Kijana Apigwa Shoka la Kichwa Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mtu, Madaktari Wahaha Kumuokoa



Baada ya madoctor wa bugando kupambana kuokoa maisha ya jamaa aliye fumaniwa huko mwanza hatimaye wamefankiwa kumtoa shoka kichwani na hali yake bado mbaya yuko ICU kwa uangalizi zaidi mke wa mtu sumu 

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hiyo habari ni ya toka juzi naona admin ndio umeiona leo...

    ReplyDelete
  2. Mungu amnusuru,akipona akatubu kwa mungu wake na mkewe

    ReplyDelete
  3. mh!! kama m ndio mwenye mke apana cwezi kufanya unyama ule da!! apana kama ni mke basi andoke tuu hafai tena ntatafutatuu

    ReplyDelete
  4. jamani jamani hii michepuko itatutoa roho, lkn kuna wanaume wanatabia ya kukuitaita sana wake za watu barabarani, ukimkaripia anaporomosha mitusi mara oo mbaya, nakujoke nk. hii ni kiboko yao lakini hatari sana kama binadamu tunashindwa kujiheshimu hadi tunafikia hatua hii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kusema kweli mke ndiyo wa kulaumiwa si mwanaume vipi atogozeke?sababu haswa mume amtimizii haja ya mke kwa mfano anakwambia lamba chini wewe unaona uchafu anakuja fala anaramba akisha zoea atamganda fala hiyo inaitwa uchawi wa kizungu, ndiyo maana utakuta fala ana bonge la motto sababu ni hiyo tuu

      Delete
  5. Wasugueni wake zenu vizuri hawatachepuka! shughuli imewashinda mnataka wajikande maji ya moto??? Mnakula hovyo hamfanyi mazoezi, walevi kupita kiasi, wavivu hata kutembea kwa miguu, vitambi vinaninginia hence vibamia!

    ReplyDelete
  6. Huyu akipona ataogopa hata housgirl wa mtu.... ila cjui ka atapona... limezama kwenye ubongo kabisa!! Admin utatujulisha hali yake.. mke wa mtu sumu kubwa saaaaana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad