Kama Ulisikia au Kusoma Udaku Kwamba Mama Diamond na Wema Hawapatani Hii Inakuhusu

Najua kuna stori nyingine huwa zinaandikwa alafu wahusika wakuu wanakuja kuziongelea baadae kwa kushangaa kilichoandikwa ambacho mara nyingi kinakua sio cha kweli.
Stori ya Wema kutopatana na ‘mama mkwe’ yaani Mama mzazi wa Diamond ni miongoni mwa stori ambazo kuna uwezekano umeshawahi kukutana nazo kwenye Magazeti au baadhi ya mitandao, stori ambazo zilianza kuandikwa tu baada ya mastaa hawa kurudi mapenzini.

 Wema anasema ‘Watu wanasikia vitu vingi hata kwenye Magazeti watu wanaandika vitu vingi hususani Waandishi huwa wanatengeneza ili tu kupata habari lakini hatuwezi kusema kila kitu kinachotuhusu sisi kila mtu anajua….. hapana, mbona mimi na mama tunapatana tuuuu’

‘Mbona mami ake wangu mieeeee…. mwenyewe ananiitaga chizi langu, kwa hiyo tuko okey sana, nadhani watu wanamawazo hayo kwa sababu Mama ni mama yake Naseeb na mwisho wa siku Naseeb anakua sometimes hivi sometimes vile yeye kama mama lazima asimame nyuma ya mtoto wake ila mama yuko okey, mama ni mchizi wetu.. kamanda wetu mwenyewe’ Msikilize Hapa Wema Akiongea:

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mafreemas mnajulikana lenu moja kwendaaaa

    ReplyDelete
  2. Mbona dai apigipigi mapicha ovyoo na ndugu wa wema??!!!!!! alafu wema ukimtaka dai kaa mbali na hao ndugu wa mume mana uyo mama kashasema awezi kukaa mbali na mwanae kwaiyo hapo jua kabisaaa hao ndugu lawamaaa mbona uwendani na uswahiliii wewe wemaaaa pia wifii ndio cha mdomo mimi namjua na alikua shogaangu esma acha mdomo wako nakujua toka hm tandaleee

    ReplyDelete
  3. Wema Mbona unatonesha vidonda vya watu?mi Leo Kesho natamani muachane na diamond,Mbona uko hivyo?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad