Picha ya Kwanza Ikionyesha Jinsi Ofisi ilivyoharibika Baada ya Watangazaji wa Clouds Kupigana Ngumi
4
July 03, 2014
Picha ya Kwanza Ikionyesha Jinsi Ofisi ilivyoharibika Baada ya Watangazaji wa Clouds Kupigana Ngumi kwenye Kipindi cha XXL ......
Tags
mbona kama vle hyo ofc haina siri? kwa kutuonesha hvyo ndo mbadhan kutufurahisha au kyhitia aib wenyew.
ReplyDeleteKIKI tu hizoo. Ofisi haiwezi kuwa na kiti kilichochoka namna hiyo na File baya wakati ni studio... FIESTA IMEBUMAAAA
ReplyDeletembona ofisi umechoka na kiti utafikiri haifanyiwi kazi au ndo nyie udaku mnabahatisha na habari zenu
ReplyDeleteWaongo hao hamna kitu kama icho kama kweli walipigana cjaskia tusi hata moja na dunia nzima hakuna ugonvi usio kua na tusi na fety mchonvu b12 wote wana midomo michafu waache kamba ni kick tu
ReplyDelete