Joyce Kiria Anangwa Baada ya Kuingilia Sakata la Flora Mbasa

SOO! Mtangazaji anayedili zaidi na mambo ya haki za wanawake Bongo, Joyce Kiria amenagwa na watu mbalimbali mitandaoni kwa kile kinachoonekana kuingilia sakata la mwimbaji wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha, akionekana zaidi kumtetea Flora.

Mmoja wa watoa maoni katika mtandao wake aliandika: “Joyce acha kujidhalilisha, huoni kama unapoteza utu wako? Naanza kuamini kuwa na wewe ni miongoni mwa wasioheshimu ndoa zao kutokana na kuwashauri wenzako upumbavu!

“Kwa mantiki hiyo hustahili hata kuwepo kwenye Kipindi cha Wanawake Live, ikiwa unatetea upumbavu. Acha kuingilia mambo yaliyopo mahakamani, utapoteza mashabiki wako bure.”

Licha ya kunangwa kwa maneno makali mara kwa mara, Joyce ameendelea kuandika kila wakati kuhusiana na ishu hiyo, akionyesha hisia zake waziwazi kuwa yupo upande wa Flora jambo ambalo limepingwa vikali na wachangiaji walio wengi, wakimtaka asijadili suala lililopo mahakamani.

Quote of The Day:
Don't judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. joyce hajasoma shule.ukiangalia kwa makini utaona analazimisha mambo ndio maana hawezi kuandaa kipindi na wasomi anaishia kuhoji ma house girl na vichangudoa.mwenyewe ndoa ya kwanza ilimshinda

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unauakika au unaropokwa tu

      Delete
    2. HAJASOMA KWAN UONGO

      Delete
  2. Hajasoma ndiyo kwn hujui si alikuwa house girl

    ReplyDelete
  3. taja shule aliyosoma basi anony 11;18 utusaidie tujue

    ReplyDelete
  4. yuko HURU kutoa mawazo yako kama limekuuma songa mbele nyie wenye ELIMU ZA CHOONI kutwa kwa mablog kutafuta umbea

    ReplyDelete
  5. shule muhimu vinginevyo comment zako zinakuwa pumba kama wewe anonymous 11.51.AM

    ReplyDelete
  6. Hayasasa kumekuchwa

    ReplyDelete
  7. Hata Mange na Sintah wamesoma,,,,,,,,out of topic

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad