Maiti na Viungo vya Binadamu Vyakamatwa Kwenye Mifuko ya Rambo Maeneo ya Bunju-Picha
14
July 21, 2014
Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Miili ilikuwa imechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili italetwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.
Endelea kufuatilia hapa.
Naona kuna gloves. Hivyo vitakuwa viungo vya binadamu vinavyotumiwa na wanafunzi wa udaktari kufahamu baadhi ya vitu kwenye mwili wa binadamu kama mifupa na misuli. Lakini ngoja tusubiri ripoti ya polisi kwa uhakika zaidi.
ReplyDeleteWendomjinga kuliko wote duniani
DeleteSawa mwenzio ni mjinga kuliko wote duniani. Ila we ni mburula kuliko wote duniani. Kwani kipi kibaya alichokisema 11:04. Kwa hiyo unataka kubisha kuwa madaktari wanafunzi hawatumii maiti kujifunzia.
DeleteMungu wangu ni Tanzania yetu au naota, maana nimekurupuka kwenye ucngizi. Inatisha na bora iwe kama mdau Wa 11:4 alivyosema!
ReplyDeletehata kama ni miili inayotumika kwa kujifunza ni lazima itumiwe na izikwe kwa heshima bwana. ama Tanzania inaelekea kubaya sana watu wakuwa hawana kabisa ubinaadamu. Wanashinda hata Israel sasa
ReplyDeletedunia imekwisha kama ni uchawi ubinadamu hamna
ReplyDeletekimbien ndugu zangu mimi naogopa mpaka mana maiti zaid ya 50 zimeonekana mahala huko dar ninaogopa eeh mungu tusaidie
ReplyDeleteinatsha
ReplyDeleteMungu tusaidie na utuhurumie inatisha sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa duuh
ReplyDeleteHao ni cadava. Huwa wanatumiwa na wanafunzi wa medical doctor kujifunzia.iyo miili huwa inatakiwa ichomwe baada yaatumizi yake. Hicho chuo waliotupa hovyo wamekosea sana.
ReplyDeleteDUNIA HAIISHI ILA SISI NDO TUTAIACHA DUNIA.
ReplyDeleteKufa lazima uwe unajifunza au unafunzwa
ReplyDeleteEbu acha ujinga hata km ni kadava nani kakwambia usme we umesoma chuo gani cha medical mpk unaongea ujinga uo
ReplyDeleteJAMANI NA HAYO MAGLOVES NI YA NINI KAMA SIO WANAFUNZI HAO BAADA YA KUJIFUNZA KUTOKA MIILI YA YA WAFU WAKAONA WAKAYATUPE HUKO BILA KUTUMIA USTARABU WA KUZIKA HIYO MIILI KWANI HAPO UKWELI NI HIZO GLOVES
ReplyDelete