Modo wa Tanzania anayejulikana kwa jina la Calisah ambaye amewahi kushiriki Mr.Tanzania 2013-2014 ameandika picha za kimahaba katika picha za msanii maarufu wa filamu, Jackline Wolper ‘Gambe’…
“Umenifanya nisitamani mwanamke yeyote katika dunia hii.Nakupenda sana Wolper Gambe wangu coz i get everything from you.I love you kamdoli kangu, kichuna changu,” hayo ndo maneno ya kimahaba aliyoyaandika na kumtumia Wolper.
anasaga huyo ohoooo kuwa makin sn mana
ReplyDelete