Soma Majibishano ya Watanzania Waishio Nje ya Nchi Kuhusu Video ya Mdogo Mdogo

Utake ustake, wiki hii na wiki nyingine zijazo jina la Diamond litakuwa likizungumzwa sana si tu Tanzania bali sehemu nyingi duniani kwa watu wanaoufuatilia muziki wa Afrika. Kitendo chake cha kuachia video mbili kwa mpigo na tena alizotumia gharama kubwa mno kuzikamilisha, kumemfanya bila ubishi kuwa msanii namba moja na hatari zaidi Afrika Mashariki.

Pamoja na asilimia zaidi ya 90 ya watu kuipenda video ya Mdogo Mdogo, kuna asilimia nyingine ya watu wenye mtazamo tofauti. Haya ni majibizano ya watanzania wawili kwenye Youtube kuhusiana na wanavyoiona video hiyo.

KZ SLP alianza kwa kuandika:

This reminds me of Tanzania b4 1961 nuthin new here no hate music is good video is still way back mentality and reality ..Back 2 Slave time.. Kila ki2 hapa was suppose 2b the other way not this way.. What the music got 2 do wit all this. Show ur ppl be proud of ur women. And u get plenty likes cos of mzungu anacheza mchiriku.. Wazungu wenyewe huku wanashangaa why have to be like this..So next time do better.. Good music reminds back home I love it. Video? bruh I don’t think so..

Natasha M Shyrose akajibu:

It has nothing to do being proud or not proud of African women. This video shows love is pure it see no color or tribe. It is against racism and support of interrational marriage/relationship or difference. It is 2014 be loving all people of all colors and background are worthing like you and your African brother or Sister. We are all one thing. Love is the answer!

KZ SLP akajibu tena:

Miss/Mrs Natasha .. I was expecting someone 2 think or thought that am racist well am so not.. Got 4 beautiful kids with ex black and two more with my previous white wife and I got white blood in my family as ma grandpa is European.. As u say this is 2k14 well nothin has change as the time goes by. Am from Tanzania gru up in Europe .. When u say love does not have color I agree but color do have a value .. U c! Last time I was in my beautiful land was 2k13 after 14yrs and still it’s whiteman got more respected than myself .. As I was with my wife and the saddest part was she could enter places that I couldn’t if I didn’t have proper cloths.. Where I am now is way far from that.. We already pass that in edges.. This video does have memories that I c on Hollywood Slave movies everyday a white as a king and princes a dark shall bow.. So it’s a bit disappointed kinda clip. But am no racist. Jus would wanna c things changes.. Which will never so I wait till 2k50 when we will be a ruler till then let us c things on diff perspective. Jus my opinion .

Natasha M Shyrose akaandika tena:

Value is within yourself my friend. If you go to a place whereby people feel you are worthless is better to go away from such places. If some people try to undeevaluate you because of your color then know they are not right people. We should not be tired to remind people that we worth despite what they think about us most especially if they want to interact with us. Try to select everything from places, friends, people and you will see beautiful side of life. Unfortunately they are people who would rather cheer crappy characteristics than great quality just because they are supporting certain color or tribe. I think we should think of personality and qualities people have and be color blind. Those who cares of features instead of qualities have more problems than what they try to express. The are the ones who are actually weak not the one who assume oneself to be a victim.
“Let people treat you the way you want to be treated”

Greetings from Norway.
Bongo5

Je wewe Unasemaje Kuhusu Hiyo Video ?


Quote Of The Day:

We can't help everyone, but everyone can help someone.
Post Sponsored By Kenyangossip.com

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. safi sana ila acha kutombna na mm yako mkundu ww hata kama ni masharti ya mganga wako bas inatosha acha huo mchezo sio mdhuri mim nakushauli.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WaBongo hamkosi maneno. Wivu mbaya jamani. Unauwakika gani kama anatoka na mama ake? God will punish u

      Delete
  2. WIVU mbayaaaaaa.

    ReplyDelete
  3. anonymous 2:11PM acha KUFIRANA NA BABA yako MZAZI wewe tunakufichia siri ww mtoto wa magomeni mapipa usipokuwa makini tutakuanika shoga ww

    ReplyDelete
  4. anony namba moja nakuona tu kila post inayomuhusu diamond unakuwa wa kwanza kusema analala na mama yake cjui unaumia kitu gani ifike hatua ukubali tu kuwa diamond ni mkali mwee!!! watu bwana!!! cjui wakati analala ulikuwepo huko chumbani mna unaropoka tuu au wewe ndo unalala na mama yako??!! shame on you!!!

    ReplyDelete
  5. huyo vipi mbona kashupalia...

    ReplyDelete
  6. Mh! Makubwa

    ReplyDelete
  7. Safi sana dimond.. kimziki nakukubali umefika mbali.. BET..CORA na ile ya south.. ila cjajua ka ushaanza kutomba kimataifa au unaishia kushika viuno tu domo limejaa gundi?? Au umezoea kuwaonea masupasterz cheap wa bongo.. maana watoto wanatombeka hawa mpaka aibu.. yani hawaijui thamani yao kabisa.. cjui wamerogwa??

    ReplyDelete
  8. hii track ni nuri sana nilipoisikilia kwenye radio,naipenda sana sana na joinsi nilivyokuwa niijengea picha jinsi video yake itakavyokuwa,naona kimekuja kitu tofauti kabisaaaa.mimi binafsi sijaipenda video hiii kwa sababu angu binafsi kama hii..Kwakuwa hii track imepigwa kwenye miondoko ya mnanda au vanga ,i would expect kuona sana imechukuliwa kweny emaingira flani ya kiswahili aidi kuonyesha uhalisi wa mnanda wenyew vijana wa uswahili huko wakikidukisha hatari.sasa sehemu kubwa imechukuliwa na uzzungu mwingi sana.hakuwatendea haki wenye asili ya midundo hii.So uhalisia wa nyimbo ungevaliwa na uhalisia wa video.

    ReplyDelete
  9. we unaekomalia dai analala na mama ake ulishamkamataaa...kuku wewe msenge kweli na wewe kamtie mama ako km unaona ni vizur ili upate pesa sasa

    ReplyDelete
  10. ila kachemsha mchiriku UK hizo hela angeenda kusaidia wasiojiweza

    ReplyDelete
  11. Big up platinamuz, Mungu aendelee kukuwezesha coz ww bnafsi unaweza achana na hawa wenye majungu na umbea instead of being proud of u wanakaz ya kuongea ujinga...kama ww unatoka na mam ako ni ww na LAANA zako kumanina zako NKY

    ReplyDelete
  12. Jamani! ebu tumuache mtoto wa watu na maisha yake, jua hata wewe ungekuwa superstar ungesemwa sana. Pia si vyema kumwambia kuwa anatembea na mama yake acheni tabia za kueneza mabaya kwa wenzenu kwani mungu apendi kumhukumu binadam mwenzako, jua na wewe utahukumumia vile vile kwa nafasi uliyonayo na popote ulipo. pia acheni kutukana hebu muwe na hofu ya mungu hata kama huna dini. Pia hiyo video yake sio mbaya, kwani awezi toa video bila washauri na meneja wake kuipitia so plz mpongenzeni mwenzenu alipofikia kwani na wewe utapongezwa kesho. jitahidi utafanikiwa toa jasho.

    ReplyDelete
  13. Kuna watu wivu utawaletea vidonda tumbo, Sasa matusi yote ya nini, kaombe kibali uirudie wewe hiyo vidéo ili tuelewe Kama Dai amekosea au vipi, vinginevyo domo ni mkali, nenda ukasikilize wimbo Wa Ben Pol maneno2 ukusaidie kupanuka akili

    ReplyDelete
  14. Hongera Sana umefika mbali kimuziki mungu akujalie kila siku uzidi kuwafurahisha mashabiki Wako. Ila PIA fikia wakati uwe na maamuzi juu ya wema na sio umchezee na kumuacha haipendezi, kwanza mkiwa pamoja mnapendeza Sana napia mashabiki tunakuwa wengi. Kinyume na hapo napenda Sana kazi zenu wewe na wema mungu azidi kuwabariki!

    ReplyDelete
  15. Dai we Fanya yako kuna wasenge APA dunia WAPO kwa jail ya majungu tu MPE hai wema ila mwambie Huu mwenz mtukufu lile chujio alilo vaa skuile ya mapokez aliboa kwakwel

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad