LOWASSA kuanza Kampeni Waziwazi, ni Baada ya January Makamba Kutangaza Nia

Kuna tetesi kuwa Edward Lowassa anatarajia kuanza kampeni ya kutangaza nia waziwazi baada ya kuona January Makamba amefanya hivyo wakati ni miongoni mwa waliopewa karipio kali na CCM kwa kampeni za kabla ya wakati muafaka na hajachukuliwa hatua yoyote. Pia ameona Membe akitumia UVCCM kuimarisha kambi yake harakati za kinyang'anyiro cha urais 2015

Quote of The Day:
I hope everyone that is reading this is having a really good day. And if you are not, just know that in every new minute that passes you have an opportunity to change that.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nakumbuka maneno yaliyosemwa na muasisi mmoja( marehemu sasa).'' IKULU KUNA NINI ''

    ReplyDelete
  2. Lowasa ni rais 2015

    ReplyDelete
  3. Afadhali tumpe yeye maana at least hatakuwa na tamaa ya kujilimbikizia!pia yupo serious zaidi kiuliko wengine!

    ReplyDelete
  4. KEEP IT UP LOWASA NCHI HII HAINA PRESIDA OKOA JAHAZI

    ReplyDelete
  5. YAAN CC AU NEC WAKIROGWA KUKATA JINA LA NGOYAI TUNASEPA ZETU UFIPA THEN TUONE ITAKUWAJEEEE TUNATAKA RAISI WA KUTENDA SIO POROJO TU KA TWACHEZA VIGODORO VIJANA HAWAJUI KESHO YAO WKT WACHACHE WANAFAIDI

    ReplyDelete
  6. Du millionaire mnapa urais?watu wengine awaridhiki na Mali walizonazo,nikisikia Rais Ni Huyu nala sumu mi simpendiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. anon: 9:03 kumamayo zako, kula sumu ukafie mbele msenge we, we unafikiri mtu atachaguliwa kuwa rais kwa sababu ww unampenda? mwambia babaako agombee basi!!

      Delete
  7. Utajinyea!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. Viva Lowassa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad