Mjadala uliopo kwenye mitaa na baadhi ya maskani za watu wengi japo kwa dakika tano ni mpambano usio rasmi kati ya Diamond na Ali Kiba.
Mpambano huo unaotengenezwa zaidi na mashabiki umetua katika mazoezi ya Simba ambapo wachezaji maarufu wa timu hiyo waliweka nukta ya mazoezi kwa muda na kuanzisha mjadala ‘wa nani mkali’ mjadala uliomhusisha kocha wa timu hiyo, Selemani Matonya.
Kwa mujibu wa gazeti la Championi, wachezaji hao na Kocha wao walijikuta wakianza kubishana (debate isiyo na msimamizi) huku Suleiman Matola, Uhuru Selemani, Awadh Juma na Twaha Ibraahim wakiwa upande wa Mwana Dar Es Salaam Ali Kiba, wengine waliohusika kwenye mjadala huo walichukua upande wa MdogoMdogo wa Diamond wakiwemo Said Ndemla na Abdallah Sisem
Ali kiba
ReplyDeleteAdmn Mchonganishi wewe..
ReplyDeleteAlly kiba...mwanamuziki kwa maana ya mwanamuziki ILA diamond Ni mshehereshaji WA muziki tofaut ndo hyo nadhan jibu unalo Nan mkal
ReplyDeletehamuna kazi kazi zenu kuchonganisha watu tuuuuu na kukuza maneno kufanya ugomvi kua mkubwa nyie muhimu muuze magazeti muso jaribu kuwapatanisha ili waungane muziki iendelee nyie kaeni mkizidi kuwa chonganisha so wat kama walikua washinda watuambia tufanyeje hebuuuuuuu. ali k na diamond nyote ni watoto wa kiislamu mlaanini shetani kuteta sio ishu nani ni mkali haijalishi unganeni mupeleke usanii level nyingine na diamond kuropokwa sana sio vizuri kwa mwanamume true
ReplyDeleteally k yuko juuuuu
ReplyDeleteALI KIBA YUKO JUU BILA TASHWISHI
ReplyDeleteAlly kiba vocomaster ever Nat c
ReplyDeleteMAKUMUMAAAAAA KWEL NINYI HUYO HASIMAMI NA DIAMOND KAMWE HT MKIMPIGIA DEBEE BIG NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO SORRY
ReplyDeleteKwahiyo umejiona mjanja kutukana,, hapo ndo ilipo tofauti kati ya mashabiki wa Ally na domo,, prove kama domo ni mkali kwa vocal na nyimbo yaani mistari na msg...
DeleteNajua huna na ndo maana ukakimbilia kutukana, huo ujanja wa matusi wenzako tuliufanya mwaka 1998!!!
We uliyetukana hapo mi najua issue zako kwanza umekosa adabu unachamgia bwana na mama yako....ss we endelea kufirana na Baba yako wa mambo...we na mama yako ushuz nyie
DeleteMuzuki now wanaangalia mauzo ss ww kalia vocal afu uishie kujulikana kwenye vitongoji na pesa huna! Wanamziki wangapi wanavocal hadi zinamwagika shida tupu nawengine wamekufa maskini! Mjazeni cfa but Kiba + namavocal atangoja sn kwa Dai..
DeleteAtakuwa kwa Baba mtogole huyo na kwa mama samvu lachole ndiomaana mitusi inamtoka.ila wapenz wa kiba sie aaah kiba zaidi habani maneno wala pua.
DeleteMnalazimisha limao kua chungwa!? Dai alayz...
ReplyDeletediamond mkali bwana ila adm acha uchonganishi
ReplyDeleteHuu ndio wakati wakuuza magazeti na kuingiza pesaaaaahhhh!! jaribu kupatisha sio kuchonganisha na wewe kiba na daiomond haina haja ya ugovi cha muhim mashabi zenu tunapenda kuwaona mkipatana sio kuwekana chukiiiiii sawa......??? Na nyie viongozi wa hawa dai na kiba mko wapiiiiiii??? Wewe tale na fela?? Wakiba cjui majina jaribu kupatanishaaaa hawa watu mana kuna mijitu ndio ishapata sehemu yaa kuingiza pesa
ReplyDeleteIla kweli mziki wa ss ubunifu,bahati na voko tu na siovoko kavukavu maana wapo wny voko kali lkn maskini
ReplyDeleteDiamomd anaburudisha ali kiba anaimba
ReplyDeleteDIAMOND ANATUPA ENTERTAIMENT ALI KIBA ANA TUPA MASAUTI KM KINANDA ATUBURUDISHI.....MASHABIKI TUNATAKA TUNGO ZA BURUDANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
ReplyDeleteKiba yupo juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu zaidi ya juuuuiuuuuuuuuuuuuuuuuu, ally kiba wewe Ni mkaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii zaidi. Kura kwa kiba. Cjui Ata nisemeje ally kiba penda Sana wewe kazi nzuri Sana.
ReplyDeleteKiba zaidi.
ReplyDeleteKiba kiba zaidi
ReplyDeleteTunaojua mziki ali kiba bingwa kwenye gemu.
ReplyDeleteKiba Yuko sawa kimziki
ReplyDeleteDomo anamfurahisha wema, ILA Ali kiba atufurahisha Sana mashabiki.
ReplyDeleteTUPeni na matokeo kura yangu Ni kwa mtu mzima kiba WA Ali kiba. Matokeo muhimu kutolewa
ReplyDeleteally k juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDeletebila shaka kura kwa ally k.
ReplyDeleteMiaka mianane saut yenye melody ya hisia kwangu ni ally so kwamba cmpend dail apana ila kwa saut nature ya kuimba ally ni level nyingine sema dai nyota imeng'aa full stop!!
ReplyDeleteNyie mpeni bichwa huyo Ali K wenu na mavocal yake wenzie wanasonga,amerudi mwacheni afanye kazi miaka 3 aliyokaa kimya sijui analea watoto alijua mavocal yatamsaidia matokeo yake anarudi na makelele ili watu wamwonee huruma mi nawapenda wote msiwastress acheni vijana wafanye kazi jamani!
ReplyDeletewaaambie maana tanzania wamezoea wakiona mtu anaendelea kuwasha moto kwa muda mrefu bila kuzimika hawapendi mwisho wa siku watu wa redio maproducer na wadau wanaamua kumtafuta mtu angalau kumfananisha kiuwezo lengo kumshusha mmoja hata ktk shoo kulipia watu wazomee popote anapofanya shooo *** mi naqona ni wapumbavu watasubir sana
Deletekiukweli watu wote wanamjua nani ambae ni zaidi kwa vigezo na si kwa chuki binafsi ya mtu.Wadau tafadhalini kwanza ubora ni nini? na udhaifu nin nini?Sasa basi Hakikisha msanii wako ambae unapendekeza awe na sifa zifuatazo ili uwe jaji bora na si tu kwa fitina zakoza kutompenda ally au diamond sifa ni hizi hapa:- 1; album yake nyimbo zote kuwa hits *** sasa jiulize album ya kwanza ya kiba na diamond ipi ilikuwa na nyimbo zilizobamba sana? pia ni ngapi hazikubamba ukilinganisha na idadi ya mwenzie? hapa sema kweli***** 2; je album ya pili pia kuwe na vigezo typical ;;; je umehakiki hilo? *** 3kudhihirisha ni kipaji halisi je msanii wako ameendeleza kuwasha moto kwa kipindi chote bila kukaa kimya kwa kipindi? wazo ni kwamba kama msanii akasikika halafu tena kimya ina maana ina maana hana uwezo wa kucheza mechi dakika 90 yaani full time ukiona msanii kawa kimya maana yake anakopi style za watu ndo arudi tena na wengine ndo hyuwa basi mfano akina Z anto MB dog joslin dazznundaz feroouz dazbaba na wengine unaowajua 3; je anakubalika kimataifa yaani kufanya shoo na kuleta mapato ktk kumbi za kimataifa na hata wasanii ambao wanatamba kwa sasa je wanaweza kumpa feature? ukitizama kwa makini ali na diamond wote washapewa shavu na wasanii wa nje lakini jiulize ni akina nani kwa muziki wa leo wanatingisha dunia ktk redio disco za kumbi mbalimbali yaani nyimbo zao ni lazima zipigwe sema kweli ukianza na wanaomkubali diamond yaani mafikizolo from south africa na wanaigerian kama Davido na wengine wengi ........ halafu ali kiba R kelly ***4 kujituma mazoezi na ni ndio matokeo ya miili yao kuwa ya strong je ni nani yuko strong wakivua nguo zao yaani ana muonekano wa kiume zaidi yaani si lezzyness na kiuvaaji nani anavaa kisanii zaidi yaani ki-nyamwezi tuwe wakweli **** 5 ni nani mwenye wapenzi wanaopenda kumkaribisha na mwenzio ki-beef? yaani diamond kutafuta umaarufu kwa mgongo wa kiba kupitia bifu au Kiba kupitia bifu na diamond ******** hapo wadau tendeni haki kwa kuwa wa kweli bila hivyo Tanzania tutaendelea kuwa maandagraundi
ReplyDelete