Mwanamuziki Rachel Ambaye ni zao la THT na Aliyetamba na Single ya Kizunguzungu amejitokeza hadharani na kukanusha tetesi ambazo zilikuwa headlines week mbili zilizopita kuwa anatoka kimapenzi na TID na Pia Anatumia Madawa ya Kulevya baada ya TID kumfundisha..
Rachel Amekanusha uvumi huo na kusema "Jamini mimi sina mahusiano ya kimapenzi na TID kabisa maneno nayasikia tu mtaani na kwenye blogs ila si Mpenzi wangu na wala hajanifundisha kutumia madawa ya kulevya ,hizo stori sijui zinatoka wapi , mimi TID ninampango wa Kufanya nae kazi za music tu na si vingine"
Mkomo Kuchonga chongo Midomo Rachel kashasema Hapo Juu
Quote of The Day:
Thousands of candles can be lighted from a single candle, and the life of the candle will not be shortened. Happiness never decreases by being shared.
we nawe co sifa kula sembe kiazi we kwann ucache kifaranga ww
ReplyDeleteAweza kuwa c mpenzi wako bt mkishaweka mambo yenu kichwan mnatiana tu
ReplyDeletehata kama si mpenzi wako lkn kashakutia tena si mara moja chezea sembe ww
ReplyDelete