Le Mutuz Amjibu Flora Lymo 'Kazi Kuvaa machupi ya Wanaume na Kujiweka Mtandaoni'
24
July 09, 2014
Le Mutuz amepost hii kwenye blogu yake
Makelele yamekuwa mengi sana nimesema hivi ninapata taabu sana kubishana na na hicho kimama kizee huko UK kinachopiga mapicha ya uchi kikiwa kimevaa machupi makubwa ya wanaume.
I mean kwanza elimu hatufananani mimi nina Degree 3 hicho kizee ni darasa la Saba, halafu ninasema hivi hii ni picha yangu ya leo asubuhi bila kunawa wala kuoga sasa hebu kiambieni na chenyewe hicho kibibi kizee kipige picha kama hii asubuhi kama hayakuwa majanga ya ajabu! ha! ha! ha! ha! ha!.
Ndio maana wengine tulienda majuu tukasoma shule masikini ya Mungu kibibi hiki kizee kimeenda majuu kujifunza kulilia kubakwa hata bila kubakwa, kuvaa machupi ya wanaume na kujiweka mitandaoni kwa sababu hakuna binadam mwenye akili timamu anaweza vaa yale machupi kinavaa.
Sasa naomba tukate mzizi wa fitina kiambieni kipige picha asubuhi kama mimi muone majanga, wewe kibibi rudi nyumbani ukalime maana hayo machupi hakuna wa kununua yanakufanana wewe wenyewe tu! ha! ha! ha! ha!.
Majuu miaka 20 umeshindwa hata kwenda shule ya kufagia sasa unaishia kulea wazee na matahira le mburulazzzz kwenu wamekusahau huwezi kurudi.
Sasa utaishia kutukana matusi watu ambao hamfanani wenzako humu online tunatafuta pesa wewe unatafuta matusi na michupi mikubwa ya wanaume kimama kizee huzuni sana, U know jipime hapa mimi na wewe U know! ha! ha! ha! - Le Big Show
Quote of The Day:
Don't judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant.
WEWE MALECELA PIA HUNA AKILI KAMA HUYO BIBI YAKO MNABISHANA NAE
ReplyDeleteDah,kula tano wangu,Kwa mtu mwenye shule na akili timamu hawezi kubishana kama hivi,ungekaa kimya ndio tungejua umemdharau huyo unaemuita kibibi,kwa hilo you are so stupid,na wewe mbulula pia.
DeleteMajina makubwa akili hakuna,pesa za walala hoi zinawasumbua,PUMBA TU.
DeleteSura yenyew mbaya bora ucpost pic yak
ReplyDeleteDuh mwanaume mzima unaringia sura umetuaibisha brother yaani kama unatamba eti hujaoga wala kunawa uso sasa wewe ni wakuringishian sura na wanaweke kweli????? Duh wala sijaona faida ya hizo degree zako tatu unazotamba nazo maana tabia zako za kishoga shoga sana kuringia sura mwanaume ndo nakusikia wewe tena afadhali ungekuwa teenager ungeeleweka but mzee wa above 50yrs unaringia sura mitandaoni bonge la sooooooooo
ReplyDeleteMalecela kumbe kubwa jinga
ReplyDeleteSijaona cha maana hapo michosho tu bora br! ungeacha kupost.
ReplyDeleteSijaona cha maana hapo michosho tu bora br! ungeacha kupost.
ReplyDeletekweli degree 3 unazo za mipasho tu! maana sikutegemea mtu mzima kama wewe na hiyo elimu yako,unaweza kupoteza muda kuchambana na wakina mama kwenye ma blog.
ReplyDeletekweli wasomi wa sasa mimi hata sielewi
WATU WENGI BONGOWANASOMA WAPATE KAZI SIO KUELIMIKA
DeleteDah jamaa katia aibu sana.
ReplyDeleteEbu acheni ujinga yeye kaongea kwa upande wake kwani vby kujisifia
ReplyDeleteHivi huyu Baba ake nihuyu William malecela huyu huyu?kama kweli yulemzee huyu ni mwanae hii ni Ebola kwake.gonjwa lashida maana kutwa mipasho degree zake nimipasho.hatahuyo mke ataemuoa huyu poleyake atakula mipasho ya degree.
ReplyDeleteAna mke na watoto wakubwa KAWATELEKEZA.
DeleteMwee huyo wa degree 3 na wa saba hakuna tofauti
ReplyDeleteSaikolojia inasema maisha yakitangulia umri lazima uwe kama Malecela. How can a person like him anaongea upupu kama huu? Ndio nategemea kuingia chuo kutafuta degree ya kwanza lakini kama nitakuwa sijabadilika na kuendelea kumfatilia mtu kama huyu sidhani kama kuna haja ya kuwa na degree nyingine ziwe tatu.
ReplyDeleteNakupa 5 mdau...
DeleteBora upate 1 manake tatu utakua utakua kama ilo kubwa jinga
DeleteIla hawa inaelekea wanapendana kila mtu bado anamfikiria mwenzie kwani walikuwa mabest mbina wanafatana hivyo ila wee Will achana na mbuta wee unanuona mzima kweli hata hizo degree unazojisifia nakuona hauna tofauti na mbuta
ReplyDeleteDegree,degreee watu tumeona tekreee hao unaowasifia matajiri wana degree mfyuuhh
ReplyDeletehawa wanapendana wangeoana tu
ReplyDeletehawa wanapendana wangeoana tu
ReplyDeleteLe mutus boya au nawe ndo walewale km kina Bilali...huna haya....Mwanamme km binti mfyuuu
ReplyDeletelemutuz tafadhari tena sanaaaaaaaaaa,hiyo kazi ya kulea wazee na matahahira unayoiponda mimi imenijengea nyumba nzuri tu uko Dar,imeninunulia gari,natunza familia yangu aina shida kabisaaa,imenisomesha,please usidharau kazi za wenzio,mschweeeeeeeee!
ReplyDelete