Kumbe Utamu wa Mwanamke Unaweza Kusababisha Kifo Ndani ya 6x6

AFARIKI DUNIA KWA KUZIDIWA UTAMU WA MAPENZI.


Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre.



Gazeti la Daily Times nchini Malawi limeripoti kuwa kijana huyo alinunua kahaba huyo maeneo ya Ndirabe katikati ya jiji la Blantyre.



Afisa wa Polisi mjini Blantyre Bi.Edina Ligowe amesema Jerre alikufa kutokana na kuwa na hisia za juu sana pamoja na kuhisi utamu uliopitiliza wakati akifanya ngono na kahaba huyo (sexual excitement and sweetness).



Aidha Afisa huyo amesema kuwa kahaba huyo hatafunguliwa mashtaka yoyote kwa sababu hakuna kosa alilofanya kwa yeye kuwa mtamu kupitiliza.



"She committed no crime by being too sweet to the man" Ilisema ripoti ya Polisi nchini Malawi.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mh makubwa huyu kahava itakua kachezwa ngoma 7 simchezo

    ReplyDelete
  2. Dah! Hiyo ni Kali mwaka 2014

    ReplyDelete
  3. du,huyu kahaba kiboko na si mchezo kampa mtu kitu adimu

    ReplyDelete
  4. daah huyo malaya atauza sana kua kuma tamu kiivo

    ReplyDelete
  5. Siku yake ilikua ishafika utamu gani au mwanamke jini

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad