Mwenyekiti wa bongo movie Unity, Steve Nyerere amechukizwa na watu wanaotumia mitandao vibaya na kwa kumzushia kuwa ni shoga.
Steve Nyerere kupitia akaunti yake ya facebook ameandika:
Napenda kuchukua fursa hii kuongea machache na kama mtaboa mtu naomba samahani najua binadamu tumezaliwa tofauti sana kuna wale wanaogopa zambi na kunawale wanopenda zambi mimi daima nasema izo ni changamoto tuuu ok nimepata taarifa umu umu kwenye mitandao yetu ya kijamiii hususani huuu kwamba kuna binti anaitwa zainab ananichafua na kuniandika mambo ambayo ayana tija kwangu. Nazani ata kwake kwamba mimi shoga anauhakika hahahahaha nimecheka sana kupata izi taarifa nataka kuwapa taarifa ndugu zangu kuna msemo unasema mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe na mkanya mara moja aache mara moja kwani naimani anapoteza muda tu habari hizo si zakweli kabisa ila namtakia laheli kwahili jambo analonitendea mimi nasema namwachia mola akumbuke nafamily mke na watoto mama dada zangu kiukweli najisikia vibaya sana mi nasema asante”.
Baada ya kuandika kauli hiyo, Steve Nyerere ameuambia mtandao wa bongo5 kuwa kuna watu wameamua kumchufua baada ya kujionyesha wazi kwenye siasa.
“Watu wananitumia meseji mbaya, eti mimi nimetumwa na viongozi, mara sijui mimi ni shoga, jamani hakuna mambo kama hayo, nawataka watanzania wajue hayo ni mambo za uzushi, sijui ata yametoka wapi” Alisema Steve Nyerere
Quote of The Day:
Thousands of candles can be lighted from a single candle, and the life of the candle will not be shortened. Happiness never decreases by being shared.
mmh...labda unapigwa bro mana hueleweki ulivo ulivo kwnn icwe wengine
ReplyDeleteTuwekeeni story ya mange kuiba trademark
ReplyDeleteshoga hilo bana
ReplyDeleteHata wema sepetu anafahamu hilo swala kama steve ni shoga!!
ReplyDeletelitakua shoga tu,mwanaume rijali huwezi kumkuwadia mwanaume mwenzio hata awe nani...Bwabwa ndo maana linauza mashost wenzie kwa wakubwa.
ReplyDeleteHuyu Steve Nyerere hua ana kazi gani hapa mjini zaidi ya kujipendekeza kwa viongozi wa CCM na kuwakuwadia kina Capt Komba wanawake?! Ana tofauti gani na shoga,huyu mtoto c ridhiki wajanja washamfumua rinda zote atupishe kule tumemchoka kwanza hata hata mvuto kama babu bomba mfyuuuuuxz!
ReplyDeleteunafirwa kweli mkundu ww kuma la mamaaako+ unakataa nn? wakat hata komba unamkowadiaga madem! kakufira@shoga hilooo kumamamaae wee
ReplyDeletebwabwa tu ww
ReplyDelete