Akiwa ndani ya Ukumbi uliopo ndani ya Hoteli ya Serena, Posta jijini Dar, Lulu alionekana amevalia gauni refu lakini pembeni likiwa na mpasuo mkubwa ambapo kila alipokaa, mapaja yake yalionekana wazi hivyo kumfanya ahangaike kuyaficha huku wanaume nao wakitumia muda mwingi kumkodolea macho kisha kunong’ona.
“Duh!Haka kabinti kazuri na lile gauni alilovaa ndiyo anawaacha hoi sana wanaume,ile ni kututafuta ubaya na kama ni kututega kafanikiwa kwa silimia 100,” alisikika kijana mmoja akisema.
Paparazi wetu alifanya jitihada za kutaka kuongea na Lulu juu ya mpasuo huo, lakini hakuwa tayari na hata baada ya zoezi la utoaji wa tuzo, aliondoka fasta akiwa na wapambe wake.
huu mpasuo kauachia makusuni hii nguo alovaa huo mpasuo anauwezo wa kuufunika,anajiona akikaa uchi ni dili
ReplyDeleteBongo supuu
ReplyDeleteWa TZ
Siwaume si wanawake
huyo muuza kuma hana isue
ReplyDeleteHuyu siku akiamua kupima ngoma akakutwa negative ashukuru Mungu,bidada anapenda maisha ya mteremko,wote anaowavulia chupi Ni watu wazima wenye Hela zao,na wenye Hela woote awavaagi kondomu,
ReplyDeleteHhaaha ametisha
ReplyDeleteHuyo mtoto muuaji mmeshasahau ?
ReplyDeletebiashara
ReplyDeleteAngalia jinsi alivyoacha huo mdomo wake wazi. Utafikiri alikuwa anashagaaa jinsi Kanumba anavyodondoka chini.....hovyooooooo
ReplyDeleteWATU MNAMANENO.
DeleteKamfupisha kanumba Wa watu maisha Yake duuuuu sasa Hivi kanumba angekuwa mbaliiii,alivyomsukuma kanumba nakufa,dk moja Ali kiba akamfuata usiku huo Huo wakaenda kubanjuana,haka katoto kamalayaaaa na mzimu Wa kanumba auta kuacha,Kama ulikuwa umemchoka ungemuacha na maisha Yake.
ReplyDelete