Shinda milioni moja cash kutoka kwa Diamond kwa kufanya hivi
9Udaku SpecialJuly 22, 2014
Haya ni maneno ya Diamond akitangaza kitu ambacho ukikifanya unaweza kujishindia milioni moja cash. Soma hapa na kama lipo ndani ya uwezo wako fanya ujishindia pesa kutoka kwa Diamond.
HAUMBUKI ANATOA HUO NI UJASIRIAMALI FURSA ANAYEWEZA KUTUNGA NAMNA YA KUCHEZA ANAWEZESHWA MTAJI MILIONI MOJA AKINUNUA MAGUNIA YA MKAA NA KUYAUZA SI SAWA NA MUOTA JUA MPAKA JIONI KUWA NA AKILI KABLA YA KUZODOA BATA KENGE WEE
Hiyo nyimbo ni aina ya mkwaju ngoma na mchiriku....kwahyo watu wa pwani yaani waluguru,wazaramo na wakutu wanao mtindo wa uchezaji..kwahyo staili ya mchezo huo upo.
Tatizo domo uwa atimizi ahadi, alichowafanya watoto WA watu warembo kwenye nyimbo yake ya nataka kulewA! Awakuambulia chochote, cjui uwa anatangaza apate sifa! Acha hiyo tabia domo, mungu apendi mtu asiyetimiza ahadi.
anafirwa huyu domo. ni kweli aliwadanganya mabint wawa2 katika video y nataka kulewa. safi xana mdau hapo juu umeongea ki2 kidhuri xana huyu domo la udaku huwa hatimizi ahadi zake.
acheze mwenyw
ReplyDeleteaache ufinyu wa fikra kwa nn atunge wimbo ashindwa style kumbe ndio zake ku copy na ku pest muda umefika wa yy kuumbua!
ReplyDeleteacha ushamba wewe si analipa.
DeleteHAUMBUKI ANATOA HUO NI UJASIRIAMALI FURSA ANAYEWEZA KUTUNGA NAMNA YA KUCHEZA ANAWEZESHWA MTAJI MILIONI MOJA AKINUNUA MAGUNIA YA MKAA NA KUYAUZA SI SAWA NA MUOTA JUA MPAKA JIONI KUWA NA AKILI KABLA YA KUZODOA BATA KENGE WEE
ReplyDeleteHiyo nyimbo ni aina ya mkwaju ngoma na mchiriku....kwahyo watu wa pwani yaani waluguru,wazaramo na wakutu wanao mtindo wa uchezaji..kwahyo staili ya mchezo huo upo.
ReplyDeletefursa hii najua madensa washaanza kazi
ReplyDeleteTatizo domo uwa atimizi ahadi, alichowafanya watoto WA watu warembo kwenye nyimbo yake ya nataka kulewA! Awakuambulia chochote, cjui uwa anatangaza apate sifa! Acha hiyo tabia domo, mungu apendi mtu asiyetimiza ahadi.
ReplyDeleteanafirwa huyu domo. ni kweli aliwadanganya mabint wawa2 katika video y nataka kulewa. safi xana mdau hapo juu umeongea ki2 kidhuri xana huyu domo la udaku huwa hatimizi ahadi zake.
ReplyDeletedomo kawa handsome
ReplyDelete