Mamlaka ya Mawasiliani Tanzania (TCRA) imesitisha matangazo ya kipindi
cha XXL kinachorushwa na CLOUDS FM ,kupisha uchuguzi wa tuhuma za ukiukwaji
wa kanuni za utangazaji zilizofanywa na watangazaji wake B12, Fetty na Mchomvu.
Kujua kilichotoke hadi TCRA kusitisha matangazo ya kipindi cha XXL kinachorushwa hewani la Clouds FM
Mbona hapa nakisikiliza
ReplyDeletemi naona TCRA wamechelewa kufanya uamuzi huo. kipindi kilitakiwa kifungiwe toka mwaka jana
ReplyDelete