Hali ya Jeraha la mshambuliaji wa Barcelona Neymar kufuatia kugongwa kwa nyuma wakati wa fainali ya kombe la dunia na kupelekea kufanyiwa upasuaji wa mgongo sasa anaendelea vizuri ambapo amenza kula bata taratibu kwa kutoka na mpenzi wake Bruna Marquezine fukweni nchini Hispania.
Wapenzi hao wamekuwa wakivinjari fukweni Formantera ambapo Neymar amekamilikisha siku za kuendelea kutembea na kitu kilichokuwa kinampa msaada wa mgongo (yaani Back-Support).
Neymar hakucheza michezo miwili ya mwisho ya timu yake ya taifa katika michuano ya kombe la dunia kufuatia kupata kuumia vibaya mgongoni katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Colombia.
Upone kaka harakaaa kwa uwanjani tu nakufurahia
ReplyDelete