Ujue kwa mwaka huu namba ya wasikilizaji wa XXL imepungua kwa kiasi kikubwa hivyo wanataka kuipandisha na kwaakili zao wanadhani hiyo njia itasaidia.
Vijana hawa waliamua kuigiza jana ili wazungumziwe kwenye mitandao ikiwa ni sambamba na kuandikwa kwenye magazeti, wanataka kujiongezea umaarufu kinguvu.
Last time walisambaza taarifa kuwa vijana hao wamefukuzwa, leo wanasema wamegombana. Kama hicho kitendo menejiment haija kipenda, kwanini wanaisambaza hiyo clip ya ugomvi wao maana ukiisikiliza ile clip ina quality ya ofisini kwao na si kwamba mtu amerekodi kwa simu.na kusambaza.
Acheni kutafuta Kicks Kinguvu....
EFM ndio Habari ya Uswahilini ....Hahah
We nae haiusu iyo e fm!!!
ReplyDeletekwendeni zenu hkoo ht wakitafuta kiki inawahusu nn nyie wadaku!? we ni media na wao media wote mnatafuta hela
ReplyDeleteni kweli hawa wanatyzingua
ReplyDeleteNimakuma
ReplyDeleteMafaala
ReplyDeleteacheni ufisi
ReplyDeletebongo umaarufu ndo kitu namba moko
ReplyDeleteClip wametengeneza wanazingua, from the first time nimesikiliza nikajua tu hapa hakuna ugomv, "et hoya mko kwenye air hamjazima mic" Wase*** Hao
ReplyDeleteWamechoka mbaya
ReplyDelete