Stori: Shakoor Jongo
Picha zinazoonyesha jinsi mtangazaji wa kituo cha Redio cha Times, Khadija Shaibu alivyochezea kichapo kutoka kwa mumewe, Edzen Jumanne zimevuja.
Akizungumzia kipigo hicho hivi karibuni, Dida alidai kuwa, baada ya kutofautiana kufuatia wivu wa kimapenzi, mume wake huyo baada ya kumporomoshea mitusi, alichukua mkanda wa suruali na kumpiga nao hadi kumsababishia majeraha hayo hali inayomfanya muda mwingi avae kininja kuficha aibu.
Mpaka sasa wawili hao kila mmoja kivyake huku ndoa ikielezwa kuwa haipo tena.
AKOME ndo maana anajifanya anajistiri mwezi wa ramadhani kumbe anaficha kipio lol
ReplyDeletehahahahahahahahahahahahahahahah......kwekwekwekwekwekwekwe.....teheteheteheteheteheteheteheeeee.....kwikwikwikwkwikwikwikwi......kiruuuuuuuuuuu......ngunguru hafugiki Edzen mwe.
ReplyDeleteHuyo jamaa ni abuser mkubwa. Sijui sheria za nchi ziko wapi na zinamsimamia nani. Hiyo ni abuse and insult. Wanawake nyanyukeni mlinde haki zenu. Jaribuni kuepuka hiyo aina ya minyanyaso. Tofauti za mawazo au matendo zisipelekee mtu kunyanyaswa na kudhalilishwa kwa kiasi hicho. Ukiona unatofautiana na mtu basi mwache kwa amani aende zake. Na sio kumdhalilisha kama mnyama porini. Nashangaa mpaka saa hii huyo mjamaa bado hajakamatwa na vyombo vya dola. Bado yuko mitaani ana mangamanga wakati yeye ni mhalifu. Kwa sababu the next thing atamrukia mwanamke mwingine na pengine kupoteza maisha yake. Huyo ni mhalifu/criminal anatakiwa awe amekamatwa na kufikishwa mbele ya vyombo vya dola. Tanzania inaelekea wapi jamani!! Haki za Wanawake zilindwe!!
ReplyDeleteUlichosema kaka ni kwel kama walitofautiana kila my angeshika njia yake,asingempiga
Deletedida anamdomo jamani acheni, hata mi ngekua ezden angezioga za kutoshaa! hapo utakuta alikua anamjibu ezden zile za "nipige sasa, nipigige uone" halafu mke wa mtu unarudije home ulewa chakali hadi unatapika, acheni kutetea mambo ya kingese!!!
DeleteUnaakili sana dida anamdomo sana acha apigwe tu huwezi kumlete usupasta mumeo eti aende big bro huna haja sura imekukomaa umalaya hao wanaotetea si tabia zao sawa
DeleteNimdomo uliopelekea apigwe wanawake tuache midomo mkipigwa mnalalamika mmeonewa ezden safi hatakama anahela akae bilamume mana hana adabu.helazake zimuoe ndoa waitaka big braza waitaka starehe wazitaka hela wewe,mdomo wewe hayajioe mwenyewe sasa dida naolewako ufumwe namume wamtu mana umeyataka utajuta.
DeleteHalafu bila ya aibu vyombo vya Habari vina mlinda na kumtetea Mhalifu/Criminal. Hiyo ni aibu kwa Nchi hasa kwa yale Mataifa yanayotupia jicho mwenendo mzima wa Nchi na udhalilishaji wa Kijinsia. Kama tabia za Mwanamke unaziona ni mbaya na hauwezi endana nazo. Mwache, hujalizimishwa kukaa nae. Muandikie Talaka yake aondoke kwa amani. Kumpiga na kumdhalilisha sio suluhisho la kumfanya abadilike kitabia. Kama ndio tabia zake hata ufanye nini atabaki nazo. Wanaume wa Ki Tanzania badilikeni. Jaribuni kuwa na mawazo chanya kuhusiana na mahusiano ya mapenzi. Ni lazima mjenge tabia za kujiamini. Kitendo cha kumpiga na kumdhalilisha huyo mwanamke inaonyesha jinsi gani usivyojiamini. Shika jembe kalime au Shika daftari na kalamu uende shule. Pengine hiyo itakusaidia wewe mwanaume usiyejiamini.
ReplyDeletehebu tutolee ushuzi ndio kapigwa nini!!!wenzio wanakatwa hadi shingo!!!na mikorogo ndio maana kaiva ..actually niameguswa tu.
DeleteWewe Nana junior unachekesha kweli. Unaziona hizo bruises halafu unadai kaguswa tu. Acheni mambo yenu. Huo ni udhalilishaji wa Kijinsia hasa kwa Wanawake. Ni jambo lisilokubalika. Huyo mhalifu akamatwe na ashtakiwe.period.
Deletethere are timea huwa nawza nana junior si mzima.
DeleteHuo mkorogo akipigwa kibao tu lazima avilie damu kama nguruwe nana Yuko right.ukimchukua mtu km monalisa umpige kibao hawezi kuwahivyo so huo nimkorogo tu akipigwa kidogo jeraha wala hajapigwasana hapo.namtu hawezikukupigasana kama huchongoi domo unamakosa domorefuu mtu nahasirazake atakupiga tu namanenoyake ya uzalilishaji
DeleteHiyo Kamati au Tume ya akina Maria Sarungi na wenzake inayosimamia Haki za Kimsingi za Binadamu iko wapi na inafanya nini??? Walipiga picha na kuweka kwenye vyombo vya Habari kutujulisha Wa Tanzania kuwa kuna Kamati inayosimamia Haki zetu za kimsingi sasa mbona mpaka sasa hivi hatuisikiii??? Licha ya matukio mengi ya udhalilishaji wa Kijinsia na Watu kukosa haki zao za kimsingi hii Kamati iko kimya kana kwamba hakuna jambo lolote linaloendelea hapo Nchini Tanzania. Kwa kweli hii ni aibu kwa hiyo Kamati/Tume na Wa Tanzania kwa ujumla.
ReplyDeleteNDO SBB HAMATWI NI MAMBO YA UVUNGUNI HAYO
DeleteKwa kweli huyo mjamaa ni booongeee la Abuser. Mpaka sasa hivi anatakiwa awe amekamatwa na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria. Kwa sababu vielelezo na vidhibitisho vyooote vya ushahidi viko wazi. Hata yeye mwenyewe alikiri kwenye ile clip kuwa alimpiga huyo mwanamke. Pia cha kushangaza hata mwajiri wake hajamfukuza kazi kwa hilo tendo la aibu. Kwa kweli ni aibu hata kwa ile Radio anayoifanyia kazi. Kwani wote wanaonekana ni Abusers. Anatakiwa awe amefukuzwa kazi na awekwe jela na sio kumwacha akirandaranda mitaani. Huyo ni Criminal.
ReplyDeletekwendaa,criminal ni dida then edzen
DeleteKimsingi ametia Dosari taaluma nzima ya watangazaji wa Radio. Wote wanaonekana ni the same. Yaani ni ma abusers.
ReplyDeleteSiyo yeye wanadanganya hiyo ni picha tuuuuuu. Kama ni yeye wangemwonyesha mwili wote.
ReplyDelete