Web

Picha: Mtunisi Awachana "LIVE" Diamond na Wema Sepetu

Msanii mkongwe wa filamu nchini, nice mohamed aka mtunisi amewapa makavu live mastaa wenzie ,diamond pamoja na hawara yake wema sepetu aka mama ubaya ,kwa kitendo alichokifanya staa huyo wa filamu(wema) kufutarisha nyumbani kwake na kumkaribisha harawa yake(Diamond) pamoja na mama mkwe wake(haijulikani mkwewe kwa nani na kwa ndoa ipi) bi sanura kitendo ambacho mtunisi amekiona ni kinyume na dini yao hiyo ya kiislamu.
Quote of The Day:
“The sky has never been the limit. We are our own limits. It’s then about breaking our personal limits and outgrowing ourselves to live our best lives.”

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bro binadamu siku hizi nafsi zetu zimekufa kwa maovu mpaka zile dhambi kubwa kubwa na makatazo ya mwenyezi mungu tunayaona madogo ni vizuri kubadilika kwani maisha yenyewe ni mafupi sana siku hizi na siku zinakimbia sana bila kusahau uwepo wa maradhi ya ajabuajabu.

    ReplyDelete
  2. wewe mtunis acha kihele hele kitendo ulicho kifanya ni unafki ulishindwa wapi kumwita mtu na kumwambia?huo ni uswahili kila mty na maisha yake who are u to judge?wewe mbona kutwa kugonga wanawake ovyo...nani anae kuhukumu?tena sasa ndo ushajibiwa co ftari tuu hadi daku..toa ushoga mnapenda sana kuhukumu wenzenu...pusi nyie

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEWE NI MSENGE KUMAMAKO HUYO DIMOND ANAKUFIRA NINI,YEYE NANI ASIAMBIWE UKWELI HATA KAMA MAMA YAKO ANAPEWA MAKAVU TU,CHOKO WE


      Delete
  3. wee anny 9.57 mshenzzi mwenzako asema ukweli si mambo kumwita kumwambia. ni kitu dhahiri shahiri huyo wema alikua afanya hivo akipiga mapicha kwa juu kuonesha watu so ndio nini. jamani mwenzi huu ni muhimu kwa anaye fahamu dhihaka si nzzuri.

    ReplyDelete
  4. Sijaelewa kosa lipo wapi.na huyu mohammed ni nani.na yamuhusu nm.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama hujaelewa kosa piga kimya pimbi wewe tuwaache walioona kosa liko wapi waseme!Au fuatilia comments zachini hapo utaona kosa liko wapi na lina uzito gani! Paka wewe!

      Delete
  5. Kiukwel nice amesm ktu ambch ch msngi ktk din wem umkosea kwel....

    ReplyDelete
  6. Dini ya kiislam inaruhusu kukaribisha majumbani na kufuturisha mayatima. Hivyo kumkaribisha diamond na mama yake sio kitu kibaya,wamekaribishwa kama wageni wengini ila kwa kuwa ww mtunisi akili yako fupi umefikia tamati. Stupid

    ReplyDelete
    Replies
    1. HAKUNA ASIYEJUA KUWA DIMOND NIHAWARA YAKE WEMA,SASA KAMA DINI YAKIISLAM IMERUHUSU KUWAKIRIMU MASIKINI NA MAYATIMA KWAHIYO MAYATIMA WENYEWE NDIO DIMOND NAMAMA YAKE? WE MSENGE NINI USITUHARIBIE UISLAM KWAKUJIPENDEKEZA KWA HUYO MSENGE MWENZAKO KUMAMAKO MSENGE TENA UNAFIRWA NAPUNDA

      Delete
  7. wewe ambaye hujaelewa kajifunze dini sawasawa kisha utaelewa. Kusema kweli ata mm nilishangaa sana dah yani anacheza sana na dini kisha mapicha kwa juu cjui ataka onesha watu. tumewachoka na tabia zenu za kilanisi hebu badilikeni nyie ni watoto wakiislamu c sawa munayoyafanya

    ReplyDelete
  8. mtu anapokosea ambiwe ukweli ili ajirekebishe kwa manufaa yake na hakuna kutiana moyo katika mambo ya kipuuzi na kijinga. Hakuna binadamu mkamilifu hivyo ni vizuri kukumbushana na hakuna muislamu mwenye akili timamu, kujitambua na mwenyekuujua uislamu akafurahia upumbavu katika mwez kama huu ambao watu utakiwa kujifunza mambo mazuri yatakayowafanya waishi katika hayo kwa kipindi chote cha mwaka mzima kijacho.
    Nb. Uislamu wa mtu hautokani na jina la mtu mfano juma, Ally bali ní kuishi kwa kufuata uislamu mfano mienendo mema kama uislamu unavyotaka kama huruma, ukarim nk.

    ReplyDelete
  9. hapo umenena mdau hakuna kutiana moyo kwa mambo ya kipuuzi na kijinga. JAMANI HII SI DINA YAKUCHEZEWA

    ReplyDelete
  10. I MEAN HII SIO DINI YA KUCHEZEWA

    ReplyDelete
  11. Nyie wote ni wanafiki wakubwa mnasema mwezi mtukufu mbona mnawasema vibaya wenzenu wapumbavu wakubwa nyie bora mje tuendelee kula nguruwe wetu kama kawaida mnaona dhambi za wenzenu za kwenu mmezikalia matakoni mwenu. Mavi yenu

    ReplyDelete
  12. Nyie wote ni wanafiki wakubwa mnasema mwezi mtukufu mbona mnawasema vibaya wenzenu wapumbavu wakubwa nyie bora mje tuendelee kula nguruwe wetu kama kawaida mnaona dhambi za wenzenu za kwenu mmezikalia matakoni mwenu. Mavi yenu

    ReplyDelete
  13. Nyie wote ni wanafiki wakubwa mnasema mwezi mtukufu mbona mnawasema vibaya wenzenu wapumbavu wakubwa nyie bora mje tuendelee kula nguruwe wetu kama kawaida mnaona dhambi za wenzenu za kwenu mmezikalia matakoni mwenu. Mavi yenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sidhani kama ni sahihi utukana udini wa mtu, unakosea sana. fanya vitu kwa faida yako.

      Delete
  14. So kumualika Diamond ni kosa au?? Wat abt wengine walo enda Shetta, Rommy Jones, Babu Tale....hizi media ndio zina sababisha Vita, ugomvi na zinachochea kutokuwa na maelewano....Mimi ni muislamu ila kualikwa kwa Diamond coni kosa kaalikwa kama wengine tu....sema nyie na vimbele mbele vyenu na huyo Mtunis ndo mna angalia ubaya tu.....mbona hamjampogeza kwa kufturisha??? Hatuendelei kisa chuki za kijinga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ndio sio mwelewa! Mshenzi mkubwa wewe! Unaambiwaje unatakiwa kuwa mbali na hawara yako kabisa kwa kipindi hiki vipi uandae iftar na kumwalika hawara?kubwa, mama ya hawara dada na kaka ya hawara duh ni nomaaa!Kama hujui piga kimyaaaa

      Delete
  15. Jamani hatari tupu .Toa kwanza kibanzi kilicho Ndani ya jicho lako kisha ukasafishe boriti Ndani ya jicho la mwenzako

    ReplyDelete
  16. Sasa wewe mtunisi umekuwa shekhe siku hizi, au ndio nyani haoni kundule...toa puru lako kwanza kabla ya kuita ambulance

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mshenzi sana wewe! Kwani sheikh ndio mwenye jukumu la kukumbushana? Tumeambiwa tukumbushane una kichaa wewe

      Delete
  17. Nawasihii tuu.....kwa wale tuliofunga haifai kumtukana mtu.....ni kheri ukae kimya tuuu.....tuzingatie maarisho....inshaallah

    ReplyDelete
  18. Nawewe maarisho ndio nini mtatukana bure

    ReplyDelete
  19. wajua empty debes make the most noise and how you speak is how u will be judged coz dats ur average mind is thinking mbona asialike mayatima akawa futurisha. nyie wenye kusema watu wanfiki na matusi si makosa yenu hio tu ndio mwajua. lets call a spade a spade not a spoon. MTU AKIKOSA HUREKEBISHWA USWAHILI MWINGI NA MATUSI YA NINI??????? NA HAKUNA ALIYE KAMILI SO UWA TWAKUMBUSHANA NA KUREKEBISHANA KUSEMA JIANGALIE WW KISHA YY NI UPUZI.

    ReplyDelete
  20. watu wengine matusi ndio iliyowajaa midomoni mtu akirekebishwa kuna ubaya gani? mwisilamu ni kukumbushana na kurekebishana hawo wenye kuropokwa waropokwe

    ReplyDelete
  21. kwani mpaka uwe sheikhe ndio urekebishe????? na hao alowaalika wengine kina shetta kwani na wengineo ni bf wa wema haifai mambo kama hayo dai si mume wa wema atamwalika vipi. kama ni kweli ange futurisha maskini wala hakuna mwenye chuki ila ukweli kuambiana kupo stop being shallow minded.

    ReplyDelete
  22. sio sahihi kutukana dini ya mtu na pia umesahau kusema kua sio sawa kucheza na dini. mfano gani anaonyesha watoto wanao kua jamani hii dini si ya kuchezewa. nyie wenye kumtetea mteteeni na wenye kusema wao ni waisilamu wala hawaoni ubaya wake lakini kesho tutakapo kwenda kwa HAKI utakapoulizwa ulifanyaje mwenzio alipokua aenda vibaya utajua la kujibu. jamani nasema tena dini hii si ya kuchezewa

    ReplyDelete
  23. wenawe kimbele mbele cha nini wewe ndio kihere here apongezwe kafuturisha kwani walikua wafaa njaa au kwao hawapati futari ange pongezwa kama angefuturisha wasokua na uwezo.

    ReplyDelete
  24. kabla hamjacoment jiulizeni kuna watu wangapi wanaishi maisha kama ya diamond na wema,alafu mkae mkijua kutenda mema sio wakati wa ramadhani kwani kila siku ya maisha yako ichukile kama siku ya ramadhani ingawa wema na diamond wanakosea lkn huku mitaani waislam kibao wanaishi maisha kama ya diamond na wema bila ndoa

    ReplyDelete
  25. lakini wao ni kioo cha jamiii kumbuka hilo

    ReplyDelete
  26. Hawa wanaomtetea wema na dai kwanza si waislam hata kama ni waislam basi bado hawajui uislam kabisaaa!kitendo kilichofanywa ni cha kikafri na si cha kiislam,kumbukeni wao ni kioo cha jamii so pia ni waislamu sasa basi isingefaa kwa wema kuandaa iftar na kumwalika bwana wake na mama wa bwana na dada wa bwana wake eti waje kufrar duh hii h a ipo jabisa! Na mapicha juu mitandaoni! Huu si uislamu! Lkn pia naona hapa shida ni malezi ya pande zote mbili!wangekuwa na malezi mazuri na kuujua uislamu wasingeyafanya haya tena kwa kipindi hiki!mnaotetea bora m I ae kimya na si kutoa povu hovyo bila ya kujua wajinga wakubwa ninyi! Kweli ku b a maovu mengi yanafanyika lkn hili la wazi na limefanywa na hawa mastaawetubasilipigiwe kelele

    ReplyDelete
  27. Hebu wachukulie mfano kwa Malik bandawe na Rose ndauka! Mmoja wapo ni mkristo hapa kama sikosei lkn tumesoma mitandaoni humu ya kuwa mwezi mtukufu wawatenganisha Rose na malik bandawe!huyu Rose amesema anampa na fasi mwenzake akamilishe funga yake!hii ina maana hawa na waelewa! Hata kama wataonana hilo sisi hatujui lkn hapa mbele ya jamii wametuonyesha kidogo uelewa waliokuwa nao kama kioo cha jamii na kuheshimu dini ya mwenzako!ingawa tunajua wanafanyamakosa maana wataishi bila ya ndoa hilo nalo ni kosa! Lkn hawa team Wema akili zao ziko matakonimaanahatakamawemanadaiwamefanya makosa eti hawataki kabisa waambiwe ukweli sasa hapa utagundua wananini vichwani mwao!

    ReplyDelete
  28. Nimeipenda hiyo mdau9:06

    ReplyDelete

Top Post Ad