New Video:Diamond Platnumz Feat Iyanya - Bum Bum (Official Video)

Well done Diamond , though wanted to see more shakes from that lady with red gown and those dancers... am in love with your creativity but make sure hupotezi ladha ya mziki wetu wenye ladha ya kikwetu, wanaiger wasikuchote sanaaaaaa...... Nice voice, You are the best Diamond.....You are an international artist ..Proudly to have You as my Tanzanian artist...GOOOOOOO Diamond

Video Hii Hapa:

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani huyu Diamond mnamsifu ujinga!I like the way u pop up ur breast?breast is for feeding babes ur poping things zinaitwa boobs learn the language sio unaimba tu coz umeambiwa uimbe kiingereza mbona hujasema cut that bumbum umaanishe kata bumbum,Idiot is an I diot hata umpake rangi nyekundu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wana wivu hao hao hao....iloooooo

      Delete
  2. Mimi sijali saana haya maneno anayozungumza. Video ni poa sana. Beats ni Nzuri. Majamaa aliowashirikisha kwenye hiyo Video basically ni majamaa poa. Hasa hao mademu. Kwa kweli Domo Dah! Hiyo funga kazi ya mwaka. Achana na hawa mademu waswazi wa Ki Swahili. Hasa huyo Kicheche/Wema.

    ReplyDelete
  3. ommy dimpoz sijapenda kabisa kumuona kwenye video.

    ReplyDelete
    Replies
    1. I know. Hata mimi nimeshangaaa msenge yule katokea wapi.

      Delete
  4. Ahahahahaha wabongo hamna shukran kwa kudiss ss Ommy si kampa support rafiki yk

    ReplyDelete
  5. Usitake nyimbo iwe na maneno sahihi mengne yanatumbukizwa lengo ni kuleta radha so haters shut fuck up.No one like Diamond

    ReplyDelete
  6. Nyimbo nzuri Diamond anajitahidi sana, ila huu wimbo sijamwelewa beat iko poa + watu kwenye video said. .. lakini upande wake maneno katafuna sana nimachache Yanayosika. Next time achanganye na kiswahili la kama english basi asibane maneno. #ImNotHater ila nivizuri kumshauri. KEEP IT UP DIAMOND

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad