Leo kupitia page yake ya INSTAGRAM mwanadada IRENE UWOYA ametupia picha za hatari akiwa hana nguo ya juu yaani TopLess na kuandiaka" Unajua dada we nimke wamtuuu usifanye hvyooo...we ndoulinifungisha ndoa?mbona mna vimbelembele wabingo!plzzzz mind ur busness....tenaaaa ....ohohoooo "
HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ReplyDeleteutupu wenyewe ndio uko wapi mbona hatuoni kipapa kama chaga
ReplyDeleteDada Irene mimi kama mimi naku kukubali sana ila iyotabia me sijaipenda jaribuku badilika but napenda sana jinsi ulivyo pamoja nakazi zako pia.
ReplyDeleteDada Irene mimi kama mm na kukubali sana, basi badilika hiyo sijaipenda.
ReplyDeleteUyo chagudoa aloenda shule kawaida yao machangu wote
ReplyDeleteutupu ukowapi hapo sasa
ReplyDeleteWabingo bhana,we acha tu!
ReplyDeleteTatizo mtoto Wako unamfundisha nini. Ukishazaa inabidi ujitambue! ndoa c tatizo. Jisitiri kwa heshima ya mwanao, wanafunz wenzake watakuja kumtukana shuleni kwa tabia zako za kijinga, itamuathiri Sana. Kuwa makini Sana.
ReplyDeleteMalaya tu huyoo
ReplyDeleteHuyu mbona kukaa uchi kawaida,muulize kigosi rey,kuna movie wamefanya akavua nguo zote ili ashuti uchi rey akawa anammbembeleza avae nguo hyo clip iko jml pale nenda ukaone alivyo mwaga radhi huyu ni maraya wa kutupa mungu atunusuru watoto wetu wasitutie haibu kama hii
ReplyDeleteamuulize kajala mwanae anavyolia shule kila mara we mdada ni kwa faida ya mwanao c vingine hlf ni wakiume wacha hizowe ni mzuri hata ukiweka za heshima hutaonekana eti kioo cha jamii fyuuuuuuuuu mnawafundisha nn wanaofata nyayo zenu???
ReplyDeleteIrine hakuna haja ya kujipiga picha za nusu uchi kwa lengo la kuwa tega wanaume badala yake nakushauri kwa kuwa ww ni msanii jibidishe kwa kufanya kazi ya usanii mpaka katika anga za kimataifa.
ReplyDeleteUtupu uko wap mbona siuoni mie
ReplyDeleteNapenda sauti yake mwenzenu.
ReplyDelete