Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri kwenye upande wa filamu nchini Riyama Ali kama ishara ya kuonesha upendo wake kwa mwanadada huyo.
Huku akiwa ameweka picha ya mwanadada Riyama, Kitale aliandika
"Huyu mdada mm napenda kumuita kambi popote kwa maana ya kwamba achagui scene yy ukimpa scene yoyote ile kwake twende anacheza, ongera kwa hilo kwanza kwa sababu hiyo ndio sifa kubwa ya msanii kiukweli anajua anastahili sifa maana mpaka anakera mh! cjui niseme anaboa..!! ww mdada unajua mpka unaboaaaa"
Hata mm nampenda hana skendo chafu
ReplyDeleteYAANI WASANII WOTE WANGEKUWA KAMA YEYE INGEKUWA SAFI SANA... HONGERA RIYAMA
ReplyDelete