Ni Ukweli Usio Pingika Kuwa Kwasasa Penye Davido Diamond Hakai

Dah kiukweli huyu DAVIDO (miaka21) anamtesa sana kaka yake Diamond Platinuma(miaka26)

1.Tuzo za MTV Africa Music Awards zilizofanyika KwaZulu-Natal Davido alifanikiwa kuchukua tuzo mbili ikiwemo ya mwimbaji bora wa kiume na pia akachukua tuzo ya mwanamuziki bora wa mwaka kwa ila upande wa Diamond platnumz kwa bahat mbaya diamond alishindwa kupata hata tuzo moja

2.Tuzo za B.E.T zilizofanyika majuzi Davido alidhihirisha unyama wake tena baada ya kuchukua tuzo kubwa zabet kipengele cha best international act ila cha kusikitisha Kwenye hizo hizo tuzo za B.E.T. Davido aliwaita Nominees wote wa Africa waende stage wajumuike naye ila kaka yake alikataa kabisa kwenda nahisi diamond alikuwa na hasira sana za kushindwa na dogo Davido

3.DAVIDO huyu dogo ni mjanja sana kwenye kutafta pesa na umaarufu alivyoona tu diamond anashine sana kwenye my number one alimtumia diamond ili nae afahamike east africa na apate shows huku bongo, DAVIDO akaitwa kufanya remixkwenye remix ya namber one na kaka yake remix ilivotoka nyota ya davido ilingaa maana hata huku tz aliitwa kufanya show na clouds na alipewa pesa nyingi sana kuna mstari aliimba "from Dar 2 Lagos i gona make u famous" kuweka wazi yeye ndio Top
Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Waandishi majungu tu

    ReplyDelete
  2. we mode ndo mpumbavu kweli diamond kampa umaarufu davido wapi.. labda kwako mshamba wee

    ReplyDelete
  3. wandishi wa bongo bhanaaa hamkumbiki habari mlizo kua mna andika mwanzo, kumremba diomond sasa mna mponda na kumsifia Davido,, Elimu ya mjinga majungu.

    ReplyDelete
  4. Kutokupanda kwa diamond pamoja na davido kulishaelezwa sabb na manager wake alifafanua vizuri sana sasa haya yanatoka wapi!! Fyuuuuuu

    ReplyDelete
  5. davido tunamjua siku nyingi kabla hata iyo lemix yake na dimond davido ni star mkubwa hana malingo kabisa so d alitaka ashine kwa mgongo wa davido ajipange vingine awezi mshinda davidi jmn

    ReplyDelete
  6. dogo anaweza mpaka anakera halafu kwao dingi ya davido anapesa chafu mtoto wa kishua sana so hana ukimbukeni kwa kujibamiza kwa kina nery

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maskini, hivi ku interact na watu ni ulimbukeni? So ulitaka d asisalimiane na watu? Pole hater, hata davido mwenyewe amekuona limbukeni kwa comment yako

      Delete
  7. asante kwa kushiriki

    ReplyDelete
  8. kweli watz noma hivi hicho kipengele walikuwa wanachuaha Diamond na Davido tu maana khaa! D wawatu mmekalia kooni haki ya mungu kama una moyo mdogo unaweza kunywa sumu au ukaacha muziki! Nimeamini Watz hatupemdani!

    ReplyDelete
  9. na BABA yake domo pesa anayo

    ReplyDelete
  10. kimataifa nyimbo za bongo bado sana, sijui kama nyimbo za diamond zinatamba afrika nzima kama za davido? sijui? kwahiyo bado tuko nyuma kidogo kimataifa kwenye nyimbo zetu.

    ReplyDelete
  11. mi nilikua napita tu! nijue yaliyojili, poleni na kazi!!!

    ReplyDelete
  12. inahusu kupita huku kwan kuna njia?

    ReplyDelete
  13. diamond ana maringo sana ndo maana hapendwi nje ya tz..yeye davido ni msanii mkubwa wala hawezi kulinganishwa na diamond ingekua hivyo bas diamond kama yeye ndo maarufuzaid angechukua hizo tuzo..yeye ni maarufu tanzania tu wala hata siyo east africa..mwenzie maarufu africa nzima.na diamond ni shabik wa watoto na matenager tu tena baadh wengi wanamchora tu hajui..tena akicheza ataporomoka vibaya sana kwenye mziki kwan. wapo wasanii wachanga wanapanda kwa kasi kama kina mo music n.k

    ReplyDelete
  14. yap apo juu uko sawa kabisa mashabiki wake wengi watoto

    ReplyDelete
  15. Peace! I am Usio Ukweli Bey also known as Infinite Truth. Please visit www.FirstBlackAmerica.com - www.HourTimeNow.com - www.SupportBlackOwned.com & www.BlackWallStreet.org

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad