Ommy Dimpoz Aingilia Ugomvi wa Diamond na Ali Kiba

Kwa Kile Kinachoonekana kuwa kuna Beef kati ya Diamond na Ali Kiba ya Kimuziki , Baada ya Ali Kiba Kuojiwa na Kusema Kuwa hata Kaa Aongee na Diamond..Diamond Ameandika Kwenye Insta Maneno Ambayo yanaonekana ni Jibu lake kwa Ali Kiba, Mchana huu tena Ommy dimpoz amepost Picha hizo apo chini na Kuandika (Siku Mashabiki wa Ali Kiba na Diamond) akiashiria kuingila Ugomvi ama Bifu linaloendelea kati ya mahasimu hawa wawili,. Sasa swali ni je Ugomvi huu Ommy unamhusu vipi au ndio kuchochea ugomvi badala ya Kuhusuluisha... Wacha Movie Iendeleeeee
Ommy Amemaanisha kuwa hapo ndio itakavyokuwa siku mashabiki wa Diamond na Ali Kiba watakapokutana 

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu angetumia busara kuwaita Hawa watu nakuwaweka chini wamalize bifu zao kwa maana yeye name diamond no mabesty na alikiba ndie aliemsaidia RAIA tukamfaham dimpoz kwenye nainai lakini badala yake anafanya mambo ya kijinga kwa kupost uo upumbavu ili iweje. Kheri angejinyamazia kimyaa... Watu wengine chefuuu kabisa!!

    ReplyDelete
  2. Eti huyo nae Ni super star, akili zake Ni matope. Yani ommy hapo umeonyesha ulivyo mzito WA kufikikiri! Wewe Ni mjinga bora na hao wenye bifu wanaakili kuliko wewe Ni firauni.

    ReplyDelete
  3. dimpoz muheshimu sana kiba 4real kwan huyo ndio aliyekutoa mbona una matatizo ww, mara ujisifie handsome na sura yako hyo kama mbuz mara umdiss hayati mangwea ss unazingua kwa mkali asiye na scandal kiba 4real, jiangalie ww!

    ReplyDelete
  4. Acha muvi iendee....wanashindana kama watoto

    ReplyDelete
  5. Kina 4real.dimpoz nawe Tulia kimya manahatanawe nimkali ndagushima nzuri zaidi ya no 1 nahz kitorondo hazibambi ndagushima.

    ReplyDelete
  6. Na sura yake ya kibush man,yani hata avae nini hiyo sura haitakati ng'o

    ReplyDelete
  7. Huyo ommy dimple ni mshenz tena mbwaa ali kiba ndo aliyemtoa lakini leo anamgeuka ni ushenzi na unafiki, badala ya kusuluhisha na kwanza ana chochea ugomvi kasahau fadhila zotee, huyu hana tofauti na kajala, na iko siku atamgeuka Diamond piaa! !!! Ni mnafiki sanaaa pua kubwaa kuliko sura..

    ReplyDelete
  8. mbona wanafanya mambo ya kitoto?

    ReplyDelete
  9. hivi mwanaume kujisifia madimpose si dalili za uchoko huo...akiongezeka makalio kidogo atajiitaje...Ommy Mitako au...

    ReplyDelete
  10. hili liomy mapimples cjui akili zake ziko wapi kwakweli,,,ana msura mbaya alafu anajiita handsome wakati matope kabisa,,,kubwa jinga lione,,,,

    ReplyDelete
  11. halitumii akili kufikiria bali mchanga, kazi ipo.

    ReplyDelete
  12. Kweli ani ya punda mateke!!!!ila hata mseme vp 4real ndo mkali wenu pumbaaaaaaaav zenu.KIBA,The 1 & Only

    ReplyDelete
  13. Sasa hâta ukigoma Wao hausawasaidii, hawa si wamoja jamani! Nyie piganeni na magita, ngoma na vinanda mshindi ataonekana, sisi hatupigani kwakweli sijui mmezidiana kitu mtajua wenyewe huko kigoma tunachotaka ni sauti zenu za muziki sio vinginevyo

    ReplyDelete
  14. wasanii bongo majungu tuu badala waungane kuwa kitu kimoja

    ReplyDelete
  15. wasanii bongo majungu tuu badala waungane kuwa kitu kimoja

    ReplyDelete
  16. akili za kitoto watabakia majungu tuu

    ReplyDelete
  17. msenge lakin hajakuzid ww peter kidevu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad