Maimatha Avishwa Petee ya Uchumba aka Engagement Ring Kwa Mara ya Pili

MTANGAZAJI ambaye kwa sasa anafanya dili za ujasiriamali, Maimartha Jese ‘Mai’hivi karibuni alivishwa upya pete ya uchumba na ya ndoa baada ya zile za wali kupotea katika mazingira ya kutatanisha.

Aliyemfanyia tukio hilo ni mumewe aitwaye Shaa na baada ya vidole vyake kupendeza tena alitupia picha akiwarusha roho mashoga zake na alipoulizwa na paparazzi wetu juu ya pete hizo alisema, mume
wake ndiye aliyeamua kumvisha baada yakuona ni heshima kwa mke wa mtu.

“Nimejisikia furaha sana kwani ilikuwa ikininyima raha kuona pete za mume wangu hazipo tena kidoleni, sasa nina amani tele,” alisema Mai
---------------------------------------------------------

If you are in Kenya please take a Time To Visit : www.kenyangossip.com

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Juzi kati hapa alikuwa mkoa mmoja ... na akaliwa na mdau mmoja sasa wewe weka kunguru ndani utafurahi kabisa

    ReplyDelete
  2. ulisaidia kupanua mguu, mbona wabongo wanafk hvyo?

    ReplyDelete
    Replies
    1. usikute kweli uongo huo wasimsingizie rose muhando.ila jamani wanawake wote ni malaya tu..lol..wanaume ,wanaume wote same..

      Delete
    2. Malaya ni wewe nana usiseme wanawake wote ili kujifariji wewe ndo umeoza

      Delete
  3. Ngoma droo sikuhizi we mwanaume ukicheat usishangae kukuta mkeo anacheat zaidi yawewe nahujui hata ukijua piga kimya isiwe kunya anye kuku akinya bata kaharisha.ukicheat mkeo ski cheat pigakimya tu.

    ReplyDelete
  4. ila wanaume wa mjini sijui akili zao zikoje hivi mtu na akili yake kabisa anaenda kuoa mwanamke anaejibushua kama kama mbuzi wa x,mass...hivi huyu dada kawa kama mdudu sijui huko chini pia pameng'aa.LoL

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pameng'aa pamepauka haikuhusu ye kapendwa kama vp kajitundike kwani we una uzuri gani kinyago tu

      Delete
  5. Nana heheeeeeeeeeeeeeeeee nimecheka mimi oh my......... Ngoja tumuulize Mai et umejichubua mpk kwa Mai huko??maana umechubuka munomuno vipi Mai kang'aa?atatukanajeee nana sasa akisoma huku

    ReplyDelete
  6. admire wa nana5 July 2014 at 23:10

    heee heee nana junior nakupendaje yan unanfurahsha!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad