Jokate Mwegelo Vs Vanessa Mdee Unamkubali Yupi Zaidi?

They are both smart,classic,intelligent,tale nted,educated and they both have natural beauty... Frankly speaking those chicks are cute but there is something ambacho mmoja kamzidi mwenzie je wewe unadhani ni kipi??? Na Unamkubali yupi zaidi?

Quote of The Day:
Thousands of candles can be lighted from a single candle, and the life of the candle will not be shortened. Happiness never decreases by being shared.

Post a Comment

33 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. vanesaaa Yukon vizier joket kajishushia heshima saana kushea bwana na wema tena kwa kugombania huyu sie joket tulie mjua vanesa jieshimu mama!

    ReplyDelete
  2. Bado cjaona maana wote ndo walewale wa kantangazeee. Mm napita njia sijui wenzangu wanasemaje wabongo.

    ReplyDelete
  3. kajokatee kalienda kwa diamond sababu ya mshiko tu, kwahiyo sikalaumu ndiyo jinsi mademu wengi walivyo, peesaaa mbele!

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeambiwa nani zaidi haya ya diomond yameingiaje hapa, wabongo bana

      Delete
    2. Sindiohapo unaambiwa nani unamkubali kati yahao we unaanza nyoko vikapanda vikashuka.jibu flani Kwisha msilete vurumai zenu zavigodoro hapa.vanessa namkubali.

      Delete
    3. Hapo maana yake anamkubali jokate,ila alijishushia hadhi kwa ku-date na almas.
      Hallaa!

      Delete
  4. vanesa yuko vizuri zaid hata kwa uzur vanesa yupo juu na pia kingereza chake anavyoongea napenda sana

    ReplyDelete
  5. machangu wapenda pesaaa mmechukia eeehh!

    ReplyDelete
  6. Vanessa yuko juu,nampenda anajiheshimu sana na anathamini uanamke wake,

    ReplyDelete
  7. vanesa yuko juu zaid. jokate ana kiherehere sn

    ReplyDelete
  8. ADMIN, UTATOA NA MATOKEO?NA ZAWADI?

    ReplyDelete
  9. Please niambie Vanessa elimu yake ni ya chuo kikuu???? Jokate ana masters.

    ReplyDelete
    Replies
    1. what ever,who is the best kwako?jibu.

      Delete
  10. vanessa bhana.

    ReplyDelete
  11. Joketi alikuwa juuuu ila kwakuwa katembea na Naseeb kura yangu yaenda kwa Vanessa

    ReplyDelete
  12. Vanessa big up pull up your socks sa ole wako ulewe misifa uanze mi skendo ya kisenge

    ReplyDelete
  13. Kwel nimeamini people are too judgemental hapa wengi mmeonyesha chuki binafc kwa Jokate tho mnakubali she iz da best ever. Kutembea kwake na Domo nyie mwakerwa na nini km si wivu na miroho ya kiswahili? Kwendeni zenu tumewachokaaaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wivu?we kuma kweli ,jokate Wa oysterbay Wa kutembea na mbulula Huyo anayeabuse wanawake?kila mwanamke mrembo lazima amtie,sasa atatia wangapi na dunia hii ya magonjwa?no jokate umeniudhiiii kutembea na domo,najua million kumi ulizopewa ununue gari zinakuzuzua,ndo maana kila demu anamgombania Domo apewe Hela ya kununua gari.Naseeb please stop hiyo tabia bana,Kama umpendi Wema muache chukua unayempenda then funga kufuli bana.no good at allll

      Delete
  14. Veee mdeee mpango mzima

    ReplyDelete
  15. Jokate next level

    ReplyDelete
  16. I love Jockate!

    ReplyDelete
  17. Wote hamna kitu, me nimewadis.elimu bongo

    ReplyDelete
  18. Am soo VEEE I love her.

    ReplyDelete
  19. duhh domo linajua kuhonga kweli, lilihonga gari la milioni kumi? kupata mtoto wa oysterbay? aisee hapo hata mtoto wamaikocheni utamkanyaga tu, sababu wenye pesa ni wazazi wao, na siyo wao binafsi!

    ReplyDelete
  20. wanashindanishwa ka aspect zipi?kitabia au appearance?? kwa appearance bila kuficha jokate yupo juu.. mshamuoa v money live jamani??

    ReplyDelete
  21. We bwana tutolee system yako hii bhana inasumbua mbona hutuelew wadau wako imetuchosha toa au hutaki tuifungue

    ReplyDelete
  22. Vanessa Mdee next level, International

    ReplyDelete
  23. Vanesa ndio no one

    ReplyDelete
  24. Hakina Venessa Hana mpinza kwanza no skendooo

    ReplyDelete
  25. Kira kwa Vannesaaaaa

    ReplyDelete
  26. Next level Venessa Mdee

    ReplyDelete
  27. Kura yangu kwa Miss Mdee Vanessa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad