Martin Kadinda:Nilitamani Wema Sepetu Awe Mpenzi Wangu Ila Nilihairisha Baada ya Kugundua Hili

Stori: Mayasa Mariwata

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda amesema kabla hajawa kiongozi wake, awali aliwahi kumtamani kimapenzi mcheza filamu Wema Sepetu, lakini alighairi baada ya kugundua ni mwanamke wa kudekadeka.

Kadinda alitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati akipiga stori na paparazzi wetu kuhusu masuala mbalimbali yanayomhusu msichana huyo ambaye ana uhusiano wa kimapenzi na mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz.

Kuhusu maisha wanayoishi nyota hao wawili wapenzi, Kadinda alisema kwa jinsi wanavyoishi ni kama watu wanaoigiza, akitolea mfano wa kipindi walichorudiana wakiwa nchini China, ambako wenyewe walisema wanaigiza filamu wakati ndiyo kwanza walikuwa wanarejesha penzi lao lililovunjika mara ya kwanza.

Quote of The Day:
Don't judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant.

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa mtindo huu kazi ipo, ukimwi utaisha kweli? Au mm ndo sielewiiiiiiiiiiiiiíiiiiiiiiiii.?

    ReplyDelete
  2. Coz wewe siyo type yake.namaanisha kadinda siyo type ya wema.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mmmh!Wema ana cha type jamani?kivipi?

      Delete
  3. Ina maana hujam..................hata siku moja?Uongo bhana!

    ReplyDelete
  4. Huyo Punga Hawezi kuwa mpenzi wa wema, wataishia kuwa mashoga ndo maana mtu mzima anamwacha huru coz anajua kuwa hana sumu, tuliyesoma nae tunafahamu hili. Kama mnafatilia vizuri kuna show alihost Adam Mchovu akashindwa kutaja Ubini wa Martin kwani halileti maana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. inawezekana ni Bisexual anapiga na kupigwa, hahahahhaa,

      Delete
  5. kwanini asiwe muwazi tu kuwa yeye ni SHOGA, anakarabatiwa na wavulana wa masaluni he he he he jamani heri kukaa kimya kuliko kujifanya KIDUME :)

    ReplyDelete
  6. Bisexual umekuwa Martin?

    ReplyDelete
  7. We kweli mbweha yaan hutaki adeke mjinga mkubwa ww mtt wa kike must kudeka mxiuuuuu

    ReplyDelete
  8. nyie mna kulana msituzingue

    ReplyDelete
  9. Martin ni shoga na alifukuzwa tosamaganga kwa kesi ya kufilwa!!!

    ReplyDelete
  10. Mikocheni B kuna saluni yenye masaji, ana bwana anamfila huku inje ya mlango wahudumu wanalinda mlango.

    ReplyDelete
  11. hahhahahahhahahahahhhhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwiiiiiiiiiiiiiiiikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikwiiiiiiiiiiiiiikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

      Delete
  12. Kwani sir punga ili linajikosha tu apo

    ReplyDelete
  13. mmmmmmh jaman

    ReplyDelete
  14. mi namwitaga maty...sitasahau siku aliyoninyonya mboo kwenye gari langu nje ya bilicannas..hadi nikakojoa aha anajua aisee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad