Msanii Mwingine wa Bongo Akamatwa Chini Kwa Tuhuma za Madawa ya Kulevya
9
July 30, 2014
HUKU modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’, akisota jela nchini China kwa skendo ya kukamatwa na madawa ya kulevya (unga), mrembo mwingine ambaye aliwahi kujaribu kuchomoka kisanii kwenye muziki wa Kizazi Kipya almaarufu kwa jina la Winnie Mandela, naye amenaswa na polisi nchini humo...Inasemakana alikuwa Amebeba madawa tumboni na kupita vizuizi vyote mpaka alipoingia mtaani ndipo msako wa Polisi ulipomkumba na kumtia nguvuni....Hali Imekuwa Mbaya sana China kwa Watanzania kwani wanaishi kama Sungura
potelea mbali acha naye anyongwe.
ReplyDeleteSIJUI UWA HAWAONI WENZIO WANAVYO SHIKWA KILA MARA YA NINI KUTAFUTA PESA ZA HARAKA ISIYO NA BARAKA SASA UNKIPATA HUENDA KUA WALIMWACHA APITE ILI WAPATE KUJUA ALIKUA ATAENDA WAPI LABDA WAJARIBU KUSHIKA MTI
ReplyDeletekuna kaka mmoja nae anauza unga wa dona,R.Shoo,anawapanga wadada wenye tamaa ya pesa kama hana akili nzuri.wanamgombania balaaa,wadada wanapenda maisha ya mteremko bila kutoka jasho duuuu,shame on you,fanyeni kazi wadada acheni maisha ya mteremko,
ReplyDeletehuyo R.Shoo anawa toto chini ya miaka mitano kama kumi hivi anatia kina dada balaa,eti kisa ana hela halafu wanadai ni handsome,basi kila mtu anajilengesha azae,wengine wanaishia kutolewa ma mimba na wazazi wao.
ReplyDeleteMasholi acheni mteremko nyie mnaboa sana mmeuza MBUNYE mmeona hazilipi sasa umeamia kwenye SEMBE huko ss mmekwama mtaisha wote Blaifuckin busket thousands dolla shwaini nyie
ReplyDeleteBaati mbaya sister umebeba sembe kizembe akina shivo wamekuotea ila ucjali mungu atakusaidia co kosa lako hii kutokana na nchi unayo tokea aimjali raia wake
ReplyDeleteTz ni nchi yenye vitu vingi sana vyakufanya kwa mtu ambale ubongo wake upo active..ila kwa vilaza wapenda miteremko na tamaa mbele ndio hukimbilia vitu haramu..pole kwa ufinyu wa vikra kudumbukia shimo walodumbukia wenzako huku una macho na akili timam ni uzembe..watu nchi zao zina vita hawafanyi kazi hawalimu ila sembe hawabebeshi sisi amani ipo kujituma hatutaki...china wanyonge hadi wajitambue sembe niharamu
ReplyDeleteDAH INAUMA KWELI KWA WATANZANIA HUKO CHINA
ReplyDeleteSisi wa Tanzania ni wavivu na hodari wa kulaumu serikali gepu kibao za pesa lkn mpaka watu wa nje wake watuonyeshe,hiyo ndo kazi hasaa ya wa Tz mtaishia wrote china
ReplyDelete