Picha za Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Martin Kadinda Zatibua Swaumu


OOHOO! Picha ambazo hazijakaa poa katika kipindi hiki cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani za mastaa, Aunt Ezekiel, Wema Sepetu na Martin Kadinda zimetibua swaumu za Waislamu waliofunga.

Picha hizo zinazoonesha ni za kipindi cha Wema cha In My Shoes kinachorushwa kupitia EATV, zinawaonesha sehemu ya juu wakiwa wazi.

“Huyu aliyeachia hizi picha ametutibua sana sisi tuliofunga, alilenga kutuharibia swaumu zetu, haijakaa poa sana,” ilisomeka sehemu ya maoni ya picha hizo kwenye mitandao ya kijamii.

Funny Quote of the Day
If you can't convince them, confuse them.

Post a Comment

30 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Achane hizo sio kila aliye funga basi akiona mabega ya mwanamke yana muharibia swaumu yake,kwanza sio kila mtu ana vutiwa na Wema au Aunty,kila mtu anasehemu yake na mtu wake ampendaye na akimuona anamtamani,hakuna swaumu yoyote iliyo vurugwa hapo picha za kawaida sana hizo.

    ReplyDelete
  2. picha zenyewe za zaman media mnakuza mambo

    ReplyDelete
  3. halafu udaku embu andikeni habari kwa kina na zenye mashiko ona tathimi ya wanaotembelea blog hii inapotea kbisa. mnaandika hbri sawa lkn hainyeshi chanzo wala nini kimejiri hadi mpost. .anyways ni mtazamo wangu tu.

    ReplyDelete
  4. Kwn lazima uangalie kipindi hicho umalaya wako tu na km kweli unaimani zako huwezi kuangaika na mabega hayo huna imani tu shenzy wewe vipindi vyote lazima uangalie hiyo

    ReplyDelete
  5. I luv u wema but haikuwa Poa ukiangalia kuwa ww ni muislam ulipaswa kujistili bana

    ReplyDelete
  6. Udaku tumechoshwa na tabia zenu za kuchafua watu, mbona ni picha za muda mrefu hizo, ili uishinde dhambi ni lazima ukutane mayo na uiepuke, Sasa sisi tuliofunga kwa kuumanisha hizi ni picha za kawaida sana

    ReplyDelete
  7. waislamu wana mambo yakijinga wanapenda kumplain kila siku ndio maana maskini kwa uchizi wenu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wakati unaongea unatakiwa kufikiria sana Nana sio unakurupuka utafikiri umekunywa maji ya chooni, nyie ndio mnaonzasha vita isiyoisha dhidi ya ukristo na uislamu, hivi ukisema waislamu ndo maana masikini unamaanisha nini, au ndo utatafuta kiki katika hizi blog? kuwa makini sana na maneneo yako ipo siku yatakupelekea pabaya, kwani hakuna wakiristo masikini? halafu tatizo huna dini na hata kama mkristo mkristo jina tu hapa duniani ni kwa Mwenyezimungu dini zote ni zake waja wote ni wake yeye ndio anayetoa riziki iwe kwa mwislamu au mkristo unapoongea huo utumbo unaonekana kabisa duniani haupo wala akhera pia. i feel sorry 4 you. umenikera ngoja niishie hapo usije ukaniondolea swaumu.

      Delete
    2. nana hajakosea kitu ndugu kweli mna mambo ya ajabu sana dini gani ukisoma sana lazima uwe mchawi na ukizaliwa lazima uwe na jina kaaaa fikilia mara mbili. Kuwa maskini sii kwamba hauna pesa. Unaweza kuwa maskini wa roho yako tuu au na waislamu wengi ni maskini wa moyo wao . kasome kuruhani vizuri tena uende chuo hasa ndo utakuja kubaini maneno yangu wewe unasoma alifu tuu na kujua kuswali basi unajifanya unajua diiini weweweweeeeee

      Delete
    3. we nae walewale

      Delete
    4. funguka ndugu huu sio wakati ule soma sana kuruhani na uwe unauliza maswali kwa mashehe wako utapata majubu kamili kuhusu nini ndio nani

      Delete
  8. dioamond kaachia video 2 bumbum...shake na mdogomdogo..ila nimeona moja tu ya bumbum nzuri nimeiona kwa dj choka..youtube siioni sijui kwa nini..

    ReplyDelete
  9. aliyekuambia waislam maskini nani.........................hebu angalia nchi kama qatar ni nchi yakwanza tajiri duniani halafu unasema waislam maskini.....labda ww na uo utajiri wako wa umalaya na umaskini wa akili......angalia sio unaropoka tu............JIANGALIE WW NYAMAFF

    ReplyDelete
    Replies
    1. nana hacha kutukana me nakutetea waislamu ni kweli maskini wa mioyo. utajili wa mwilini wasinge kuwa wanapigana kila siku kila kukicha wanapigana wao tuu tena hawajiamini hata kidogo. wakiona kanisa limejengwa mahali roho inawatoka kama mjusi dini gani hiyo

      Delete
    2. muulize mwenyezimungu ndo atakae kujibu and one day you will relize kama ni dini gani

      Delete
    3. nilitambua kweli ndio maana naandika uislamu si dini kwa kweli jamani tambueni hilo waislamu fungukeni nasi tutazidi kuwaombea hadi nusu yenu ije kwetu na mitambue kweli.

      Delete
    4. Jamani ubishi wa din tuache ukweli ni kwamba mbinguni hakuna dini

      Delete
  10. Akili huna kweli akili yote imetawaliwa na umalaya ngono 2 ndio unawaza ww alokwambia waislam masikini nani?ww ndio masikini wa mawazo shaitwan mkubwa .

    ReplyDelete
    Replies
    1. ni kweli waislamu nii maskini si wa mali bali wa miaoyo yao

      Delete
  11. Akili huna kweli akili yote imetawaliwa na umalaya ngono 2 ndio unawaza ww alokwambia waislam masikini nani?ww ndio masikini wa mawazo shaitwan mkubwa .

    ReplyDelete
  12. Akili huna kweli akili yote imetawaliwa na umalaya ngono 2 ndio unawaza ww alokwambia waislam masikini nani?ww ndio masikini wa mawazo shaitwan mkubwa .

    ReplyDelete
  13. Akili huna kweli akili yote imetawaliwa na umalaya ngono 2 ndio unawaza ww alokwambia waislam masikini nani?ww ndio masikini wa mawazo shaitwan mkubwa .

    ReplyDelete
  14. Nana sura yenyewe ka unakunya au unapuliza motogongo wa shangazi yako kuma kibuyu

    ReplyDelete
  15. Kama umefunga unafanya nini huku kwenye mapicha machafu!? Hujafunga!

    ReplyDelete
  16. badilishen systm ya blog yenu tokea mmeweka this type imezidi kuwa mbaya unafungua habar usome lakin still haifunguki lol so fuck up try another way

    ReplyDelete
    Replies
    1. we ndo simu yako au computer yako inavirus

      Delete
  17. we nana kuma la mama

    ako na bibi yako sheitwan mkubwa we mjaa lana

    ReplyDelete
  18. Hivi nyie wenye blogs hizi comments za matusi mnazoziachia kwenye blogs zenu ndo zinazowapatia riziki eti????? Audhubillahy min dhalika

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad