Nyimbo ya 'Mdogomdogo' ya Diamond ni Advanced Version ya "Aye" ya Davido!


Japo nyimbo hz mbili zna maana tofauti,lakin zote zmepgwa kwa maadhi ya kiasili pia idea ya matukio na story ya video hz mbili ni ile ile!sema mkali diamond ktk sehemu ya familia ya mfalme ametupia wazungu,lakn mwisho wa siku wote waliopoa mabint wa kifalme na kuwachezesha midundiko ya kiasili!chukua hyo......!tazama vdeo zote mbili vzur ndo uje kuanza kubisha! tunakopy kidigital siku hizi,chezea diamond wewe!

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. watanzania bana, yani we umejisikia tu kumuharibia mwenzako. we unasubili nini kukopi nyimbo za bi kudude? copy na wewe. Acha usenge uwo ni wivu wakijinga ndo mana amuendelei kwajiri ya roho mbaya.

    pondingo we, kwanza uwe unaoga unanukaga kikwapa kama nini,

    ReplyDelete
  2. kamuiga bhana ucmtetee

    ReplyDelete
  3. ya davido nzuri sana

    ReplyDelete
  4. duuu kweli mwizi uyu jamaa

    ReplyDelete
  5. Mbona wewe habari zako zote unacopy kwa wenzio?? Hata hii yenyewe umekopi. Acha unafiki...

    ReplyDelete
  6. Ila wivu bana....kama kacopy davido umemsikia kamshitaki?umbea tu uonekane wa kwanza kugundua eti ulikuwa wa kwanza kusema.unahamisha tu mind za watu zianze kuwaza hilo na wasiupokee wimbo.umechemsha si tushaupenda hata kama kacopy basi kacopy vizuri.buuuuuuh wivu tu

    ReplyDelete
  7. Unashangaa kukopy nyimbo hizo, ka copy mpanga kucheza ngololo, mradi maisha yanaenda ku copy na ku paste ndio mpango mzima.

    ReplyDelete
  8. Ujingazzzz tu unakusumbua we Admin.......Na nyimbo zote zilopita alicopy pia? Bumbum pia ka copy wapi? zoteee zilompandisha wakina nataka kulewa,mbagala na nyenginezo ka copy wapi? Roho mbaya tu na wivu wa maendeleo vinakusumbua kwa Diamond Plutznumz....we mwenyeo habari zako asilmia 90 unacopy mbona tunanyamaza kimyaaa tunakuangalia tu...ivi iweje Davido yupo close na Diamond leo Diamond aka copy and paste kazi yake....fyuuuuu tupishe sieee...uwache umbea,shuhulika na yakooo....

    ReplyDelete
  9. sasa mnabisha nin wkt kitu kiko wazi kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad