Mwanamke: Usafi wa 'Maakuli' Muhimu, Kitu Kinanuka Kama Panya Kafia Humo...!

Nimekuwa na mpenzi wangu takribani mwaka mmoja sasa na mapenzi yetu yamekuwa mazuri bila ugomvi wa mara kwa mara.

Tatizo la mpenzi wangu ni kutoa harufu kali na tutoa utoko mweupe wakati tukiwa faragha.Nimevumilia kwa muda wote huo nami nimejitahidi sana kutafta dawa lakini tatizo naona haliishi.

Japo nampenda sana lakini hali ile inasababisha nikose hamu ya tendo la ndoa na kusababisha niishie round moja na hilo round moja najitahidi kumweka katika style ambayo hata harufu ikitoka sitoweza kuiskia moja kwa moja.

Mpenzi wangu huyo ni mzuri,ana shape nzuri kwakweli Mungu kamjalia lakini kama wasemavyo watu wazima kuwa Mungu hakupi vyote basi yule ndo kapata huo ugonjwa.

Mara ya kwanza wakati nasex nae ile wakati tunafanya romance sasa nikawa nimepeleka mkono sehemu ya papuchi bt nilikuwa bado sijamvua skin jeans lakin harufu iliweza kupita kwenye chupi,tyte na mpaka skin jeans na kufikia mkono wangu....aibu gani mwanamke kuwa na harufu hiyo.

Kwakweli nilijitahid kuvumilia harufu hiyo na utoko lakini naona nimeshindwa maana hata tokea nimekuwa nae mtoto wa kiume sikuwahi kuzama chumvini kwa kuhofia kupata fangasi.

Nahisi nakuwa simfikishi kileleni maana nakosa hata ujasiri wa kumwandaa kutokana na harufu hiyo.

Tatizo jingine huyo mpenzi akinyoa nywele sehemu za siri kama kwapa na papuchi anatokwa na mapele,kwakweli nakuwa nakosa amani.

Naomba ushauri wa namna ya kumaliza hili tatizo au dokta mzuri wa wanawake ili niweze kumsaidia huyu dada huko mbeleni asije kuhadhirika.

Asanteni sana.

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umewai kukaa nae Na kumuukiza? Au unakurupuka kuja huku? Awe anajisafisha vizur huko kwa bibi ajitoe uchafu wote, mbona kwenye kitchen party wanafundisha jinc y kujisafisha au haendag jaman? Ikishindikana labda atakuwa n fangac huko chini mpeleke hocpital watamfanyia vipimo n watajua tatizo nn

    ReplyDelete
  2. aende kwanza akacheck labda anamaambukizi ya magonjwa ya zinaa ya muda mrefu, km hana magonjwa ya zinaa aende kwa Dr. wa kina mama kwa matibabu, pia kingine inaonekana sio msafi wa asili huyo! akaangalie afya kiujumla. asante

    ReplyDelete
  3. Mmmh Huyo mwanamke Ni balaaa mi Ni mwanamke lakini sijawahi sikia mambo hayo tangu nizaliwe,mpeleke Hosp atakuwa na magonjwa ya zinaa tena ya muda mrefu,duuuuu,disgusting,nilikuwa nakula chakula chote nimekotapika.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyoo anonymous 8:41 eti hujawai kusikia tangia uzaliwe pengine ww ndio mwenye hilo gonjwa unatia kinyaa nyooo

      Delete
    2. wewe hapo juu usiseme hivyo wewe ni mwanamke na unaweza kukumbwa na janga lolote muda wowote. Haujazaa wewe nyie ndio mnao waachia mahousgel wenu wafue boksa za waume zetu nyoooo badala uangalie utamsidia vipi mwenzako wewe unaleta mambo ya matapishi

      Delete
    3. It's kinda disgusting sasa nisiseme?mwanamke gani unanuka uchi?shiiiit.wanawake tujipende kuma uioshi mpaka inaoza?what a shame,ilowanamke atakuwa amekusanya shahau za kila aina sasa zimeozea umo tumboni kuzisafisha hajui,atakuwa Ni Malaya umu mwamamke,arggggggghhhh!!!shiiiit!

      Delete
    4. lakini na wewe ni mwanamke hujafa haujaumbika

      Delete
  4. ile kitu isiposafishwa vizuri dah!!! siyo mchezo inajua toa harufu,kaka mwambie si mpenzi wako, binafsi nikisikiaga ili harufu tu, basi mambo yanaisha hapo hapo!! hamna mechi!

    ReplyDelete
  5. nipatie namba yako nikushauri.

    ReplyDelete
  6. kama unaweza kumwambia na umfundishe kuwa anaingiza kidole huko chini wakati wa kujishafisha mara kwa mara awe ananawa hata kama atakojoa basi aingize kidole atoe uchafu ulioko ili awe safi asitumie sabuni za kunukia pia anatakiiwa kunyoa kwa kutumia mashine na si wembe

    ReplyDelete
  7. Aende hosp. Ndo atasaidika kwa haraka zaidi hakuna fungus zisizotibika dawa zipo aende hosp

    ReplyDelete
  8. Naomba jina la dawa hiyo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad