Sugu 'Nitaendelea Kupigana Bungeni Kama CCM itaendelea Kunisakama Nikiwakilisha Matatizo ya Watanzania'
8
July 21, 2014
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Mbilinyi maarufu kama 'SUGU' amesema ataendelea kupiga mtu ngumi bungeni kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaendelea kumsakama wakati akiwakilisha matatizo ya Watanzania ili yapatiwe ufumbuzi.
Akili matope!
ReplyDeleteBange jamani msimlaumu.
ReplyDeleteBange nibangue, roho yangu niachie.
ReplyDeleteWalivyo mmanua haaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeletehajielewi mbulula huyoooooo
ReplyDeleteVijana angalieni si kila mwenye kakipaji fulani anafaa pia kwenye shughuli fulani. Angalieni shughuli nyingine zinahitaji shule. Acheni majaribio.
ReplyDeletesugu kavurugwa uyo jnga tu anawatetea kwa lp watanzania anapga kelele tu kaona uchaguz mwakan anajiongelesha il apate kura shwaiiin
ReplyDeletePigana pigana jembe, lkn hakikisha mnatoa na ukabila pale halmashauri ya jiji la mbeya maana kuna maafisa utumishi wamegeuka miungu watu
ReplyDelete