Happiness Magese anasihi wanawake kucheki afya zao mara kwa mara wasije wakakutwa na tatizo kama lake la ugumba ambalo limeharibu na kibofu chake na kupelekea hata kushindwa kukojoa kwa njia ya kawaida na badala yake anatumia mipira, ni vema kuchek afya mara kwa mara.
Quote of The Day:
“The sky has never been the limit. We are our own limits. It’s then about breaking our personal limits and outgrowing ourselves to live our best lives.”
kwani jaman ni mgumba?
ReplyDeleteMungu akuponye
ReplyDeletepole magessa
ReplyDeletePole sana na hongera kwa kuwa Muwazi, ni wachache sana wenye moyo kama wako, Mungu ni mwema atakuepusha na maradhi yako.
ReplyDeletePole,lakini tushukuru yote ni mipango ya aliyetuumba
ReplyDeleteIlibide awe muwazi. Angejifanya kuficha at the end of the day story inge leak ndio angeipata habari yake. Sasa hiyo yoote ni kuogopa Scandal isije mgeukia. Kumanyoko zake anacheza offensive na kutafuta huruma.
ReplyDeleteUsijali utapona tu,tunakuombea na Mungu wetu ni mwema
ReplyDeleteHalafu huo mkojo anaukojolea wapi? Dar es Salaam ama New York???? Halafu ni lazima ijulikane kuwa yeye sio mtu wa kwanza wala hata kuwa wa mwisho kukojolea through urinal tubes. Ni kihele hele chake kupiga hizo pics na kuziachia kwenye mtandao. Attention Seeker as usual.
ReplyDeleteYaani wewe hapojuu hujafa hujaumbika nadomo lako wewe mwakahaujaisha huu.katubu lasivyo usishangae kujikuta watofauti.umemzihaki happy umesahau nawe ni binadamu nakwambia ukatubu hio statement yako ife lacvyo u will be in trouble kwanjia yoyote ile.cjakupenda kbsa shame on u.happy polesana ILA yamungu nimengi yataisha hayo trust on him tu.
DeleteHilo ndilo tatizo la kuendekeza mambo ya Dunia na kumsahau Mungu. Na pia ndio tatizo la kujiona uko above Mungu. Unaweza kunipenda ama kunichukia lakini Mungu ni mkubwa na anatujua sisi watoto wake ambao ni binadamu. Unaweza kuona hata ukweli wa mambo katika hizo picha. Badala hata ya kuvaa gauni lenye heshima ili kujisetiri. Ndio hivyo unavyoona anatuonyesha Mapaja yake. Mungu hapendwezi na hilo. Ni watu wangapi wagonjwa ambao wanatumia Catheter bags lakini wanavaa hospital gowns kwa kujisetiri. Wewe ni nani kutoa judgment juu ya maoni yangu. Kumbuka ya kuwa sisi wote ni watoto wa Mungu. Basi japo angepiga picha na Biblia pembeni kuliko kutuonyesha hivyo vipaja kama vya Kuku wa kienyeji. Muogopeni Mungu nyie uzao wa siku hizi. Acheni kuendekeza tamaa zenu za hapa Duniani. Tena unikome kabisa wewe anonymous 10:37 PM. Unikome kama ulivyolikoma ziwa la mamako. Mbweha mkubwa weeee..........
DeletePole sana mipango ya mungu tunakuombea wanawake wenzio
ReplyDeleteAcheni basi kuongea vibaya mpeni pole mwenzenu na kumuombea kwa Mungu apone. Hujui wewe kesho yako itakuwaje maana hujafa hujaumbika. Upone katika Jina la Yesu
ReplyDeletepole Happiness mungu akusimamie upone haraka
ReplyDeleteNi kweli kabisa tumtakie kila la kheri apone Haraka kwa kudra zote za Mwenye Rehema. Ili akiishapona aende akaendeleze lile gurudumu la Maendeleo pale Mtwara kwa kuendeleza ujenzi wa vile Vibanda vya Kuku vya Wanafunzi kusome. Bwana ahidimiwe.Amen!
Deletepole happy.....ni mitihani ya dunia iyo..
ReplyDeleteHuyu nae kutumia catheter Mbona Si jambo la ajabu?mi Si mgumba lakini nishawahi kutumia mipira 3days,mlango Wa kibofu ulijifunga,siku ukipima ukakutwa HIV positive njoo umu uje utujuze.(msonyo)
ReplyDeleteUgumba na matatizo ya kibofu Ni vitu viwili tofauti
ReplyDeleteInawezekana tatizo la kibofu likawa ni mojawapo ya complications zinazoendana na ugonjwa huo. Otherwise huo ugonjwa ni very common hapa Duniani. 176 million ya wanawake na wasichana wako affected na huo ugonjwa Dunia nzima. 8.5 million ni Norh America pekee na over 2 million ni UK. Kwa hiyo kimsingi ni ugonjwa ambao ni so common. Huyu msichana amekuwa akipiga picha na kuzi post pale Instagram yuko ana party na virafiki vyake feki viNigeria pale New York. Kumbe wakati ana party wakati huo huo kibofu chake cha mkojo kimeziba. Sasa sijui alikuwa anamdanganya nani kwa kuzi post zile picha pale Instagram eti ana party yuko kwenye good time kumbe ni muathirika wa endometriosis. Sasa leo hii anatafuta pole tena ya kutojisetiri na kutuonyesha vipaja vyake vya Kuku wa kienyeji hapa. Kama sio kutafuta huruma na kiki ni kitu gani???.....Anataka watu watishike na hiyo Catheter tube even if is some new. Huyu hana lolote zaidi ya kutafuta attention. Ni attention seeker. Halafu labda anategemea Umoja wa Mataifa watamchagua awe Balozi wa ku present huo ugonjwa Duniani. Watu wanavyojua kutafuta kiki kiulaini namna hiyo bila kuzifanyia kazi heeeeeee anafikiria hiyo chance ataipata kiulaini kiasi hicho hata haya hana. Mtoto wa kike Jifunze kujisetiri na ukishapona nenda pale Mtwara kaendeleze vile Vibanda vyako vya Kuku kwa sababu that's the only thing you deserve in this earth.
DeleteMagonjwa mengine mnakjinadi Mkipata HIV mjinadi pia.kuna sababu ya Happiness kujitangaza Si bureeeee Huyu dada is smart,kuna kitu anakitaka Kama Si UN basi kwa kikwete
ReplyDeleteSasa anajaribu kuwazuga baadhi ya waTanzania wachache wajinga wasiolewa huo ugonjwa. Hiyo yote ni kutaka kutuambia ya kuwa yuko so exceptional yaani hakuna wagonjwa wengine zaidi yake. By the way ameshindwa kutuambia jinsi alivyokuwa hana ile Medical Insurance. Kwa sababu hata ukiziangalia hizo picha hayuko kwenye Hospital gown wala Hospital bed. Yaani kapigika mpaka amekosa ile Medical Insurance ya ku cover ugonjwa wake. Anaonekana yuko kwenye kitanda cha chini cha kienyeji kama vile Msukule.
Deleteloo.. poor yu.. God is great utapona mwaya!
ReplyDeleteUnafikiria ingekuwa wewe ndio unaumwa hivyo angekujulia hali..maviii wewe huwajui hawa ma celebrity uchwara wa Bongo. Asinge hata bother. Kwanza hakujui na wala asingetaka hata kukujua.
DeleteNa kwa kweli akija kuumwa HIV/AIDS ama Hepatitis C au Gonorrhoea aje ajinadi the same way anavyojinadi na hiyo Endometriosis. Aje forward na kutuelezea jinsi ambavyo amepigika mpaka amekosa ile Medical Insurance. Na ni kwa nini ameamua kwenda kutibiwa Local. Cheza na United States wewe........
ReplyDeletemdau inaelekea wewe ni msomi,ebu nielezee ugonjwa wa hepatiti c na B please.unakuwaje?
DeletePole mwaya! Lakini wadau hicho kijitanda unaweza jigeuza kweli!! Yaani da!
ReplyDeleteAtaweza wapi. Hana hata Medical Insurance. Cheza wewe.........
DeleteHahahahahahahahahah
ReplyDeletepole happy mungu akuponye
ReplyDeleteMaskini.pole sana.
ReplyDeletepole xana mwaya mungu yupo utapona tu ila uciache kumuomba mungu na kuangaikia dunia hii ndio mana balaa zinatukumba coz tumemsahau mungu kabsa wanadamu tutubu nakumrudia mungu
ReplyDeletePole sana H app mungu atakupa nafuu.
ReplyDeleteNitakurudishia afya asema Bwana wa Majeshi. Mwambie Mungu inatosha akurehemu, imo nguvu katika kukiri kwa kinywa chako. Tafadhali, fanya ibada sana na huu ndio wakati muafaka wa kumrudia Mungu Happy. Mungu yuko kwa ajili yako wewe nami, anataka tumwangalie yeye tu asiyeshindwa.
ReplyDelete