Hasheem Thabeet ame-post kwenye ukurasa wake wa facebook kuhusu baadhi ya watu wanaodhani kwamba amesahau lugha ya kiswahili. Sasa hiki ndicho alichoandika Hasheem kwenye ukurasa wake wa facebook.
Quote of The Day:
“The sky has never been the limit. We are our own limits. It’s then about breaking our personal limits and outgrowing ourselves to live our best lives.”
Haya,tumekusikia na weeeeyeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteHuna lolote Hasheem wewe ndio ulikua unajidai hujui kiswahili, unaigia sleng za Black America sasa yapi yamekukuta unajidai Kiswahili ndio Lugha yako.
ReplyDeleteHahahahaaaaa,You know,you know,you know kwa saaaaana Hashim,kasahau kiswahili wajemeni.
DeleteAtasahau wapi mmatembele huyo hana lolote. Basketball yenyewe imemshinda anabakia kama mkichaaa vile
ReplyDeleteHasheem toka uende na team ulizochezea. jumlisha points zako zooooote. ushawahi kufikisha points? nimebahatika kuangalia michezo kadhaa ya oklahoma city thunders. namuona tu ibaka, steve adam na k.perkins ndo wanacheza sana position uliopo na wote hawafiki height yak So tatizo nini?
ReplyDeleteHuna lolote misifa imekuzidi, ukasahau mazoezi ndiyo maana umeshuka kazi buti,
ReplyDelete