STAA wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema hajawahi kufungua akaunti kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook ‘FB’ na kwamba aliyefungua kwa jina lake ana nia ya kuwaibia mashabiki wake.
Akizungumzia akauniti hiyo inayoonekana ni feki yenye sura ya kuwaingiza mjini mashabiki wake, Lulu alisema haitambui na wanaokubali kujiunga na ‘Lulu’ huyo wanataka kuibiwa.
“Hee nashangaa kwa kweli, yaani sielewi chochote kuhusu akaunti hiyo, sina akauti Facebook nashangaa sana kwa hilo swala wasitake kunichafulia,” alisema Lulu.
jamani iv watu wengine mkoje!? bado mna mambo ya kizamani ya kufanya vitu vya kijinga kwa nn utumie jina la mtu mwingine kufungua account ya mitandao? kujifanya fulani? amuogopi kabisa! unajua mtu anaweza kukushtaki kutumia jina lake? ni kosa la jinai? nawashangaa sana, hebu ngoja mmoja afungwe miaka 10 nadhan itakuwa fundisho.
ReplyDeleteAna lolote!
ReplyDelete