Message To Ally Kiba..Hii Mwana Sijui Dsm Umepanick..Diamond Alipo Anachekelea Tu
69
July 27, 2014
Ukweli unauma...nasema hivi Talent pekeee haitoshi bila kujipanga...nikiwa kama shabiki wa Ali kiba,huu wimbo wa mwana kachemka..watanzania tuwe wakweli na sio watu wakurupuka tu..Kiba ana vocal za hatari hili halina ubishi ila nyimbo hamna kitu..chorus haina mvuto maneno hajajipanga..in short kapanic..na kama ndo alijichimbia na kutoa nyimbo basi alichemka Game imechange na ndo maana ata ukisikiliza nyimbo ya Fally ipupa kabadilisha style mpaka beat..My opinion ni kwamba Kiba huyu sio sawa na Kimasomaso..Kapanick yani kama huyu ndo competitor wa Dogo Dangoti alipo anacheka tu..kweli Kiba u lacking some Good PR,Management ambayo inajielewa ikupe ushauri,inauma kwasababu sauti yako ni untouchable ila wrong management..ni hayo tu..Naandika hivi ili watu wake wampelekee msg its such a waste of Talent.
naona ni kweliii kabsaa
ReplyDeletenaona ni kweliii kabsaa
ReplyDeleteumetumwa ww kymchafua au
ReplyDeleteKi ukweli hats me cjazikubali hizo nyimbo japo Ni shabiki wake. Amezidi kumpaisha domo tu
ReplyDeleteMmmmh we sio shabiki wakiba kabisaaaa acha kujishaua ndo nyie mmetumwa kumchafulia ili tumuone kiba sie, hamuwezi kufanikiwa coz watu tunaojua mziki wakweli lazima ukubali kwamba nyimbo ipo tite though ilirikodiwa 2yrs ago still kwetu ina mantik sana. Nyie ndo mmepanick jasho linawavuja mnaogopa jamaa karudi anasiku 4tu ila kashatuteka hisia zetu kwa raha zetu. Acheni roho zakwanini mwacheni Kiba afanye yake sasa he is back for good mjipange sana wehu nyie AllyKiba 4real hana drama nimutu yawatu. Tutoleeni uwoga wenu wakishamba
ReplyDeleteMbona dangote video mdogo mdogo ka kopy na kupaste concept ya aye davido atusemi,,sema ye kamchukua mtoto WA kizungu lakin kaifanya advanced tyu concept ya davido
ReplyDeleteKumamako
ReplyDeleteally k anajua
ReplyDeleteWE UMETUMWA NA DOMO? KIBA ANAJUA KULIKO DOMO
ReplyDeletebro nalimeseji lako naona limekupanikisha mwenyewe jipange uje upya Kiba anajua ni siku chache kazitoa lakini kitaa watu tunakula raha na ngoma zake coz zipo poa, sasa ww jishaue shabiki wake wakati kama ni usnitch kwa wazo hilo umebugi kajipange
ReplyDeletelimepoteza tym.yke kuandka gazet lake kwendrraaa kule
ReplyDeletealafu huyu mleta mada anaonekana kabisa hampendi kiba.bichwa lako.
ReplyDeleteWewe ndio umechemka kuandika miutumbo yako nenda kamshauri hilo domo achane kabisa na Ally kwasababu anajua sana yeye wetu tunamuona kichekesho tu halijui ajilinganishe na vidampa wenzake huko kwa Allyk hamuingii hata ukucha so hata atengenezee sumu gani itakuja kumuua mwenyewe bure sie tunakula radha tamu yamusic waukweli, yeye aendelee na maskendo ndio auze uchafu wake kupitia hawa udaku wakijinga. Halafu nanyie Udaaku mavi mtoeni Ally wetu waukweli yeye anafanya mziki waukweli anajielewa hafanyi udaku kamab hilo domo lenu ovaaaaa
ReplyDeleteUMETUMWA UMCHAFUE KIBA ILA UMECHEMKA,TULIANZA KUWA SIKIA WAKINA PQUARE NA IFUNANYA BADO WAPO NA WANAPIGA MZIKI KAMA KAWAIDA AKAJA DAVIDO ZAMU YAKE NAE ATAPITA KWA HIYO HATA HUYO NASIBU ATAPITA TU HATA KAMA SIO LEO SIKU YAKE IPO UKITAKA KUJUA KIBA YUPO JUU NI KWA JINSI MNAVYO MFUATILIA MAISHA YAKE,BONGO KUNA WANA MUZIKI WANGAPI MBONA HAM WAFANANISHI NA KIBA WEWE KAMA NYIMBO YA MWANA HUIPENDI BASI WENGINE WANAIPENDA,NENDA KASHABIKIE MDOGOMDOGO ALIYO COPY NA KU PASTE NIGERIA TATIZO LENU HAMUANGALII NYIMBO ZA WANA MUSIC WA WEST AFRIKA MNGEONA JINSI DIOMOND ALIVYO COPY MPAKA MY NO ONE JINSI YA KUCHEZA.ACHENI HIZO WASAPOTINI WANA MZIKI WENU SIO KULETA UGOMVI.
ReplyDeleteADMIN DOMO YAONESHA AMEBABAIKA NA ALLY K MPAKA SIJUI KAWALIPA MUMSIFIE DOMO KWA TAARIFA YAKO DOMO HAWEZI MWINGIA KIBA HATA KWA MZAHA
ReplyDeleteWewe ndio umechemka kuandika miutumbo yako nenda kamshauri hilo domo achane kabisa na Ally kwasababu anajua sana yeye wetu tunamuona kichekesho tu halijui ajilinganishe na vidampa wenzake huko kwa Allyk hamuingii hata ukucha so hata atengenezee sumu gani itakuja kumuua mwenyewe bure sie tunakula radha tamu yamusic waukweli, yeye aendelee na maskendo ndio auze uchafu wake kupitia hawa udaku wakijinga. Halafu nanyie Udaaku mavi mtoeni Ally wetu waukweli yeye anafanya mziki waukweli anajielewa hafanyi udaku kamab hilo domo lenu ovaaaaa
ReplyDeletenyie mwakuza ugomvi na huyo domo hawezani kwa kiba nyie mpigieni domo ngomaaa lakini ali k mwacheni his a unique artist we love you ally k coz huna masifa ur songs are nice na umejimakini sio kama huyo domo mara hiki mara kile
ReplyDeletehuyu ADMIN KASHALIPWA SASA ATAANZA MPONDA KIBA UTAWACHA WATU WAWACHE INGIA HII BLOG KWA MAMBO YAKO YA KISENGE WACHA KUMPONDA KIBA WAMTETEA DOMO YA NINI YOU SHOULD BE NEUTRAL NA HAKUNA ALIYE KUULIZA MAONI YAKO
ReplyDeleteunlipwa nini mbona wewe pia wamponda ally k ababaishwe na domo kwa kipi mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh urongo mtupu Ally k is back for action we feel you man huyo domo kazi ku copy na kupaste kusema kweli kuna watu kibao uwa mara wasema domo amewaibia nyimbo ondoa ushenzi wako na domo tumewachoka na huyo wema pia
ReplyDeletehahahahahhaha" mimi mti wenye matunda kupigwa mawe lazima" upoooo so hao wasiotoa nyimbo mpk mwenzao atoe then kaniibia kaniibia ni mazafantar, sasa hiyo action ni hiyo nyimbo ya harusi? si aende five star tujue moja tu JIPANGE SANA KUMFIKIA PLATNUM kwa nyimbo za harusi hahahahahahah mujipangeeeeeee
Deletekimaso maso wewe domo na huyu admin na vibaka vyako mtamwona ali k yebaaaaaaaa apanick nin wakati domo kawahonga mumsifu ondoa upuuzi wenu mushaanza msifia domo mhhhhhhhhhhhhhhhhhh semeni ukweli
ReplyDeleteKimaso maso kwani tunaenda harusini, mdogo mdogo mpk watakaaaaaa wasipokaa ni bum bum ni mwendo wa kuwanyoa vipara tu hahahhahhaha kiba umefulia
DeleteAcheni unafki nyie mmetumwa na domo, ngoma za kiba zote nzuri sana tena Sana.
ReplyDeleteYani domo jipange utawaonga Sana hao waandishi WA udaku ili wamchafue kiba, umetokosa domo, tunampenda Sana kiba kwanza nyimbo zake zina ujumbe mzuri toka ameanza ajawahi kosea, nyimbo zinaeleweka, c zako domo nyimbo zako Ni hovyo azina ujumbe wowote Ni za mapenzi ya kijinga, yako na wema. Uwa cpendi nyimbo zako Ni za kit to Sana. Acha kabisa kumchafuA kiba wetu yupo huu. Roga Sana kiba karudi jipange domo.
ReplyDeleteHahahaahhahahahh DIAMOND unawanyima watu ucingz kwa kweli keep it UP BRO,umewapoteza mbaya wanakalia majungu na unafki hahahaha
DeleteWanafiki haoooo Kiba yuko juuu, Watajutaa domo usaniii mwingiiii lakini kwa sauti hamfikiii alikiba hata kwa nn? Na watanzania wote tunalijia hilooo
ReplyDeleteYuko juu ya nn? Who is Kiba by the way...? tushamsahau eti
DeleteAnony 2:07AM Usitusemee watanzania wote semea nafsi yako - kila mmoja ana nyimbo zake na wapenzi wake MALUMBANO YA NINI SASAAA?????
Deleteduj kweli kiba anapendwa
ReplyDeleteanapendwa na ma snitch wenye hate kwa dai kwa mafanikio yake
DeleteAsiyejua anakuwa nominated kwenye tuzo za heshima duniani (BET, MTV, CORA,AFRIMA na sasa best intertainer with Yaya toure" nimeami kumbe taila sio lazima uokote makopo. Eti alikia alimshilikisha R kelly wakati ukimuuliza R kelly who is Ali Kiba atabaki na ???? Alikuwa anawasaidia wasanii a africa it was a Project ninyi waokota makopo. Mwenzenu kwasasa akienda nchi za nje anapokelewa na mabalozi tanzania. Domo ana Mission na Vission that's why he is investing much than spending. Mkubali mkatae domo anaakili ndiomaana anaheshimu management. Najua mtatukana bt elimu ya bure ndio hiyo. Cha msingi mtu anapo fanya vizuri tumpongeze na anapofanya vibaya tumkemee.
ReplyDeleteAnony 5:08AM umenena haswaaaaaa, atakaye kutukana huyo ni bongo lala
DeleteIli mradi tu mjipe moyo kwa Ali kiba, but ajipange kumfikia dangote Yuko level nyingine huo ndio ukweli
ReplyDeleteMnamponda huku ukweli unawaumbua Wa kufanya kwake vizuri dangote ameleta changes kubwa kwenye music industry mkatae mkubali na roho zenu za kimaskini. Hahahaha Ali by by byeeeee to music wakat wako ushaisha tusubili ataekuja kumrith dangote but for now platnum Yuko juu ndio wakati Wake hilo alina ubishi
ReplyDeleteHuyo mwandishi anaonekana kabisa anachuki kwa Ally K though ametoa maoni yake coz kitendo cha kusema eti MWANA SIJUI DSM hiyo SIJUI ukiiangalia inaonesha chuki then hajahusikiliza wimbo so he wasn't sure kwamba unaitwa Mwana DSM. Ulitumia Massa mangapi kuandika huo ushauri wako?? huo muda uliotumia kuandika gazeti lako ungeenda hata pale Ambiance Sinza ungejiuza ungepata hata buku mbili coz hata wanaume cku hizii wanajiuza coz hapa nobody pays you dear. Hiyo SIJUI toa hapo. Dai anawatia eee na bado atawatia sana tuu
ReplyDeleteKumbe na wewe umeona eee.. eti nwana sijui daresalama. Me nakwambia hawa wanatiwa hawa
DeleteKUMBE NA NIE KIBA ANAWATIA EEH NDO MANA HAMUMKUBALI DAI AAAH KUMBE TUSHAJUA MNATIWA HHEHEHEHEHEHEHEHEHEHHEHH
Deletekiba ni dopeest vocalist in tz
ReplyDeleteilikua zamani not now
Deleteumbea tu!
ReplyDeleteHuyo 5:08 Ni sema na kingereza mavi. Ukubali ukatae mheshimiwa ally kiba yupo juu Sana, domo bado ajamfikia kiba Ata roho pamoja na kuwa kiba alikuwa amepumzika. Kiba usikatishwe tamaa na wanga wanaofanya mapenz na..! Ili wapate umaharufu. Wewe Ni binge la mwanamziki. Acha domo zaidi kuonga magazeti wewe fanya yako watanzania wengi tunakupenda Sana ally kiba kazi zako nzuri Sana.
ReplyDeleteKimaso maso kwani tuko harusini? kwendraaaaa kiba hushaishiwa bye
DeleteHahaha huna hata haya na unachokiandika, kavuruga mbaya ajipange sana kumfikia Dai mppeni moyo wakati mnampoteza na ushabiki wenu mavi na wa kijinga
DeleteWewe hapo juu sio bure kiba atakuwa anakupiga miti sababu huwezi kusifu ujinga na pumba, Pltnum anawapoteza ndio mana hamumkubali usoni but moyoni mnamkubali
Deletekiba juuu..
ReplyDeleteacha ujinga..utaolewa na wema sepetu na wewe
DAI wanakukubali kiaina japo wanakudiss sababu sijaona ngoma kali zaidi ya vululu asizani zitampeleka mbali
ReplyDeleteDiamond iz the best of the best
ReplyDeleteDANGOTE IZ THE BEST SIO UONGO,
ReplyDeletePenye ukweli uwongo hujitenga Ally bado sana kumfikia Pltnumz ni hayo tu
ReplyDeleteGuys u hav to b real and frank,,,,I'm a fan of kiba and platnumz bt honestly kiba kwa domo bado sanaaaaa labda kwa uhandsome....diamonds are forever...ahahahahaaaaaa
ReplyDeleteDIAMONDS ARE FOREVER HAWAKUELEWA ANA MAANISHA NINI BUT NOW NDIO WANAJUA KWA DIAMONDS ARE FOREVER EEEEH POLENI FANS WA KIBA
ReplyDeleteYOTE MUNAYOYASEMA FURAHISHENI NYOYO ZENU NA MIDOMO ZENU BUT DAT FACT IS DEA AND WILL ALWAYS BE DEA ALL K YUKO JUU DIAMOND ARE FOREVER MWAJUA NYIE NA NYIMBO ZAKE ZA MAPENZI NA MASIFA TU. NA WENGINE WANASEMA ATI WIVU KWA MAENDELEO YA DOMO WW WAJUA MTU AISHI MAISHA GANI MPAKA MUSEME ANA WIVU MAYBE DEA LIFE IS MUCH BETTER DAN HIS SOOO ROPOKENI TUKANANENI MTETEENI BUT DA FACT IS DEA AND TYM WILL TELL ITS ALL ABT TYM KISHA WE SEE WAT YUO GYS ARE SPEAKING NOW YOU WILL SPEAK LATERZ. LIMITED MINDSZZZZZZZZZZZZZZZZ DANGANYANENI TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
ReplyDeleteits all abt time na ndio maana kiba alishashine, mr nice pia na sasa ni zamu za wengine diamond included....kiba has a nice voice lakin haizuii wengine kushine becouse of that.....akifanya vizur tutamsifia but we cant keep on praising him wakati he is doing nothing to praise his voice.
Deletehaina haja kushindana upuuzi kweli tym will tell wacha tuone
ReplyDeletedomo anajaribu lakini wat i hate abt him ni hizo tabia ya ongea bila kujielewa ovyo ovyo tu kuongea hio si tabia za kiume he should change his ways ali k his ok but his a simple guy dats wat i like abt him so lets enjoy da music sio maneno tuuuuuuuuu all da tym hawa watu wa gazeti hukuza maneno na ugomvi ile wao yawaende wako biasharani so musiwasikilize instead kupatanisha akae atoe maoni zake za fitna haifai namna hio jamani change
ReplyDeletemm penda sana kiba jaman yupo ki wanaume zaidi siyo uyo dadamond
ReplyDeleteATI DADAMOND HALLOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO HAPO CHACHA KWELI NI DADAMOND NA HILO DOMO LAKE
ReplyDeleteadmin acha usenge,fanya mambo ya mcng
ReplyDeleteALI KIBA ANA SAUTI NZURI ILA TUNGO ZINAMUANGUSHA
ReplyDeleteACHENI KUTOKA MAPOVU ACHA TUSUBILI ISIJE IKAWA NDIO MIAKA MINGINE 3 HAYUPO HEWANI....HII TUNGO HAINA MVUTO KABISA HAIBURUDISHI
ReplyDeleteAli kiba mimi shabiki wako kaza buti ameachwa nyuma sana jitahidi utupe raha mashabiki wako tupo single ingine ya kuturusha club hii single ni yawakiwa...
ReplyDeletediamond msanii mzuri jla ali kiba mzuri i thnk ali is the one of the bongo stars anayejulikama for his good music only bt diamond is big bcoz of other things scandals,changing women and all that japo he good artist lakin hivyo vitu vimempa kiki zaidi comparing Ali and Nassibu ni sawa na kucompare Beckham na Ronadinho bt kila mtu anajua beckhsm alikuwa mcheza maarufu tajiri lakin hana kipaji kikubwa ka Dinho ss Ali ni Dinho na Diamond ni Beckham ss akili kumkichwa bt they ar all make our nation proud
ReplyDeleteMwana mzuri kimasomaso sio
ReplyDeleteduh. lkn. hloo. kundu. kiba. nalo. mctupe. sana. ataliaa
ReplyDeleteUMENENA KWELI KABISA
ReplyDeleteakuna kama diamondi labda A.Y kwa mbali.ndo wasaniii ambao wanafahamika wengine usupastaa wao mwisho airport
ReplyDeleteLazima ukweli utabaki kuwa ukwel muda wako ukipita umepita na at any biznez investment ni kitu muhimu sana kiba alikosa management nzuri na ndo maana chaliii n if ts about being best vocalist hata rkelly ni best tena in da world lakin leo huwez fananisha shoo ya rkelly na chris brown coz muda wa rkelly umeshapita though bado vocal yake ipo juu......ni hayo tuu
ReplyDeleteSasa na hiyo nyimbo ya Domo mdogo mdogo mbona kachemka pia au hilo hujaliona...maana hiyo hiuo nyimbo kawaimbia Wazaramu.......yaani haina ata maana yoyote
ReplyDeleteAlly Kiba realy 4rever.......Wengine Watapita kama wenzao...Kiba atabaki kuwa Ally Kiba kwani kulikuwa na wangapi waliotamba na maajina yao hayajulikani tena lkn jina la Ally kiba bado lipo tena lipo na Mautamu yake jamani...Wote hapa tunajua sna Kama Ally kiba ni kiboko ya Domo ila mnajifanya kuwa na uso wa dagaa..lol
ReplyDelete