Tukio hilo lilitokea juzikati wakati Koleta alipokuwa akitoa kwenye lango kuu kuelekea ilipo ‘parking’ ya magari akiwa na mwanaume aliyeonekana kama mpenzi wake.
Wakiwa katika eneo hilo, wawili hao walionekana wameshikana mikono huku mdada huyo akitembea kwa mikogo na kudeka, akichezesha makalio yake hali iliyoibua minong’ono.
“Mh! Huyu si yule Koleta muigizaji, haya makalio yake daah! Au kishatumia Mchina maana…!” alisikika akisema kijana mmoja aliyekuwa akimsindikiza kwa macho huku wengine wakiendelea na mjadala juu ya kisuruali alichovaa na mwanaume aliyekuwa naye kama ni mpenzi wake ama laa.
Njoo kwetu Zenj baada ya mfungo uone cha moto
ReplyDeletesasa uko zenji ndio kuna nn !!!!!
DeleteWapakua nyaaa
ReplyDeleteMtambo umeuaaa hahhahahah
Deleteuko zenj urojo tu , dawa yenu ally kessy
ReplyDelete