Mama Diamond 'Wanawake Wengi Wanajitongozesha Kwa Diamond, Wanatuma Mpaka Picha za Uchi Kwenye Number ya Simu ya Biashara


Mama mzazi wa star anayeipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kimataifa kwa sasa kupitia muziki, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz jana (July 11) alipata nafasi ya kuzungumza na Watanzania kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, mambo mbalimbali yanayomhusu mwanaye.

Moja ya Swali aliloulizwa ni hili hapa:


Na hii tabia ya mara (msichana) huyu mara huyu wewe ukiwa kama mama kwako huo unaipokea vipi?


Jibu:
"Na hii tabia ya mara (msichana) huyu mara huyu wewe ukiwa kama mama kwako huo unaipokea vipi?
“ Siipokei vizuri laikini sasa nitafanya nini nay eye star, wengine wanajitongozesha bila kutongozwa..mi mwenyewe hapa kutwa napigiwa simu mpaka nazima, wananipigia simu wanafikiria Nasib wanajitongozesha mpaka nawatumia meseji mbona mnajitongozesha, hii sio namba ya Nasib hii namba katoa ya biashara ya Tshirt 0716186318 sio namba ya Diamond, namba yake mama yake.sitaki usumbufu..wananitumia mapicha ya uchi , mapicha ya nini sasa ni ustarabu gani huo”

Happiness is not something you postpone for the future; it is something you design for the present.

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tuwekee mambo ya kuelimisha, kama vipi c unaona wanawake wengi tuna vitambi mpaka ndoa zetu zinayumba, tusaidieni nini tufanye tufanane hao vi mobitel! Tusaidieni jamani, kwani vitambi Ni ugonjwa zaidi ya dengu! Nimejaribu kila asbuhi natumia maji ya moto natia limao na asali, jioni matunda, da utafikiri naliongezea upepo linazidi. Nisaidieni ndugu zangu nn nifanye!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeongea la mana mana huyo wanataka tu wamtukanishe uyo mama aambiwe ana wivu na mwanae basi

      Delete
    2. Yani umenianzishia siku yangu vzr..,lol!!
      Mbavu zangu mm....

      Delete
    3. kwani ile dawa ya kukata kitambi inayotangazwa kila siku huoni au ndo hiyo elfu hamsini huna

      Delete
  2. Vtambi cyo issue on bed n mwendo wa kuswet......

    ReplyDelete
  3. Asali ndioinayokuongeza kitambi,vingine tumia ssali acha

    ReplyDelete
  4. ahahaha...ata mm ninakitambi maana kila siku zinavyozidi kwenda na kitambi kinaongezeka yaan ata nikifavaa nguo sipendezi..jamani tusaidieni kwa hilo.

    ReplyDelete
  5. Tusaidieni wadau tupo wengi wenye ugonjwa wa vitambi. Hata nipige pamba vipi cpendezi kabisaaa, tumbo ndo linatangulia, bora uwe na mimba kuliko kitambi kwani unabeba mzigo ujui utautua lini! Naona nimeshakuwa kero kwa shemeji yenu ingawa asemi, ILA nimemjua mwizi wangu Ni ki smart phone. Nimechoka nikaona labda na kitambi changu ndo tabu: tupeni ushauri nitaufanyia kazi haraka Sana:

    ReplyDelete
  6. Nimependa comments zenu hapo juu kwani mmeweka mada za maana na kuzijadili ya admin akapigwa kapuni!?! Very gud vergoooood again!?! Mwache chizi na uchizi wake! Have long life all of you!?!

    ReplyDelete
  7. Kwa wale wenye vitambi kazaneni kufanya situps kufunga tumbo kwa kuvaa corset yani ivue ukiwa unaoga tu week 3 nyingi tumbo kwisha msisahau kupunguza msosi sana sana wanga

    ReplyDelete
  8. Yan kumbe Tupo weng me nimemaliza product zote mji mpk nje holaaaaa sjui nimelongwa alafu ata so mlaj wala mnywaj kiivyo sa iv najivalia zangu Madela tu mana kitamb kimenibebea mpk makalio yangu jaman mwil umekuwa full mvulugano.

    ReplyDelete
  9. mama mpe ushauri mzuri mwanao atulie, maana haya machangu yakishaona pesa iko sehemu fulani ndipo yanakimbilia.

    ReplyDelete
  10. Wakati mwingine dawa za uzazi wa mpangonaka nyota ya kijani zinafanya watu waongezeke uzito, na hata ukijaribu kupungua haisaidii. Ila waweza kupunguza kitambi kwa kunywa maji ya moto au uvuguvugu adubuhi pamoja na limao au ndimu. Kuna mazoezi fulani ya kihindi ya yoga unavuta tumbo ndani huku unapumua haraka haraka nadikia yanasaidia, yaani unakuwa unavutta hrwa huku tumbo linarudi ndani. Ama sivyo fanyeni mazoezi ya taekonfo au karate.

    ReplyDelete
  11. duuuu bora mnajadili mambo ya maana hapa ya kupunguza vitambi,yaani tumechoka na upuuuzi wa hiyo stori hapo juu iliyotolewa na bloggermipotezeeni,tujadili hapa mambo ya maendeleo.

    ReplyDelete
  12. wee mama ndio maana wadau wanakuambiaga unatombana na mtt wako vi2 vingne sio vya kuongea mama. kuwa makini.

    ReplyDelete
  13. wee mama ndio maana wadau wanakuambiaga unatombana na mtt wako vi2 vingne sio vya kuongea mama. kuwa makini.

    ReplyDelete
  14. Sasa uyu dai akijamba tunamjadir akinya kumjadir akitawaza kumjadir embu toen usenge APA weken na mambo mengine chefuuuu uuuuuuuu!

    ReplyDelete
  15. Yani wadau nimewakubali Sana tuna mambo mengi Sana ya kujadili, ya kutuelimisha. Sio kila cku tunajadili watu na maisha Yao, hayatuhusu kwani ndivyo walivyoamua kuishi, yakiwa mabaya watajirekebisha yesu akiwagusa au mtume akiwagusa, kama wanaona Ni mazuri watakuja juta wakati ukifika. Plz admin weka mambo ya maana. Tumechoka na mambo hayo!!

    ReplyDelete
  16. kazi kulandana na mwanao.mumeo hajafa mludie upunguze stress za maisha.akitumiwa picha au kupigiwa simu tatizo liko wapi?mludie bwana wako uludishe heshima,acha ujinga umri wako umekwenda.sio mara redioni mara magazetini.

    ReplyDelete
  17. please u guys don't intering this mum kwa uchafu wenu bana.

    ReplyDelete
  18. heshima ichukue mkondo wake mama kaulizwa swali naye kajibu tatizo li wapi jamani

    ReplyDelete
  19. heri unaetaka kupunguza kitambi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad