Tazama Video Mpya Iliyosubiriwa Kwa Hamu Ya Diamond Platnumz-Mdogo Mdogo


Video Mpya ya Wimbo wa Diamond unaotamba kwa sasa Mitaani-Mdogo Mdogo Bro Hata sijalala just been on Your youtube Channel..But One thing its worth my Sleep..Such an Amazing Hit..Brother Your the best na kweli watajiuliza kama kunamwingine kaibiwa....Gud Stuff Diamond Video Hii Hapa Chini:

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yeah! Hii video ni poa sana.

    ReplyDelete
  2. east african song, ahsante kikwetukwetu! kizuri kwenye video hii u thought globality and act locally!

    ReplyDelete
  3. Nyimbo ya kigodoro shooting ya kizungu!nothing bado hamuwezi Davido!!!!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hiyo ngoma poa Kishenzi. Check the message man.

      Delete
    2. Majitu mengine bana. Sasa Davido kafata nn huku mfyuuuuu

      Delete
  4. Kwa kweli Domo hapo umefanya vitu vyako. Na ukweli ni kwamba ukipata demu wa Kizungu mtupilie mbali huyo Kicheche. Huyo Kicheche hawezi kukufundisha wala kukusaidia kitu chochote zaidi ya kukufitinisha na watu. Huyo Kicheche man ni mswazi Kishenzi. Sana sana atakachokufundisha ni kwenda kuwasomea watu wengeni Albadili. Jitafutie Mzungu man. Achana na hawa mademu wa Ki Swahili waswazi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pole penny wivu utakuua.

      Delete
    2. Penny joto hasira

      Delete
  5. Ya ya ya ya yaaaa Diamond ur the best ever ur creativity first umepromote lugha yetu ya kiswahili second umevaa mavazI ya asili and 3rd umemchezesha mzungu vanga umetisha bro

    ReplyDelete
  6. Umejitahd domo ilA acha majigambo" fanya vitendo wew una2wakilisha domo. halafu mikundu wanaom2kana ommy dimpoz! hawana upeo wanasahau kwamb ommy d ni no.2 hapa bongo. anaepeperusha bendera ya muziki wa bongo mbele. domo no.1 dimpoz no.2. hongeren xana,

    ReplyDelete
  7. Umejitahd domo ilA acha majigambo" fanya vitendo wew una2wakilisha domo. halafu mikundu wanaom2kana ommy dimpoz! hawana upeo wanasahau kwamb ommy d ni no.2 hapa bongo. anaepeperusha bendera ya muziki wa bongo mbele. domo no.1 dimpoz no.2. hongeren xana,

    ReplyDelete
  8. Pongezi kwako diamond!! umejitaidi kiukweli video iko poa sana kaza buti kijana

    ReplyDelete
  9. huyu dogo balaa ila kuna watu wanahasira za wivu utaona tu comment zao furahia mafanikio ya mwenzio hata Mungu atakutoa hapo ulipo kama umejawa na roho ya kwanini kweli utabarikiwa tujichunguze

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad