Matokeo ya Tuzo za AFRIMMA 2014 Alizokua Anawania Diamond Marekani

Wanaziita African Muzik Magazine Awards ambapo za mwaka huu 2014 zimetolewa huko Eisemann center Texas Marekani na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo Diamond wa Tanzania ambae pia alikua mmoja wa wanaowania tuzo.
Good news kwa mujibu wa meneja Babu Tale ni kwamba Diamond ameshinda tuzo mbili moja ya Msanii bora wa Afrika Mashariki na nyingine ni wimbo bora wa kushirikiana ambao ni ‘number one rmx’ alioufanya na Davido wa Nigeria.

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera sana diamond,nimefurahi sana manake wale wenye chuki watapasuka.big up usikatishwe tamaa na maneno ya wenye chuki kaza buti tupo tunaokongwa moyo na kazi zako.

    ReplyDelete
  2. Very good indeed

    ReplyDelete
  3. hongera sana nasseeb, siku zote usikatishwe tamaa na watu wasiokutakia mema, muombe mungu na pia ongeza bidii zaid.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe mbweha mpigie promo pia na Lady Jaydeee kwa sababu na yeye ameshinda pia. Acha unafiki mbweha weeeee

      Delete
  4. mwixho wako ni uwo...znazo fuata niza ally k

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtabaki ivyo ivyo na vyoyo vyenu...badala ya kuunganisha nguvu mka promote mziki wa nyumbani mmekaa na majungu na fitn kuurejesha nyuma..the way mnavyomponda Dimond na MUNGU anamuangalia kwa jicho jengine...imefika wakati mkubali tuuu...Diamond is the best....we know Ally kiba yupo juuu bt this is Diamdond time...Time will .....This is how hes doing...

      Delete
  5. Actions speak than words....wataisoma tu japo kimya kimya.....ume fight na kimeanza kueleweka ndani ya mwaka 2014.....Mdogo mdogo Diamond...wacha waongeee ww piga kazi na mafanikio yako ndio majibu yako....your silence will kill them,your success will burn them.....Congratulations Diamond...unatupeleka tunapotaka sasa,ni ww ndie ulioubadilisha mziki wa BONGO fleva...u change the game,wakitaka wasitake,u change the game from local site to Internarnational site....tunasubr tuzo ya Bumbum na mdogo mdogo...Hard work pay......keep going with extra efforts bro!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona humtaji Lady Jaydeee pia?????? Umekazana na domo domo vipi kuhusu Lady Jaydeee???? Acha ujinga mbweha wewe......hiyo ya actions speak louder than words ndio inayotakiwa iende kwa Lady Jaydeee huyo domo na watu wake ni maneno sana na uongo juuuu mbweha mkubwa weeeee

      Delete
  6. Kiboko yako jaydee Anna mbwembwe wala kuwa promoted na media na kabeba tuzo,,,ya afrima best female east Africa,,so Kula simu diamond diamond, engine wapo anakondaaaaaaaaaaaaa queen of the jungle,,kaa chin diamond bila promo asingepata

    ReplyDelete
    Replies
    1. waswahili kwa vyoyooo...hamwishi visingizio! unataka kutwambia ha deserve tunzo kwa kazi yote hii na bidiii anayoifanya? mnyonge mnyongeni bhana lakini haki yake mpeni....tuwachane na jealous zisizo na msingi.....yaani basi mponde tuuu kila kitu chake...Dah....wanastahiki hongera sana wote wawili....

      Delete
  7. jayd apigiw promo ye n action tu....

    ReplyDelete
  8. Hivi babi tale kwanini unakua muongo hivo besy collabo imeenda kwa mafikizolo

    ReplyDelete
  9. big up sana diamond usisahau yatima na fungu la kumi mungu atafungua baraka nyingi sana kwako mshukuru mungu kwa kila jambo be blessed naseeb

    ReplyDelete
  10. AH AH AHA AH URONGO TENA URONGO SANA MUTADANGYWA NYINYI DOMO HAJAPATA HIO TUZO SI YY KAMA HAMUAMINI GOOGLE MUANGALIE SIO DOMO KAPATA AHHH WACHENI UWONGO BAB TELE

    ReplyDelete
  11. hio tuzo iwapi urongo domo hajapata admin hakikisha kwanza kabla kuandika sio kweli wala sina wivu na domo but musitufanye wajinga kiasi hichi domo hajapata

    ReplyDelete
  12. Kumanyoko kashinda tuzo moja tu ya Best Male East Africa. Hiyo wanayosema ya Best Collaboration imeenda kwa Mafikizolo ft Uhuru. Kumanyoko zake anacheza. Acheni kuendekeza uongo na tamaaa.

    ReplyDelete
  13. Mbona hamumsifiii Lady Jaydeee aliyeshinda zawadi ya Best Female East Africa???? Acheni ubaguzi na upendeleo wa wanamuziki. Wanamuziki wote ni sawa. Au Lady Jaydeee sio Mtanzania?????? Au Lady Jaydeee haiwakilishi Tanzania?????? Mbona yeye hamumzungumzii mafanikio yake??????

    ReplyDelete
  14. Kwani hizoTuzo alikuwa anawania Nasibu peke yake,Mbona Judith Wambura hamu mtaji,mtoto wa kike bila promo bila colabo wala Feturing amekamata tuzo,TIMU ANA KONDAAAA MIAKA MIA NANEEEE!Nasibu hongera mpelekee Wema Tuzo yako mwalimu wako wa English course akapige nazo picha.

    ReplyDelete
  15. JIDE ndio mwanamuziki bora hana muda wa kutegemea team mavi mavi zimpigie kura na mabifu ya instagram, wala haitaji mabifu ili aonekane yuko juu, kazi zake zinatosha kumtambulisha bila kutegemea collabo. Huyo diamond wimbo anaouringia ni remix ya ngololo ambayo davido yupo ndio wimbo pekee unaoingizwa kwenye kila awards anazokuwa nominated kwanini hajiulizi kwanini hao nominees hawachagui ngololo aliyoitoa kabla ya kufanya collabo na davido???? Jiangalie bro fanya kazi yako mwenyewe ikuingize kwenye awards kama jide na uache kusafiria nyota za wenzako, naona unajitahidi kufanya collabo na mafikizolo ili next year uwe nominated tena kwa nyimbo za collabo. tunataka kukuona umekuwa nominated kwa wimbo wako na sio collabo. By the way sijui kama umeshamshukuru davido. Ingekuwa wewe ndo davido tungekoma na hizo team mavi zako na za mkeo.

    ReplyDelete
  16. Mm nawapongeza wote diamond na ladyjaydee achen ukuma nyinyi mnaoendekeza usenge kwa kuleta mabifu ya kijinga kwenye ukweli muongee ukweli sio ujinga tu watu wamepepelusha bendera ya taifa vizur big up to them

    ReplyDelete
  17. Nadhani duniani Tz ndo inaongoza kwa kuwa na watu wenye wivu usokuwa na mashiko kabisa, watu wanaoponda kila siku, wasopenda maendeleo ya wenzao.

    Dia + Jide wamewakilisha nchi yetu twatakiwa kufurahia ushindi wao lakini matokeo yake ni dharau kwa Diamond hadi tunashangaza dunia kwa kweli pamoja na kwamba NABII HAKUBALIKI KWAO but this is too much

    Ila kaeni mkijua haters KUMPIGA CHURA TEKE NI KUMUONGEZEA MWENDO na majibu yake ndo hayo myapatayo kutoka kwa Diamond - nyie mwaungulia mwenzenu yake yamwendea vema

    ReplyDelete
  18. Wanaoponda wote wamekosa kazi, kila mwenye bidii MUngu anamuona

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad