Tazama Picha za Lunch Party ya Kajala Kwa Ajili ya Birthday yake ilivyokuwa Jana Mchana




Tazama picha za lunch ya mwanadada Kajala ilivyokuwa leo kwenye birthday yake.

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nimependa sana watu wachache simple all the best mama Paula.usifanye upuuzi kwenye media ishi maishayako uwe na hofu na mungu.wapende wazazi Wako nauwaheshimu.achana na groups.jiendeleze kimaisha zaidi wekeza.starehe zipo tu daily zinaibuka mpya.

    ReplyDelete
  2. Nimependa Sana kajala fanya mambo yako.

    ReplyDelete
  3. Anoy wakwanza ushauri mzuri big up

    ReplyDelete
  4. Nimependa K achana na makundi ya kujishauwa hapa mjini, kwanza itakocost fanya yako.

    ReplyDelete
  5. uso uliojaa hatia. mungu atakuwewesesha hadi unywe sumu wewe. namuonea huruma mwanao kwa kuwa na mama ambaye uchi wake hauna thamani yoyote bali ni bidhaa iliyo sokoni

    ReplyDelete
  6. Kama wewe kundu laki lilivyo kuwa sokon

    ReplyDelete
  7. rafiki yako wema umemwalika na alikuja?

    ReplyDelete
  8. Kajala umefanya lamana kuzaa ujana maji yamoto nimekupenda sana kajala upo juuu mwanamke wa nguvu apana chezeya anapopita kajala lazima utamsindikiza na macho na roho upo juuu mama

    ReplyDelete
  9. big up mama paula

    ReplyDelete
  10. Kajala mzuri kilema chake Ni kimoja Tu kutembea Na mababa waliooa,mume Wa kajala Yuko jela anatumikia kifungo,lakini huku kajala kajiachiaaaaa kama Si mke Wa mtu.lawama yooote kwa Wema Sepetu sijui kwanini alikulipia zile million 15,lakini siku Wema alivyokulipia zile Hela mama Wema na dada Yake walimpiga sanaaa Wema,Wema anakimbilia Polisi,shame on you Wema kupoteza Hela zoteeee zile,kajala mwenyewe kutwaaa anakuteta,na mashogaze.

    ReplyDelete
  11. Haki ya nani Wema Ni Wema tuuuu kulipa million kumi na tano Si mchezo.Tena Rafiki Tu?Mbuta nanga!!!sijaona,Mungu akupe fungu lako dear,una madhambi yako lakini moyo Mungu kakupa,you like helping your friends,haya Aunty Ezekiel umempeleka south Africa.

    ReplyDelete
  12. Kajala dada Hivi mambo yako Si mabaya Si umrudishie mwenzio hizo pesa?au mpaka akuombe?Mijitu mingine bwana,hata uibebe kwa mbeleko gani aibebeki,mi ningekuwa kajala nisinge mteta shoga aliyenitoa muhanga,AU ningezichanga million kumi nizirudishe fastaaa ili niishi kwa Amani.wewe sass hizi Hela unazo unatembea Na kigogo Wa ikulu,

    ReplyDelete
  13. Your skin is natural kajala love u

    ReplyDelete
  14. Yaani bora ujaalika UOZO WA BONGO MOVIE mi mwanangu akiniambia anataka kujiunga na bongo movie haki ya nani najiua.

    ReplyDelete
  15. Yes,Yani hawana mfano Wa kuigwa,madhambi yooote unayoyajua wewe yamejaa bongo movie,Ni Hatari kwa kweli Yani siwapendiiiiii

    ReplyDelete
  16. Pesa yenyewe hawana,bora Aunty Ezekiel kajisemea ukweli wanategemea wanaume kuwatunza,wenyewe hawajiwezi,we chunguza mtu yeyotee Yule mwenye maendeleo nyumba Yake lazima mwanaume Wa kumueezesha hayo maendeleo lazima awepo.

    ReplyDelete
  17. Una marafika wazuri kuliko wema

    ReplyDelete
  18. Wivu kisa Wema Ni wake platinum

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad