wanapendana.kazi unayo Wema,joketi nukso msichana mrembo unakosa wa kukuoa?mpaka ujinadi mitandaoni?si nuksi hiyo?

    ReplyDelete
  7. laana ya mzee machache umekula hela yake weeeeeeeeeeeeeeeee,ukamletea vituko ili akupige chini,haya kakupiga chini umekosa wa kukutamkia ndoa.

    ReplyDelete
  8. olewa na Edzen,mume wa Dida.

    ReplyDelete
  9. jamani jamani,this is out of this topi please,.......yani mtu atembee na bwana wangu halafu aje baadae awe shoga yangu?big NO,Penny bwana yake alikuwa diamond,ndani ya uhusiano wao,Diamond akatembea na Hamissa mobeto,sasa hivi ninavyoandika hii messege Halima kimwana kawaunganisha Penny na Hamissa sasa hivi ni mashoga wa kupika na kupakua.salaleeeeee,Halima we mzee unatafuta nini kwa awa watoto?au unataka wabemenda?

    ReplyDelete
  10. tulia mrudie Yesu, na umshirikishe yeye akutafutie mumeo otherwise utapata wachezeji kama sisi

    ReplyDelete
  11. Hivi mahali alipopita hasheem thabit kweli panaingilika mmh!!

    ReplyDelete
  12. Anony 2:31 mkundu wako,uzi huu unamhusu Kidoti kutafuta mume huyo Halima Kimwana,Penny na upuuzi mwingine vinatoka wp? Una chuki binafc ww huna lolote

    ReplyDelete
  13. Jokate nakupenda sana lakini nahisi unanuksi embu jichunguze wewe ni mtu mzima akili kichwani kwako

    ReplyDelete
  14. Duuu uzuri wote anajinadi mitandaoni hapate mume,wahenga walisema lilia bahati,Duuuu

    ReplyDelete
  15. Swali kwa Wema Sepetu ,wewe Ni natural aiseeee,wenzio woteeee hawapigi picha bila kujipodoaaaa,na kutumia camera 360.wanatoka Kama malaikaaaa kwenye picha zao,wewe Ni beautiful onyinye nimekukubali

    ReplyDelete
  16. Dah Kidotiiiii yaani huyo mtoto ni full maradhi.

    ReplyDelete
  17. Cjui tunadanganyana huku mitaani??? Naskia kidoti ulikua unapika na kupakua kwa riz1... ulikua unautafuta uprincess but mhshmiwa akaona co wife material akakutema na kuoa kwngn... nimeckia tu vijiweni cna uhakika!!!

    ReplyDelete
  18. Riz tena?kala wengi hata lulu kaliwa nae,kama umelisikia basi Ni kweli,lisemwalo lipo?yeye anajishebedua Tu oho nimetembea na hasimu thabit,lakini kina mzee machache,mzito Wa crdb,riz etc hawasemi Ni waume za watu .

    ReplyDelete
  19. Dar kushare mabwana ndo fashion siku hizi.tuombe salama

    ReplyDelete
  20. du!! kidoti njoo kwangu lkn m sina hela nilichokuwa nacho ni mapenzi ya dhat na kukupa kichapo kikali kitandani ntakupenda sana ukinipenda, khalidimkindi@gmail.com

    ReplyDelete
  21. Jamaniii lulu Ni Malaya tunakubali lakini Riz hajawahi kuwa na ukaribu Na lulu mpaka kumtongoza,wabongo bwana.

    ReplyDelete
  22. Daaah, nimesikitika sana kusikia watu wote hao wamepita kwa Jokate, nilidhani haka kadem ni kastaarabu kiasi flani kumbe hakafai??? kusema ukweli nilikuwa natamani sana kumtomba huyu demu. na bado najishauri baada ya kuwasikia wadau hapo juu coz to b honest huyu demu anavutia sana.

    ReplyDelete
  23. Daa na mimi lazima nimtafute nimtombe huyu mtoto kumbe naye anauza? Duu afadhali!! lazima nimtafune nadhani atakuwa atakuwa anatoa tigo!!! Kama kuna ambaye ameshamtomba anishtue basi ili nifanye fasta.

    ReplyDelete
  24. Condoms zinahusu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad