Kuna kitu huwa kinanishinda kuelewa kusema ukweli kinachotokea kati ya wanaume na wanawake wa kisasa, hivi inakuaje mke umutie mimba wewe mwanaume then mimba alelee kwako nyumbani lakini ikifika kipindi cha kujifungua eti unataka akajifungulie nyumbani kwao.
Kwa upande wangu mimi sioni logic yoyote ile eti mke kujifungulia kwao eti miezi mitatu sijui miwili ya mwanzo unataka akae kwao. Na nyie wanawake mnakubali vipi wakati mnajua kabisa mtoto kipindi cha mwanzo mwanzo anasumbua sana yaani kulia hakuishi sasa badala ukamlee na mumeo ili aone jinsi inavokuwa wewe unakimbilia kwa mama yako na baba yako kana kwamba yeye ndiye aliekupa ujauzito.
Tubadilike jamani tuyakubali majukumu yetu na wanawake juoni kuwa hicho kipindi ni cha mhimu kwa wanaume kushow love
Quote of the Day:
Believe in yourself! Have faith in your abilities! Without a humble but reasonable confidence in your own powers you cannot be successful or happy.
Bora tu waende wakapumzike kuepuka stress za uzazi mwez au cku 40 wanaume wenyewe wakuku show love wa tz uwii ndio kwanza wanachepuka vizuri akirudi kalewaje ni kukoroma tu hadi asubuhi utakesha nae mikononi na uchovu wa uzazi mgongo utaumaa
ReplyDeleteKwani kuna tatizo gani mtu kwenda kwo?kwanza huko kuna wazoefu wa mambo ya uzazi inakuwa rahisi kumsaidia mama na mtoto
ReplyDeleteKulala na mkeo kitanda kimoja kwa siku 40 mfululizo bila kumla mzigo ni kazi, bora aende tu kwao mpaka hicho kipindi kiishe.
ReplyDeleteDuu hiyo kali, kumbe ndo zenu mdau 2:48pm
ReplyDeleteNdo mana waislamu tumeruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja, umuhimu wake utauona wakati wa dharura kama hizo.
DeleteNdiobora ukae kwenu upumzishe mwili namgongo.ule afya irudi wakusaidie kushika mtoto hata upumzike.wanaume wabongo wangekuwa wenzetu wa nje wanaojua thamani yawakezao hakuna mtu angeenda kukaa kwao baada yakujifungua.ilakwakuwa hawako ivyo bora ukakaa nanduguzako maramia wakati wa uzazi kuliko mume.stress hazitakiwagi kabisa kipindihiki lakini lingine ndiohata halijali anapenda aone mtoto kakua anatembea utakuta anajisifia mwanangu bwana haya alivyokuwa mdogo mbonahukukesha na mama ake kumbembeleza usiku kucha nyooo.
ReplyDeleteAcha tu ndg yangu,mi nina machungu mwanaume tena wa ndoa kanikimbia nina mtoto mchanga tena na operesheni na nyumba kahama afu baadae atakuja ajichekeshe mtoto wake,nyie wanaume wengine wa kibongo hawana huruma kabisa
DeleteMi nlisema ctaenda kwetu wala ukweni. Lkn kwa hali nnayoiona kipindi HK cha mwisho cha ujauzito na stress nazopata niheri nisepe make mwanaume kawa shetani.
ReplyDelete