Stori: Jamila Said
STAA aliyeitendea haki sinema ya Kigodoro, Riyama Ally amesema licha ya kuwa ana mchumba lakini hayupo tayari kuolewa kwa sasa.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Riyama alisema hahitaji kuolewa kwa sasa kutokana na kushuhudia ndoa nyingi za mastaa zikivunjika, hivyo anahitaji muda mwingi wa kufikiria juu ya mtu wa kuingia naye kwenye ndoa.
“Nitaolewa baada ya moyo wangu kuwa tayari kwani ndoa si jambo la kukurupuka, lazima uwe na mtu sahihi,” alisema Riyama.
GPL
lakini ww ni muislam ss kama unatoka nae bila ndoahili nalo ni tatizo.je umejifikiria kuhusu hilo
ReplyDeletemalaya mkubwa wewe utazeeka hakuna atakae kuowa!
ReplyDeletelione vile msula kama unatumbuliwa jipu la kwapa!
Ila kuzaa na wanaume inje ya ndoa poa sana kwako eeeh AIBU
ReplyDelete