Mwimbaji wa kike na Muigizaji, Mya amejibu tuhuma zilizoripotiwa jana na vyombo vya habari kuwa anatoka na Jay Z na kwamba rapper huyo anamhudumia kifedha kama mpenzi wake.
Akijibu swali la shabiki mmoja aliyetaka kupata jibu lake kuhusu tuhuma hizo, mrembo huyo alikanusha kwa msisitizo huku akirusha lawama kwa vyombo vya habari kuwa vinatumia vyanzo ambavyo havina ukweli.
Akijibu point ya kuwa anahudumiwa kifedha na Jay Z, Mya alieleza kuwa yeye ana kampuni yake mwenyewe na label yake na anamtegemea Mungu pekee na anajiheshimu na kuheshimu ndoa.
“Never did, never was, never will. Illegitimate, thirsty sources with no facts and that's the ‘media' for you-especially today. I play second to no one, pay my own bills, have my own label, own management company, rely on God only and respect myself & marriage too much for nonsense.” Aliandika.
Too much for nonsense gani?? Huyo ni malaya tuu hana lolote. Muulize Wendy Williams atakupa mchanganuo mzima wa huyo malaya. By the way huwa anatombana 900 thousands feets huko juu kwenye private jets. So who knows the truth. Malaya ni Malaya tu.
ReplyDeletevipi aisee.. mbona unatoka povu hivyo?? na sidhani kama kuna ndege inaruka 900,000 feet huko juu au wanakodishaga rocket shuttle inayoenda space??
DeleteHebu muulize huyo anatutemea mate tu anahasiraa namswaki hajapiga.we Maya anakuhusu nini umseme Malaya unamjua?km mwanamke umekataliwa nini hizi hasira zakupigwa kibuti km mwanaume hunahela unagenye sasa hunajinsi zaidi yakutoka povu then ukapige nyeto.maya Malaya nawewe nani pyeeeeee
DeleteBy the way amekuwa allegedly linked na 50cents, The Game, Floyd Mayweather na DeSean Jackson na wengine wengi tu.....kumamaye na sasa Jay Z. Malaya ni Malaya tu.......Duh!
ReplyDeleteMAMA WENGINE HU2JUI KINGEREZA
ReplyDeleteNadhani mtakuwa na fangasi ubongoni, then ugumu wa maisha ndio unaowafanya mropoke matusi,mnamuona mya na huyo jigga je why asirespect ndoa yake acheni ufupi wa kufikiri vima nyie
ReplyDeleteAfadhali umesema. Huyo Jay Z nae asitulie ni nini? Kama yeye si malaya wa kiume ni asingekuwa na habari na huyo mya wala umalaya wa mya usingemuhusu. Mshikaji ndo malaya amachepuka mya hajaolewa she is not accountable kwa yeyote. Ila jay z ana mke na familia.
DeleteWapuuzi kweli hawa wanaotoka mapovu mfungua zip hawamuoni kapigeni nyeto huko kutwa matusi tu tukaneni vikojoleo vyenu manahampaheshimu palipowaleta dunia.nyoooo
Delete