Manager wa Ney wa mitego ashangazwa na utajiri wa Ney.
5
July 27, 2014
Miezi miwili iliyopita msanii Ney wa mitego alianika utajiri wa ajabu zikiwemo nyumba nne na gari moja ya kisasa nissan murano!! Akichezesha taya na mwandishi wetu aliyekuwa manager wa ney amesema tangu aachane na ney miezi 7 iliyopita alikuwa hana hata nyumba moja ameshangaa kumuona ana nyumba nne ghafla lakini manager amesema inawezekana jamaa anatafuta kiki ili watu wanaomuita kwenye show wafikirie kumpa mpunga mrefu na si laki laki wanazolipwa kwenye fiesta! Amefunguka kwamba Ney kuwa na hizo nyumba basi itakuwa ni miujiza.
Bihashara ya unga WA lishe ya watoto, inalipa Sana Ata hizo nne Ni chache Sana. Unga WA lishe unalipa Sana. Ndo aridhike acje akajisahau akampelekea unga WA lishe jack cliff alipo. Jamani watoto wamekuwa wakubwa awatumii tena unga WA lishe achenii ridhikeni na mlichopata.
ReplyDeletesembeeeeee
ReplyDeleteLIONGO HILI....KUTAFUTA KIKI TU...
ReplyDeletemuziki gani bongo wakukufikisha huko? sembee tu hiyooooo
ReplyDeleteSasa wewe meneja unaona wivu? Wacha watu wafanye Yao, wewe mwenyewe unatamani ulipwe hizo ela za fiesta sema hunasoko, pyeeeee
ReplyDelete