Must Read: Barua ya Emmanuel Mbasha ikieleza jinsi Mkewe Anavyochepuka na Mchungaji wake na Walivyopanga Kumfunga

Muimbaji wa muziki wa injili na mfanyabiashara, Emmanuel Mbasha anayetuhumia kumbaka shemeji yake, ameandika barua ndefu kwa mchungaji maarufu nchini, Gwajima anayemtuhumu kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mke wake, Flora Mbasha kiasi cha kupanga njama za kuhakikisha anafungwa jela;


Isome:

“Mchungaji …yapata kama wiki mbili zilizopita nilihoji kupitia vyombo vya habari juu ya ‘utajiri’ wa ghafla wa mkewangu Mara baada ya mgogoro kutokea kati yangu na yeye, bila kupoteza muda mkewangu akanijibu kupitia gazeti moja la udaku kuwa amechangiwa fedha kiasi cha milioni 9 na waumini kanisani kwakoMchungaji, naomba uelewe kuwa nafahamu juu ya mipango yote mnayoipanga kuliko unavyodhani!!

Kwanza ni kweli kuwa mlipitisha harambee ya kumchangia mkewangu, lakini kiwango kilichopatikana kilikuwa ni milioni 2 na laki tatu na si milioni tisa kama mlivyotangaza!! Lakini mlitangaza uongo huo makusudi iwe rahisi kutimiza malengo yenu ya kidhalimu mliyoyapanga juu yangu!!Mnamo tarehe 3 mwezi juni mwaka huu, mlifungua akaunti mpya kwa jina la mkewangu katika benki ya crdb morogoro, na siku nne baadae mkewangu aliingiziwa fedha kiasi cha milioni 18 kutoka akaunti ya MWANAMAPINDUZI FOUNDATION ambayo hyo accnt ipo nmb mwanza! Ambapo asasi hii inamilikiwa na mchungaji wako msaidizi Maximilian Machumu pamoja na mbunge wa viti maalumu kutoka mikoa ya kaskazini!

Nashukuru kama ulimpa fedha hizi kwa nia ya kumsaidia, lakini hofu yangu ni kuwa kwanini kitendo hiki kifanyike kwa kificho?? Kwanini mtumie njia za siri ambazo si rahisi watu kujua kama mmempa fedha??

Pia napatwa na mashaka zaidi kwani siku moja baada ya fedha hizi kuingizwa taarifa ya benki inaonyesha kuwa kiasi cha milioni sita cash zilitolewa na siku hiyo hiyo wapo waandishi watatu wa magazeti ya udaku ambao wanaonekana waliingiziwa fedha kiasi cha milioni moja kila mtu na aliyedeposit hizo fedha ni moja ya viongozi wako hapo kanisani!! Kuna nini hapo??

Mchungaji, naomba tusizunguke mbuyu! Ni dhahiri shahiri kuwa umekuwa na uhusiano wenye utata na mkewangu kwa muda mrefu sasa!
Binafsi nilianza kupata wasiwasi mwaka jana mwezi desemba tulipoenda katika mkutano wako wa injili pale morogoro! Mimi na mkewangu tulifikia hoteli ya kingsway msamvu na wewe ulifikia Nashera Hotel maeneo ya forest hill!! Baada ya siku tatu za mahubiri mkutano wako ulipigwa marufuku na serikali kwasababu ya maneno yakichochezi uliyokuwa unahubiri, hvyo ikatulazimu waimbaji wote turejee dar es salaam!!

Lakini uliniomba mkewangu abaki na wewe kwani ulipanga uwe unawafanyia watu maombi pale kanisani kwako kihonda kwa muda wa siku nne!! Nilikubali na nikamuacha mkewangu nyumbani kwa dada yako pale mazimbu!! Lakini kesho yake dada yako alisafiri kwenda mwanza na ikabidi mkewangu arudi hotelini kingsway!!

Kwaa taarifa nilizonazo na nimezithibitisha kupitia wahudumu wa pale hotelini ni kuwa mkewangu hakuwahi kulala pale hata siku moja ingawa chumba kililipiwa kwa siku zote zile!! Unaweza kunijibu alikuwa analala wapi?? Je unaweza kunieleza kwanini mkewangu alikuwa analetwa nashera hoteli na taxi kila siku usiku!! Sibahatishi katika hili kwani hata namba ya dereva taxi ninayo!!

Yote haya nilivumilia, na hapa kati kati kuna mengi sana yametokea lakini nikajifanya mjinga nikajishusha nikavumilia kwa lengo la kulinda ndoa yangu isiharibike lakini naona wenzangu hambadiliki wala hamjishitukii sana sana mapenzi ndio yanzidi kuwa motomoto kati yenu!! Ulikuwa unategemea nivumilie mpaka lini, nijishushe kiasi gani, niwe mjinga kiasi gani Nilikuvumilia sana mchungaji lakini sasa imefika point hapana, imetosha lazima nikuondelee uvivu watanzania na dunia ikufahamu jinsi ulivyo na kitendo ulichonifanyaia na unataka kuniziba mdomo kwa kunitishia jela miaka 30!!!

Wewe ni mpuuzi na shetani anaishi ndani yako… na nataka nikuahidi kitu kimoja kuwa NITAKUSHINDA! Najua utanisumbua sana kutokana na hela zako but at the end, I will be the last man standing!! Narudia tena, nitakushinda.!! Bila kusahau naomba niongee na wewe pia mkewangu, hivi ni nini kilichokukuta ndani ya moyo wako How did we get here?? Je ni fedha zilizokufanya ukengeuke kiasi hicho au kuna kingine?? Kama unanichukia mimi kiasi hiki je, uwahurumii hata watoto wetu?? Mbona tunawatengenezea mikosi wakiwa wadogo hivi?? Hivi unadhani watoto wanajisikiaje watakaposikia kuwa baba ameenda jela kwa kosa la kubaka lakini aliyechongesha muvi yote hiyo ni mama?? Hivi kisaikolojia hawa watoto watakuwaje Si watakuwa huku wanatuchukia sisi wote wawili kwa aibu na mikosi hii tunayowatengenezea Kwanini tunataka kuwataabisha watoto kwa dhambi ambayo hawajaitenda.

Yes nafahamu nimekukosea mengi and am very sory for that, lakini basi embu kumbuka mkewangu nimekuvumilia mambo mangapi mkewangu, kumbuka makosa mazito uliyonifanyia lakini nikakusamehe ni sijamsimulia hata ndugu yako ama ndugu yangu ili kulinda heshima yako!! Kumbuka jinsi tulivyopogana na changamoto mbalimbali mpaka leo hii umefikia kuwa moja ya icons wa muziki wa injili hapa nchini?? Kumbuka shida, manyanyaso, dhuluma, kuchekwa na kudharauliwa ambako tumepitia mpaka leo hii tuko hapa!!!

Mkewangu, kwa miaka yote hii nimekubali nionekane bushoke tu huku watu hawajui kuwa mimi ndiye ninayechora ramani ya kila ishu yako!! Mimi ndiye nimekuwa nafatilia na kufanikisha kila kitu chako from scratch!!! Lakini nimekubali jamii inione bushoke kwani nilikuwa najua nini mimi na wewe tunatengeneza kwa maisha yetu ya sasa na baadae!!! Nini kilichokubadilisha mkewangu Fedha Au huyo mchungaji mwanamazingaombwe.

Hivi kweli kabisa umefikia hatua ya kulipa waandishi wa habari ili wanikandamize nionekane sifai katika jamii Ni nini kilichokuoata mkewangu?? Naomba uelewe kuwa binafsi siogopi kwenda jela kwasababu ya hiyo muvi mliyonizushia, kwani ni bora nikakae jela kuliko kuishi huru huku mkininyanyasa kiasi cha kuondoa utu wangu kama bidamu, lakini kinachoniuma ni familia yetu!! Kwanini watoto wateseke kwa sababu ya tamaa zetu binafsi!! Nikifikiria hilo naumia sana!

Najua kwa sasa inaonekana kama vile ni impossible kwa mimi na wewe kurudiana tena, lakini binafsi naamini tunaweza!! Najua haitakuwa rahisi kwani tumeharibu mno, lakini ni heri ya kujaribu kuliko kuendelea kufanya huu upuuzi tunoufanya sasa!! Kumbuka hiki tunachokifanya sasa hatujajipaka matope sisi tu pekee, bali mziki wote wa injili Tanzania, na tusipotubu tukajirudi Mungu atatuhukumu kwa dhambi hii!!

Kumbuka kuwa hakuna kati yenu atakayeshinda katika hii vita, vyombo vya habari pekee ndivyo vitakavyo nufaika lakini mimi, wewe na mchungaji wote tuta loose!! Mwisho nimalizie na wewe mchungaji, tulipokutana mara ya kwanza nilikuchukulia kama kaka na kama mlezi wetu wa kiroho!! Lakini umegeuka shetani mwenye pembe saba, umeparaganyisha familia yangu, umeleta maumivu makali kwenye ukoo!!
Nakuonya tena kwa mara nyingine, muache mkewangu!! Huyo ni mkewangu, nilimtolea mahali mimi mwenyewe na wazazi wake waliniamini na kunikabidhi!!! Nasema niachie mkewangu!!

Wewe ni nyoka, imefika time watanzania wakujue ukweli wako wewe mbwa mwitu mkali uliyevaa ngozi ya kondoo!!! Umedanganya watu vya kutosha na umefarakanisha ndoa nyingi sana kwa sababu ya kiburi cha pesa zako chafu za sembe!! Umeudhalilisha ulokole kiasi cha kutosha imefika time tuwaeleze watanzania ukweli na wakufahamu kuwa wewe ni nyoka!!

Sitakubali kuona ukiendelea kuitesa familia yangu, nitapambana na nitakushinda!!! Siogopi fedha zako wala connection ulizonazo, ni bora nife nikiwa nimesimama kuliko kuishi nimepiga magoti! Nitapambana na wewe mpaka mwisho ili historia isomeke vizuri ili hata wanangu wakiwa wakubwa wajue kuwa baba yao sikuwa lofa kiasi cha kupiga magoti na kuelekeza shingo kibla kuruhusu mdhalimu kama wewe uichinje familia yangu, bali licha ya umasikini wangu nilisimama kiume na kupigana kutetea familia yangu!!!

Narudia tena mchungaji, nitapambana na nitakushinda..” Kwako – Mchungaji Gwajima
-------------------
Post Sponsored By Kenyangossip.com, The kenyan House of Gossip News

Post a Comment

39 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbasha na Flora, kwa kuwa mmeruhusu vyombo vya habari viongeelee matatizo ya ndoa yenu, basi mkae mkijua hamtakaa muishi maisha ya amani na upendo kwenye ndoa yenu kamwe!narudia tena mmejiroga wenyewe,AMANI YA NDOA MTAISIKIA NA KUIONA KWA WENZENU LAKINI KWENU MMESHAIPOTEZA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni sawa na kovu,kidonda kimepona na hutasikia maumivu lakini kovu bado linaendelea kuwepo.OMBENI MUNGU SANA HASHINDWI KITU.

      Delete
  2. wachungaj(wa dini sio mbuzi) wanapenda wake za watu kwelikweli kufanya zinaa kisha waje wabariki ndoa!

    ReplyDelete
  3. huo ni udayuthi(kutokua na wivu na mkeo) wew wawezaje kumuachia mwanaume mwenzio mkeo ona sasa yanayokukuta yan mapenz yapo kwa huyo mchungaj mpaka mkeo ataka akufunge

    ReplyDelete
  4. Replies
    1. Uwiiiii nini msenge wewe. Changia hoja na sio kuuza sura. Malaya mbovu weeeee.......

      Delete
    2. kuma la mama yako ,we mkundu uliesiginwa na wachawi unhamu yalulamba utoko

      Delete
    3. Haa haa haaa akuache kabisa black beauty Nana baby

      Delete
    4. jaman ayo yanatoka api tena ukurasa uu unaotaka coments zenu zenye maana?

      Delete
  5. Huyo jamaa Mbasha sijui nani ana udhaifu mkubwa kama Mwanaume katika Ndoa. Ilikuwaje matatizo yalianza mapema na badala ya kuchukua hatua pale mwanzo ukaamua kukaa kimya. Kwa nini??? Unatoa sababu dhaifu eti ulikuwa unataka amani ndani ya ndoa, amani gani??? Sasa ujinga wako wa kuyakalia kimya matatizo ndani wakati unayaelewa matokeo yake ndio hayo. Tatizo ni wewe na sio Mke wako. Ungekuwa Mwanaume wa ukweli usingeyaacha hayo matatizo yafikie hapo yalipo. Na kwa taarifa yako kukesha unalilia kwenye vyomba vya Habari huku ukimtuhumu huyo Mchungaji haitakusaidia kitu zaidi ya kujidhalilisha. Chukua maamuzi magumu. Mpe Talaka yake huyo mwanamke. Chukua watoto uendelee kuwalea. Shika jembe ukalime. Pengine huko mbele ya safari Mungu atakupatia Mwanamke wa maana katika maisha yako. Acha hii tabia ya kipuuzi na ya kijinga ya kulialia kwenye vyombo vya Habari.

    ReplyDelete
  6. Au wewe Mbasha ni GAY nini. Tueleze kama unafanya hiyo biashara ya kuuza matako. Mwanaume gani unakesha kwenye vyombo vya Habari unalialia kuhusu mwanamke mmoja eti kisa umezaa nae watoto. Acha upumbavu nenda kashike jembe ukalime. Acha tabia ya uzembe na kutaka mteremko katika maisha. No wonder huyo mwanamke anakudharau na kukudhalilisha. Mpaka anafikia hatua ya kwenda kupigwa pumbu na mwanaume mwenzako pale Kanisani. Mjinga kabisa wewe.......kwanza tumewachoka...

    ReplyDelete
  7. ni kweli kabisa kabisa maelewano tena ni ndoto labda ka nguvu za mungu tu.

    ReplyDelete
  8. kumshinda labda na wewe uchukue mkewe.kwa sasa yeye ndio mshindi bana.mimi ningekushauli kwa sasa shugulikia kesi yako imalizike mke huna bana.

    ReplyDelete
  9. Oh nitakushinda. Utamshinda nani mtu mwenyewe msenge wewe. Kutombewa umetombewa. Unaishia kulialia kama mtoto wa shule. Kwanza mtu mwenyewe Mbakaji umebaka mtoto wa shule. Si afadhali aliyekuwa mke wako aliye kwenda kupigwa pumbu na mtu mzima kuliko wewe ulienda kubaka katoto. Mbwa kweli wewe. Sasa kaozee jela huko Wanaume wa kweli wakutombe. Mpaka wapasue mkundu huo. Mke wako alishakugundua huna maana wewe.....

    ReplyDelete
  10. Hao wachungaji wamezidi Ni kweli wanafanya zinaa na kupotosha watu Kuna mwingine Ana kanisa living water nae kiwembe balaa

    ReplyDelete
  11. Kwanza kiherehere chake cha kubadili dini na kuwa mkristo alikitoa wapi. Mara nyingi ni Wanawake ndio huwa wanabadili Dini na sio Wanaume. Hiyo pekee inajionyesha jinsi huyo Mbasha alivyokuwa opportunistic. Ni mtu asiyejiamini na pia hana msimamo. Sasa anategemea ni mwanamke gani katika Dunia hii ya leo ataenda akivumilia mwanaume ambaye ni opportunistic. Mwanaume ambaye hajishughulishi kazi yake kutegemea kipato cha mwanamke wake. Huyo jamaa nadhani ni GAY....

    ReplyDelete
  12. Walokole wametuchosha,ubatizo wa maji mengi,km shemeji yangu wa kanisa la kaloleni pentecoste ,anavyo chomewa nyama,,na wanaume hapo kaloleni ,na kunywa pombe,mwisho wa dunia.

    ReplyDelete
  13. Ni hatari
    Mnatafutiana UKIMWI

    Achenikudanganywa,maombi hahaa. Hujui kikulachokinguoni

    Achana na wanaojiita mapasta,walokole. Kanisani Kuna wazinzi,wachawi ni mahali pa kuenezea ukimwi.mahubiri yote utoaji wa pesa.si mahubiri ya kuacha dhambi.ufalme wa mungu hauninuliwi

    ReplyDelete
  14. Mbasha njoo tukuleee wewe achana nw frola kijana mzuri hivyo unajipa tabu ya mapenzi wakati sie tunakumendea njooo nikutulize uone kama utamkumbuka huyo frola wako na ukinikubali tu nskulea wewe na watoto wako nakuendaje wewe kijana.

    ReplyDelete
  15. Mmmh hata mie namtaka sana tu mbasha mkeo hajui nini maana ya mume acha na sie tukumege nitafute endapo utabadili mawazo

    ReplyDelete
  16. Nawasiwasi humpi kitombo vizuri mkeo unaleta ubishoo kwenye ndoa? Haya sasa wanakukazia mkeo acha ubwege wewe kaza pumbu hizo anyways ur hendisamu wanawake wengi wanakutaka labda frola hajui hilo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahaha huyo Shoga ana kibamia hahaha lools

      Delete
  17. admire wa nana5 July 2014 at 23:15

    heeee heee we uliemtukana nana ukomeeeeeee

    ReplyDelete
  18. Mi nawachekaga hawa pimbi wanaomuita Gwaji mtumisshi Wa Mungu,Yani wangelijuaaaaa Mmmh

    ReplyDelete
  19. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  20. Kaka wew tatzo lako umeweka USHAROBARO mpaka kitandani mtoto HUMTOMBI vizur ukamkosha, pili Akili yako kwenye utafutaji umeilaza sana, badala yake unamtegemea mkeo kila kitu mpaka hata kununuliwa CHUPI ni mkeo akununulie sasa huo si upuuzi, Acha NAGWI akutombee Mwenye MBORO kubwa na MIJIFWEEZA bhana wew Kaliaa sura nzuri na USHAROBARO

    ReplyDelete
  21. Listen mbasha.. kuna tuliopita kwa mijanamke mijambazi kama hilo limkeo.. utapiga kelele utalia utaumwa mwisho utachanganyikiwa lakini ungejua... lenyewe waala halifkirii.. sana sana wakati ww unaandika haya yy anapumuliwa la tatu.. solution ni kwamba jifkirie mwenyewe kwanza acha kujiumiza.. unajitesa bure.. u stil so young n god bress u.. u r handsome.. jiamini acha kulililia hilo janamke.. kwanza baya hata kwako lilipata bahati tu.. unadhalilika sana amka nw coz baadae kichwa kikitulia utajilaumu saaana.. na lisitegemee gwajima atalioa.. atalichapa akilichoka atalitema.. najua ni ngumu but jikaze we mwanamme bwana wasikuyumbishe mashetani hao!!! yaani natamani hata nikuone nikukate makofi ka manne hv maana umekua msenge moja kwa moja.. unalia mnoo!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. True that...umenena vyema...

      Delete
  22. Umeona jamaa lilivyo senge sijui Flora kaokota wapi mwanaume kama binti!
    Linalialia kama shoga pambaffff! Katombewa halafu anasema nitakushinda!

    ReplyDelete
  23. Katafute hela wewe acha kulialia! Unataka ulelewe halafu usichapiwe?
    Hela unazokula na gari unayoendesha ulinunua wewe?
    Kwa nn unapiga kelele kama wewe marioo???
    Halafu si bure inaelekea una kibamia cha hataree!

    ReplyDelete
  24. Mwacheni Mbasha chizi kinachofuata Ni kuchanganyiwa MAVI kwenye chakula,flora flora flola Kwani wanawake wameisha duniani?Kama Ni kweli Mchungaji (muhubiri)gwajima anatembea na mkeo,mkeo achana nae kabisaaaa,wachawi Hao oohoooo

    ReplyDelete
  25. Hivi hizi dini zilizoibuka za ulokole zinatutia Aibuuuuuuuu Yaaani ukiangalia matendo Yao tofauti na ulokole.wazinzi,mi tangu nione cobra(joka)madhabauni nilitoka ndukiiiii,sikurudi tenaaaaaaa

    ReplyDelete
  26. joka heh........ilikuaje hebu nipe m,chapo kidogo..................duh hatareeeeeee

    ReplyDelete
  27. Kanisa hilohilo mi nilifukuzwa chuo kisa sijalipa karo ya chuo,nimeenda kuomba msaada sijasaidiwa hata sumni.

    ReplyDelete
  28. Duh!uliona cobra ktk kanisa lipi?Tusaidiane kuwatambua hawa walokole feki

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad