Diamond At BET, Dressed by Sheria Ngowi |
Kwa nilivyotegemea kwa ukaribu aliyonao kwa Diamond kwa sasa Yeye ndio Angechukua Hiyo Fursa ya Kumtengenezea Nguo Mbongo Flava Huyo Hasa Kwenye Hizo Awards za MTV na BET lakini Katika Hizo Awards zote Mbili Amevalishwa na Sheria Ngowi ....Sikatai Sheria ni Mzuri Sana ila Najiuliza tu Kwa Huyu kaka naona Kama Umeneja Kwa Wema Umemuondolea Ndoto za Kuwa Designer Mkubwa..
Napita tu!bt dai kapendeza xana!
ReplyDeletesasa unatuambia au unauliza?
ReplyDeleteKaogopa design za Punga
ReplyDeletehahahaaaa jamani tuvae mavaz kwendana na miili yetu yani kawa kama kavaa koti la urithi teh teh teh ndio kituko gani kavaa watu mnajisemea tuu dai kapendeza na huo mchanyato wa blue sijui yan kachekeshaje???
ReplyDeleteWapenzi wa Damond hata avae Daipa si tuna msifia tu na swaga zake
ReplyDeleteila alivyovaa sikupenda, sijui suti hazimtoi avae kishalobalo ndo anapendeza kwani lazima suti hakuwaona kina nelly mbona wametoka tu
Deletepoa hakuna tatizo
ReplyDeletekatoka poa, mimi binafsi siyo mpenzi kivile wa huyu jamaa, lakini sifia palipo na ukweli
ReplyDeletesuit alizoshonewa na kandinda ndo nzuri hiz za sheria ngowi siyo kabisa kawa km ndege bwanaaa
ReplyDeleteSHERIA NGOWI MZURI KULIKO HUYO KADINDA NDO MAANA
ReplyDeleteuchonganishi tu huna lolote ht akidizainiwa na kuku inakuhusu nn ww unataka kl cku avae fleva moja !?? huna habar bweha wakubwa nyie kanjanja tu
ReplyDelete