RAY ashindwa kumzika “Baba’ke” na JOHARI. Chuchu Hans 'Atajwa'.

MKURUGENZI wa RJ Company, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameshindwa kumzika baba mdogo wa mkurugenzi mwenza wa kampuni hiyo, Blandina Chagula, Clement Kiyenze Chagula.

Mzee huyo alifariki katika Hospitali ya Muhimbili kutokana na matatizo ya presha na figo yaliyokuwa yakimsumbua na kuzikwa katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar ambapo wasanii mbalimbali wa filamu nchini walishiriki akiwemo Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete.

Alipoulizwa Ray kwa nini hakuhudhuria mazishi hayo, alisema:

“Ukweli ni kwamba mimi sipo Dar. Ndiyo maana sijaonekana huko kwenye mazishi, nipo Mwanza katika shughuli zangu za kikazi, tuko pamoja lakini,” alisema Ray ingawa wachungzi wa mambo wanasema kuwa alikuwepo mjini ila ni kutokana na sababu binafsi zao kati yake na Johari ndo maana hakutaka kwenda huku chuchu hans akidaiwa kuhusika.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mmh haya kidume Ray, kama kweli upo Mwanza tunashukuru, lkn mtu mzima wewe jitambue, acha mambo yako ya kike, haya basi ukirudi uende, namkumbuka Kanumba mimi kijana alikua mstaarabu hajawahi kugombanisha wadada, na alijitambua ndio maana alifika mbali, sasa wewe Ray wetuuuu mmh!

    ReplyDelete
  2. Kila Msanii siku hizi yuko mwanza kikazi. Lulu Kanumba hivyo hivyo utamsikia yuko Mwanza kikazi. Hivi huko Mwanza kuna nini????????

    ReplyDelete
  3. Tenaaaa chezeya mwanza weeee ufuska umejaa na ukimwi mwanza

    ReplyDelete
  4. Mwanza tunakula samaki.

    ReplyDelete
  5. Huyu ABC jamani wadau hebu nisaidieni, akili yake hua iko sawa kweli au ina cancer km Mbuta Nanga Flora Lyimo? Maana kila nikiaoma comments zake ni upuuzi mtupu,eti Ukimwi umejaa Mza lol! Kwani Dar haupo? Tena upo wa kutisha msenge mkubwa wewe,waache watu na Mza yao wale samaki zao kwa raha zao. We kaa huko uliko na Ukimwi wako

    ReplyDelete
  6. utajiju ray kibamia na miwaya yako..huyo chunchu nae kashaukwaa kwa tamaa

    ReplyDelete
  7. bora umuulize

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad